Kuwapiga wanawake hivi sio sawa hata kama ni wezi

Mwanamke mwenye tabia ya wizi ni pambo wapi na kwa nani?
 
Na huko kuiba kwao je!
 
Hata mimi imenikwanza sana, mwanaume inakuwaje unampiga hivyo mwanamke............hata hapa nimebishana na wife nikamweleza ni bora hata wangetafuta wanawake wenzao ndo wawaadhibu au wawasute, naturally haijakaa vyema.
Vipi wewe hujawahi mpiga mkeo ngumi? Au ni kwasababu jf tunadanganyana?
 
Hivi wewe unaibiwa utamhoji mtu kweli mazingira hayo? Usiombe kuibiwa, mfano unafanya kazi kwa mtu unaibiwa halafu muuzaji unakatwa mshahara omba unavyoumia nayeye pia anafamillia pia.
 
Sijapata kuona Wanaume Mashoga kama hawa, Yaani hawajui kabisa kupiga mtu. Wanatekenya wake za watu wanasems wanapiga Mwiz?
Duu umetisha [emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]
 
Ila kwenye kwenye kuiba ndiyo poa ,kupigwa viumbe dhaifu acha wafundishwe adabu, kama yule mama arusha aliyefumaniwa na kudundwa
 
Hao viumbe dhaifu ndo tumesisitizwa tuishi nao kwa akili
 
Hata mimi imenikwanza sana, mwanaume inakuwaje unampiga hivyo mwanamke............hata hapa nimebishana na wife nikamweleza ni bora hata wangetafuta wanawake wenzao ndo wawaadhibu au wawasute, naturally haijakaa vyema.
Sasa sii bora hao wamewapiga wengine wangewala tigo kabisa
 
ishu inakuja kwenye vidhibiti ulivyomshika navyo huyo mwizi viko wapi..?? hapo wao wenyewe wameshaharibu mazingira
Unazani vidhibiti havippo pale, wamepigwa mpaka mikoba yao wametupa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…