Kama washabiki wa Simba wanajielewa wanaweza kutuma ujumbe caf kwa kususia angalau mechi za Simba mbili kuonyesha jinsi walivyonyomwa nafasi hii adimu au kususia mechi zao za chan kuonyesha hasira zao kwa caf.
Kocha aliyeondoka wa timu ya taifa alisema wazi uhusu caf kuendeshea na wamorocco.
Mashabiki na viongozi wa Simba waache kujipendekeza kwa serikali kwani serikali hii yenyewe haiwajali.
Pamoja na lawama kwa serikali lakini viongozi wa Simba na mwekezaji wao hawana maoni. Kama tungeendelea na uongozi wa Dalali Sasa hivi Simba ingekuwa tayari na uwanja Ila hawa wanaojiita wasomi hamna kitu.
Wakati Babra akiwa CEO alianzisha mpango wa Simba kujenga uwanja na michango ikaanza mwisho wa siku ikaliwa wakadai ilijengwa senyenge.
Mo amefanya viwanja vya bunju viitwe mo arena lakini hataki Simba ijitegemee.
Anadai anafanya usajili mkubwa lakini ameshindwa kuwasaidia hata wajenge kiwanja cha bilioni 2 wakati Wana bajeti inayozidi bilioni 20.
Amehusika na ujenzi wa uwanja wa singida black star wakati alipowekeza kashindwa kufanya chochote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.