Ulipaswa useme "..huoni kundulo wewe!!"Wewe mwenyewe unajiita Forest Hill, huoni 'kundule' wewe!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulipaswa useme "..huoni kundulo wewe!!"Wewe mwenyewe unajiita Forest Hill, huoni 'kundule' wewe!!
Si lazima yawe ya kilugha, hata ya kiswahili tu. Mfano, umewahi kujiuliza kwanini mtu aitwe Grace na sio Neema? Au kwanini aitwe Happiness badala ya Furaha?Naunga mkono hoja... Maaana hata uislam umesema tuwape watoto wetu majina mazuri... Ila haujasema tuwape ya kiarabu pekee imesema majina mazur tuh.. Afu kingine kila mzazi apangiwi jina we ukiwa na wanao waite utakavyo c hatutokupinga.... Ila majina ya kizaramo mabaya aisee mara sikujua,chausiku,shida,mwakatobe .....kwa hio sometimes ya kizungu na kiarabu ni bora
Wazazi usomi mwingi na ulimbukeniSi lazima yawe ya kilugha, hata ya kiswahili tu. Mfano, umewahi kujiuliza kwanini mtu aitwe Grace na sio Neema? Au kwanini aitwe Happiness badala ya Furaha?
Mimba zimekuwa ngumu sana kupata siku hizi. Complications kibao.
Kila mtu amuite mwanae jina analotaka bana we.
Afu uje umuite mtoto Yaani au Misukosuko.Wacha tuu gharama ya mtoto ni kati ya umauti na kifo, muda na pesa za haja
Uzazi umekua mgumu, malezi nayo magumu basi taabu tuu
Mxxxiiieeeuu 🤣🤣sijui umewaza nini.Juniya[emoji860][emoji860]
Hayo ni maoni yako.Katika majina ya kikabila hapa tz wamasai pekee ndio wanamajina mazuri aisee wakifatiwa na wachaga [emoji617]
Ulipaswa useme "..huoni kundulo wewe!!"
Wewe c uncle wake muite "Tabu, Shida, Masumbuko na Sikujua au watoto wako wape haya ili ufurahi na roho yakoHabari salamu sio ndefu nimechefukwa mtoto wa dada yangu kapewa jina Moana, jina la kikatuni cha Disney nikapata maswali sana, kwanini hadi leo tunaendelea kushikilia majina ya wageni? Majina mazuri ya Kiswahili, lugha za asili yameisha au ndio tunayaona ya kizamani na hayafai kitu?
Kuna uhusiano gani kati ya kuwa Muislamu na kumpa mtoto jina la kiarabu? Au mkristo kumpa mtoto jina la Kizungu kama Frank, Aboubakar, Sameer, Chris, Dorice, Khadija
Kwanini sio majina ya kichina au kihindi? Labda dini ni kitu chema lakini isiondoe u-Afrika wetu. Tujitafakari.