Kuwapiga wanawake hivi sio sawa hata kama ni wezi

Halafu wanaowapiga ni wafanyakazi na wao Kila siku wanaeaibia walio waajiri. .....asiye na dhambi na awe wa kwanza kumrushia huyu jiwe..... Eee Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu nani angesimama? Lakini kwako Kuna msamaha ili wewe uogopwe

Ila wizi ni aibu Sana, sijui huyo mama atawambia Nini watoto wake.
 
Hiyo kitu kama ni mwanza huyo mmama wa nyuma namjua na huwa anakuja dukani mara nyingi ila now amepunguza,
now I know
 
Wakiwa na ushahidi sawa.
Ila kwa Video hii wanaweza piga pesa ndefu

Sheria sio simple hivyo. Kwenye kesi za madai Kuna mlolongo mrefu Sana. Inatakiwa usiwe na fault unapodai madai mahakamani.
 
Huu ni ujinga yaani hao wangeniibia mm wala nisingewapiga ningewakata mikono miwili alafu nawaacha[emoji23][emoji23][emoji3] ujinga ujinga tuu.
 

Huyo anayepigwa amekamtwa kwa Mara ya pili anaiba. Mara ya Kwanza alikamatwa anaiba kwenye duka la jirani.
 
Sio rahisi hivyo,nguvu ya sheria bongo uamuliwa na nguvu ya pesa uliyonayo Sasa hao wezi masikini wanahela ya kuendeshaaa kesi
 

Nadhani waliamua kumalizana bila kuita polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…