Kuwapiga wanawake hivi sio sawa hata kama ni wezi

Kama ni demu kimbambau unachapa tu. Ila wenye mizigo hapana. Demu wenye mzigo wa duara uliokaa vema ni tunu hata Museveni alisema.
 
Mwizi aadhibiwe vilivyo anapobainika dhahiri shahiri bila kujali jinsia ili iwe fundisho kwa wengine na mwizi mwenyewe ashike adabu. Tunarudishana nyuma Mambo ya kuibiana.
 
Kuibiwa kunauma, yahitaji moyo kuvumilia mwizi.

Akishakuwa mwizi tunamtoa kwenye kundi la wanawake, tunamuweka kwenye kundi la wezi.. Kipigo tu
Kuna mahali Mwanaume hajaplay part yake vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…