nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,035
- 2,938
Na huko Kishimundu umefika lini ?
Nipo Kishapu naona jinsi mlivyopigika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Kishapu naona jinsi mlivyopigika
Ndugu yangu, hawa wenzetu wamechanganyikiwa. Ni vurugu march.Iyo treni ni ya CCM au ni ya Serikali?
Kama ya serikali polepole ana wadhifa gani serokalini?
Andika mpingaji sio wapingaji jina langu sio chama au kikundi.Wapingaji kila jambo[emoji23]
Wewe orturo singida umetoka Lin [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tatizo wivu tu alafu fanya mpango umrudishe Dada yako kwa mkwambeMoshi shughuli kama kawaida wala hatuna habari na treni
Wameamka kwa lipi mbona ni washamba tu
labda umeifunga weweDuh! mr price imefungwa zamani!!!!! huko Moshi wewe
Niko likizo, mkwambe alifilisika hivyo tumeona tumchkue Dada yetuWewe orturo singida umetoka Lin [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tatizo wivu tu alafu fanya mpango umrudishe Dada yako kwa mkwambe
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Nikukumbushe Afrika ndo kwenye kila kitu lakini ss ni maskini wa kutupwa compared na mabara mengine,unahisi kwann?ukipata jibu tafakari ulichoandika.Udukumani kuna kila kitu. Kama train ipo, meli zipo, ndege zipo, magari yapo, dhahabu ipo, almasi ipo, Jiji lipo, wanawake wazuri wenye miguu kama chupa ya bia wapo, wasomi wapo, ng'ombe zipo na Rais yupo. Je, una lingine?
Kuna mtu yeyote humu jukwaani anayefahamu umri wa huyu polepole? Ni mzee au kakomaa tu?Kilimanjaro Soo watu wa kukimbilia kuangalia train. Mkoa wa Mara alikotokea polepole kule sawa.hakunaga njia hata ya train.
Kishumundu utalinganisha na machaka gani ya huko kwa washamba?Na huko Kishimundu umefika lini ?
CCM watu wa ajabu Sana,train kipindi Cha mkapa,mwinyi,JK ilikuwepo hawakuikarabati.Leo wenyewe wanaikarabati kwa Kodi za wananchi wanashangia mbona hamkuikarabati kabla? Mlikuwa wapi?pesa mlikuwa mnapeleka wapi?