Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Basi wewe utakuwa hujui "etimology" ya kwanini nilisema hivyo. Pole sana.Mange anaishi Marekani atajuaje kama watanzania wanakosa ajira kiasi cha kusombwa kwenye malori ili wapelekwe kujaa kwenye mikutano Samia?
wapo wanaosali msikitini lakini hawamwonei pigiHiyo "tunaweza" hapo umekusudia mimi na akina nani au hadi na Samia ambaye pia anaswali msikitini?
Inaleta hofu kwa wapumbafu wengine kutokutenda ujinga.kwahio walivoandamana ndo jamaa karudi hai ama?
apa tunafundishwa uku mukuru kwa njengaHuu upumbavu ndio mnafundishwa na yule anayejiita chura kiziwi bila shaka.
ndo maaana kuna nchi zilipata uhuru kwa maongezi na kuna zingine ziliingia vitani, unapokua na dhamira ya kufanya mabadiliko busara inatakiwa ikuongoze zaidi ya mihemko, Sio rahisi kwa mfumo kuachia madaraka ukizongatia mizizi ilopo, na usitegemee utaenda pale kuwapigia story za HAKI hio haipo kokote duniani ata IRAN anashambuliwa bila kosaInaleta hofu kwa wapumbafu wengine kutokutenda ujinga.
Hapa kwetu si unaona, wanateka, ua, kula rushwa. Juzi, jana , leo kesho na kuendelea.
Matukio mwngine yanakufanya uogipe kutenda makosa. Ni sawa unapotoa adhabu, kwan kosa huwa linajifuta.?
vijana wa bongo wapo Sinza na Tabata wanauza minduku sio wa kike au wa kiume sasa unategemea nini? Sio vijana wa enzi zile ambao hata shule au vyuoni walikua wanaandamana, hivi hapa Tanzania mara ya mwisho kusikia hata shule au chuo wameandamana kupinga tu sera au walimu wao ni lini?Kufikia mahal wananchi wao hawategemei wanasiasa, wanaenda front wenyewe na kuowajibisha serikali
Tz ikifika huku itukuwa historical
Ndiyo akili zetu hizikwahio walivoandamana ndo jamaa karudi hai ama?
Chawa wa hovyo kama huyu ndio kikwazokwahio walivoandamana ndo jamaa karudi hai ama?
Bongo imejaa maa kenge so tusiote hata kuwakaribia
Sio uwendawazimu ni kujua haki zao na kutokuwa na akili za watu kama wewe na Lucas Mwanshambwani ukweli mtupu gentleman,
hakuna mTanzania atathubutu kwenda kuandamana ili akauawe.
uwendawazimu wa wakenye ni wa kiwango kibaya sana cha kisaikolojia, ambacho waTanzania itawachukua miaka mingi sana kufika huko
mpumbavu ni yule anae kubali kufanya mambo ya hovyo bila kupima hasara au faida .kenya wametuzidi kwa hiyo mkumbo ushamba kisiasa na sifa za kutaka kuoneka duniani kua wao wapo juu kwa uhuru wa kufanya lolote hata kama ni la uvunjifu wa sheria zaoWakenya wanajielewa wewe baki na uchawa wako wa kipumbavu TU!
Umejaa tope kichwanimpumbavu ni yule anae kubali kufanya mambo ya hovyo bila kupima hasara au faida .kenya wametuzidi kwa hiyo mkumbo ushamba kisiasa na sifa za kutaka kuoneka duniani kua wao wapo juu kwa uhuru wa kufanya lolote hata kama ni la uvunjifu wa sheria zao
Hapa tanzania watu ni waoga mno na CCM inatumia wananchi hao hao kusaliti wenzao na kuwaua. so ni vigumu kuifikia Kenya kwani wenzetu wana umoja sisi tunajali matumbo yetu tu. CCM ikikuhonga milioni 4 unawasaliti wenzako na kuwasemea ili wauliwe.Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha yanaendelea kama kawaida!
Watanzania KUWAFIKIA wakenya labda miaka 1000 ijayo aise! Big up wakenya! Uwajibikaji ni mhimu
You nailed it hardly . Salute . Watanzania hawana habari na politics wala haki zaoSio uwendawazimu ni kujua haki zao na kutokuwa na akili za watu kama wewe na Lucas Mwanshambwa
Sasa umesema mwanablog anauwa, badala akamatwe yeye, anakamatwa mkuu wa kituo. Huo ni utopoloKenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu,
A foolish question.kwahio walivoandamana ndo jamaa karudi hai ama?
then go ahead and you will loose another person on the process thats what you call best decisionA foolish question.
sawa chawa wa hecheChawa wa hovyo kama huyu ndio kikwazo