kivipi unasema watu wengi? household kila nyumba ina wastani wa watu 3, population ni 1.7per person per km, umilikiwa wa magari ni watu 68 kwa gari moja, madaladala yanabeba wastani wa abiria 3 kwa saa na 27per trip. au ukienda kariakoo ukaona watu wengi ndo unaona dar yote iko hivyo? wengi wao ni mawinga tuSerikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam.
Dar es Salaam watu wamerundikana sehemu moja kuanzia makazi hadi vyombo vya usafiri.
Sasa kwa nia njema kwanini kusiwe na mpango wa ku zuwia ongezeko la idadi ya watu kuhamia Dar na badala yake wapelekwe maeneo mengine kwani nchi yetu ni kubwa kijografia.
Hii itasaidia hata wakati wa majanga iwe rahisi maeneo mengi kufikika kwaajili ya kutoa msaada kwa haraka na kuokoa maisha ya watu na mali zao.
Watu waende kama ni kwaajili ya shughuli za biashara na kuondoka na si kujenga makazi.
Wakazi wa Dar karibuni Tandaimba, Handeni, Kasulu, Biharamulo, Nachingwea, Newala, Same na maeneo mengine.
Maisha bila kukimbilia na kujazana Dar es Salaam yanawezekana.
Watu bila usalishaji ni ujuha? Sana sana utazalisha mateja, majambazi na watoto wa mtaaniWanakuambia kilichoifikisha China haipo ilipo (big economy) ni watu! Tuzaliane kwa kasi na sisi tuwe kama China.
Ndivyo wanavyosema vibarazani huko wakiungwa mkono na wanasiasa ambao mwisho wao wa kuona ni next election.
NΓ onΓ wanachadema Sasa ni mambo yΓ I'd mpya tuu.Konyo,ushindwe shetaniπππ
Kata yenye watu wengi Daresalaam kuliko zote ni Kata ya Chamazi tu. Kigambon bado ina eneo kubwa sana ambalo ni pori. Serikali ibalance miundo mbinu tu yenyew itashake na kuwa stable. Population kubwa imejazana kufata barabara 4 main zile za mkoloni.kivipi unasema watu wengi? household kila nyumba ina wastani wa watu 3, population ni 1.7per person per km, umilikiwa wa magari ni watu 68 kwa gari moja, madaladala yanabeba wastani wa abiria 3 kwa saa na 27per trip. au ukienda kariakoo ukaona watu wengi ndo unaona dar yote iko hivyo? wengi wao ni mawinga tu
kabisa, ukienda kigamboni maeneo ya pembamnazi ni mashamba, ukienda mkuranga maeneo ya kisiju bigwa kimanzichana mkengeni ni mapori, tatizo public transport nalo linafanyiwa kazi, mkandarasi brt yuko site, buses ziko store, mfumo wa ticket unaboreshwa, mwekezaji yuko anapanga viti ofisiniKata yenye watu wengi Daresalaam kuliko zote ni Kata ya Chamazi tu. Kigambon bado ina eneo kubwa sana ambalo ni pori. Serikali ibalance miundo mbinu tu yenyew itashake na kuwa stable. Population kubwa imejazana kufata barabara 4 main zile za mkoloni.
Kariakoo ikifika saa 12 jioni inahamia Mbagala rangi 3, Mbezi Luisi, Gomz na Tegeta Kibaoni
Mm nina uhakika uneven distribution ya social resources ndo inapelekea imbalance population. Ukiangalia kigamboni ukiachilia mbali kimbiji hakuna sehem inayofika 35 kwenda city center, cha ajabu inaendelea Homboza na Kibaha wakati pale kisarawe 2 kuna mashamba mpaka ya heka 10 pale. Maendeleo yakisambaa vibaya ndo shidakabisa, ukienda kigamboni maeneo ya pembamnazi ni mashamba, ukienda mkuranga maeneo ya kisiju bigwa kimanzichana mkengeni ni mapori, tatizo public transport nalo linafanyiwa kazi, mkandarasi brt yuko site, buses ziko store, mfumo wa ticket unaboreshwa, mwekezaji yuko anapanga viti ofisini
kufika mwakani kutoka gerezani hadi mbagala ni mwendo wa dakika tatu yaani shwaa ka sgr, buses ni full ac, itabidi tuwe tunawanusa vikwapa kama haujaoga unakuja na majanaba hupandi.
Achana na Dar kabisa mkuu! Hapa ndio kila kitu. Hakuna haja ya kuwazuia watu kuhamia Dar maana kuna fursa nyingi na hao wanaokuja ndio fursa zenyewe! Serikali inatakiwa ipanue tu huduma siyo kila kitu mtu aende Kariakoo! Huduma ziwafuate huko huko waliko. Mtu wa Chanika aishie huko huko siyo lazima aje Kariakoo!Serikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam.
Dar es Salaam watu wamerundikana sehemu moja kuanzia makazi hadi vyombo vya usafiri.
Sasa kwa nia njema kwanini kusiwe na mpango wa ku zuwia ongezeko la idadi ya watu kuhamia Dar na badala yake wapelekwe maeneo mengine kwani nchi yetu ni kubwa kijografia.
Hii itasaidia hata wakati wa majanga iwe rahisi maeneo mengi kufikika kwaajili ya kutoa msaada kwa haraka na kuokoa maisha ya watu na mali zao.
Watu waende kama ni kwaajili ya shughuli za biashara na kuondoka na si kujenga makazi.
Wakazi wa Dar karibuni Tandaimba, Handeni, Kasulu, Biharamulo, Nachingwea, Newala, Same na maeneo mengine.
Maisha bila kukimbilia na kujazana Dar es Salaam yanawezekana.
Wazo zuri ila sio kwa serikal hii na lile soko la kariakoo yangejengwa kama mawili hivi mbali mbaliSerikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam.
Dar es Salaam watu wamerundikana sehemu moja kuanzia makazi hadi vyombo vya usafiri.
Sasa kwa nia njema kwanini kusiwe na mpango wa ku zuwia ongezeko la idadi ya watu kuhamia Dar na badala yake wapelekwe maeneo mengine kwani nchi yetu ni kubwa kijografia.
Hii itasaidia hata wakati wa majanga iwe rahisi maeneo mengi kufikika kwaajili ya kutoa msaada kwa haraka na kuokoa maisha ya watu na mali zao.
Watu waende kama ni kwaajili ya shughuli za biashara na kuondoka na si kujenga makazi.
Wakazi wa Dar karibuni Tandaimba, Handeni, Kasulu, Biharamulo, Nachingwea, Newala, Same na maeneo mengine.
Maisha bila kukimbilia na kujazana Dar es Salaam yanawezekana.
Naunga mkono. Huko Mnyara kwa mfano wilaya ya Kiteto kuna kijiji unakuta kina shule 4 za msingi na mbili za sekondari. Elewa hapa ni kijiji sio kata wala tarafa. πππ.Nilisema population Tanzania ni ticking timebomb.
Tanzania ina average annual population increase ya 3%.
Na hapa hujaona kitu, population ya Dar inaenda ku double in the next 10 years.
Ila kuna watu ukiwaambia habari za uzazi wa mpango unagombana nao.
Wanasema Tanzania ni nchi kubwa inahitaji watu.
Mkuu sasa hii ni evacuation πππKontena ama mizigo ikiingia tu ya Nyerere road ikashughulikiwe singida to Rwanda , congo, etc .
Na njia ya mbeya ipelekwe direct iringa ama mbeya huko walipie.
Viwanda viwekwe katikati ya moro mpaka pwani vitoke dar ama wajenge singida ama Dodoma Mana ni rahisi kusambaza Kila mkoa.
Balozi zote zihamishiwe Dodoma,
Vyuo Kama udsm wakilete singida ,tabora,shinyanga, Dodoma Mana yale majengo na maeneo watafute wawekezaji.
Uwanja wa ndege uhamishiwe hata morogoro ivi uwe mkubwa zaidi wa dar. Sema Sasa hizi hela kwanza tuna daiwa @ 1.6M .
Kariakoo mpya ijengwe hata Chalinze yaani wachina wapewe hapo eneo wajenge wa mikoani wawe wanachukulia hapo hapo mizigo na kusepa , adi hapo watu hawajaisha dar kweli.
Yaani unawatoa kabisa ina Mana litakuwa ni pori, hata sijui why watu wa mipango miji walimkubalia azam akajenga viwanda pale buguruni , yaani alitakiwa aletwe hapa Chalinze Kama 100km kuja tanga ama moroMkuu sasa hii ni evacuation πππ
Ni nchi kubwa halaf wanataka kujazana sehem moja, kuna politican alipita akawaaminisha mambo ya hovyo, but in reality, population inataka ku overide resources, hili ni tatizo mbeleniNilisema population Tanzania ni ticking timebomb.
Tanzania ina average annual population increase ya 3%.
Na hapa hujaona kitu, population ya Dar inaenda ku double in the next 10 years.
Ila kuna watu ukiwaambia habari za uzazi wa mpango unagombana nao.
Wanasema Tanzania ni nchi kubwa inahitaji watu.
Nasikia kasulu ukijenga tu wanakuloga, bora niendelee kujibana manzese.Serikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam.
Dar es Salaam watu wamerundikana sehemu moja kuanzia makazi hadi vyombo vya usafiri.
Sasa kwa nia njema kwanini kusiwe na mpango wa ku zuwia ongezeko la idadi ya watu kuhamia Dar na badala yake wapelekwe maeneo mengine kwani nchi yetu ni kubwa kijografia.
Hii itasaidia hata wakati wa majanga iwe rahisi maeneo mengi kufikika kwaajili ya kutoa msaada kwa haraka na kuokoa maisha ya watu na mali zao.
Watu waende kama ni kwaajili ya shughuli za biashara na kuondoka na si kujenga makazi.
Wakazi wa Dar karibuni Tandaimba, Handeni, Kasulu, Biharamulo, Nachingwea, Newala, Same na maeneo mengine.
Maisha bila kukimbilia na kujazana Dar es Salaam yanawezekana.
Dar, inatakiwa iwe na passport, ili kuwe na ukiritimba wa kuingia Dar, lazima upitie uhamiaji, na jobless/misheni town n.k wawe repatrieted to where they belong πSerikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam.
Dar es Salaam watu wamerundikana sehemu moja kuanzia makazi hadi vyombo vya usafiri.
Sasa kwa nia njema kwanini kusiwe na mpango wa ku zuwia ongezeko la idadi ya watu kuhamia Dar na badala yake wapelekwe maeneo mengine kwani nchi yetu ni kubwa kijografia.
Hii itasaidia hata wakati wa majanga iwe rahisi maeneo mengi kufikika kwaajili ya kutoa msaada kwa haraka na kuokoa maisha ya watu na mali zao.
Watu waende kama ni kwaajili ya shughuli za biashara na kuondoka na si kujenga makazi.
Wakazi wa Dar karibuni Tandaimba, Handeni, Kasulu, Biharamulo, Nachingwea, Newala, Same na maeneo mengine.
Maisha bila kukimbilia na kujazana Dar es Salaam yanawezekana.
Ukubwa wa nchi si eneo tu, hata uwezo wa kulitumia hilo eneo ni sehemu ya ukubwa wa nchi.Ni nchi kubwa halaf wanataka kujazana sehem moja, kuna politican alipita akawaaminisha mambo ya hovyo, but in reality, population inataka ku overide resources, hili ni tatizo mbeleni
Kwahiyo unamaanisha watu waingieΔ Dar kwa kitambilisho? Hasa chΓ NIDASerikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam.