kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Ukiona mtu anasema hivyo Jua hajawahi ibiwa kuibiwa kusikiage
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna test hypothesis .. pValue kama inakuja hiviiiiTheoretical...
sasa wewe ukishajiita mchicha unategemea nini! nipe location uione lotion ya kisukumaUnachimba mikwara huku umepaka lotion usoni eti pangechimbika... mwizi ni mwizi awe mwanamke au mwanaume haki yao wakikamatwa ni kuadhibiwa tu
ila mama D ulishawahi kuibiwa kwenye biashara lakiniSio wanawake tuu. Hata wanaume kupigwa hivyo si sawa
Tuschukue sheria mkononi
Mwizi ni mwizi kima nyiepumbaaf kabisa wote wanaopiga wanamke
[emoji38][emoji38]
Jidanganye, uniibie nikuadhibuNi Kwa vile tu wengi hawajui sheria lakini Hawa kina mama wanaweza kutajurika Kwa kwenda mahakamani kufungua kesi ya jinai kupigwa kuumizwa na shambulio la aibu...Baadae wakishinda jinai wafungue kesi ya madai kudhalilishwa na kuvunjiwa utu mbele ya jamii fidia b7
Mtoni kijichiWapi?
Itakua hajaibiwa bado wezi ni watu hatari kwenye anga zaoWanapaswa wafanyiwe nini?
Kwa hyo unataka kusemaje Dr!!Kuna kitoto juzi ni under 16 kimechomwa moto walidhani ni mwizi wa simu kumbe simu zilikuwa zinafanana.
Waliohusika wamekamatwa wapo kolokoloni
Itakuuma lakini Kama ni mwizi na atapigwa tuuuFikiria mama yako ndo anafanyiwa hivyo [emoji20][emoji20][emoji20]
Kilichomtuma akaibe ni nini , acha apondwe pondwe tu tena kama yule mama mtu mzima hawajampiga sawa sawa wangempa za mgongoni atoke mpaka vitusuFikiria mama yako ndo anafanyiwa hivyo [emoji20][emoji20][emoji20]
Huna tofauti na hao wezi, jamii iliyostaarabika haifanyi hayo mambo ya kupiga watu ovyo, kuna utaratibu, kamata ita polisi au mamlaka inayohusika,wangekuwa tishio kwa wengineningeelewa lakini hao wanawake sio tishio kwa maisha ya wengine, hata polisi haruhusiwi kukupiga risasi ukikimbia, tuwe wastaarabu kidogoWezi wanakera sana..ibiwa siku moja ndo utajua uchungu wake...hapo bado hawajapigwa vizuri..inatakiwa paka wachakaee...
Na wanawake wengi saivi wanatumika sana kwa uwizi kwenye maduka ya nguoo na viatu...
Na wanajua wakikamatwa watapata huruma ya wananchi kisaa tuu ni wanawake ili wasipate kibano
Kwa hiyo kuwapiga ndio adhabu yake, hawakuwa tishio hao wangeweza kabisa kuwashika na kuita polisi, tuache kuishi kama wanyamaKilichomtuma akaibe ni nini , acha apondwe pondwe tu tena kama yule mama mtu mzima hawajampiga sawa sawa wangempa za mgongoni atoke mpaka vitusu
Acha miyeyusho mjomba ustaarabu kitu gani kama yeye angekuwa mstaarabu asingeiba, halafu eti sio tishio kwa usalama kuna mwizi ambaye sio tishio kwa usalama, kHuna tofauti na hao wezi, jamii iliyostaarabika haifanyi hayo mambo ya kupiga watu ovyo, kuna utaratibu, kamata ita polisi au mamlaka inayohusika,wangekuwa tishio kwa wengineningeelewa lakini hao wanawake sio tishio kwa maisha ya wengine, hata polisi haruhusiwi kukupiga risasi ukikimbia, tuwe wastaarabu kidogo