Kuwe na mkakati maalumu wa kupunguza idadi ya Wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam

Mbona DSM bado ina space kubwa tu.

Hapo unachobidi kuzungumzia ni kuboresha miundombimu Kama barabara mfano kuwa na Gari za mwendokasi za kutosha

Ujenzi Kuwa advanced Kama kujenga ghorofa and so on

Then hauwez ukatoa pendekezo kuwa MTU ahamishe makazi kutoka dad to Bukoba wakati most of people are here due to the opportunities Kama Ajira ,biasharana n.k

So what matter most ni opportunity na Kuwa na mipango mizuri ya upangaliaji wa majengo na kuboresha miundobinu Kama Barabara n.k
 
Serikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam.

Dar es Salaam watu wamerundikana sehemu moja kuanzia makazi hadi vyombo vya usafiri.

Sasa kwa nia njema kwanini kusiwe na mpango wa ku zuwia ongezeko la idadi ya watu kuhamia Dar na badala yake wapelekwe maeneo mengine kwani nchi yetu ni kubwa kijografia.

Hii itasaidia hata wakati wa majanga iwe rahisi maeneo mengi kufikika kwaajili ya kutoa msaada kwa haraka na kuokoa maisha ya watu na mali zao.

Watu waende kama ni kwaajili ya shughuli za biashara na kuondoka na si kujenga makazi.

Wakazi wa Dar karibuni Tandaimba, Handeni, Kasulu, Biharamulo, Nachingwea, Newala, Same na maeneo mengine.

Maisha bila kukimbilia na kujazana Dar es Salaam yanawezekana.
kivipi unasema watu wengi? household kila nyumba ina wastani wa watu 3, population ni 1.7per person per km, umilikiwa wa magari ni watu 68 kwa gari moja, madaladala yanabeba wastani wa abiria 3 kwa saa na 27per trip. au ukienda kariakoo ukaona watu wengi ndo unaona dar yote iko hivyo? wengi wao ni mawinga tu
 
Wanakuambia kilichoifikisha China haipo ilipo (big economy) ni watu! Tuzaliane kwa kasi na sisi tuwe kama China.

Ndivyo wanavyosema vibarazani huko wakiungwa mkono na wanasiasa ambao mwisho wao wa kuona ni next election.
Watu bila usalishaji ni ujuha? Sana sana utazalisha mateja, majambazi na watoto wa mtaani
 
kivipi unasema watu wengi? household kila nyumba ina wastani wa watu 3, population ni 1.7per person per km, umilikiwa wa magari ni watu 68 kwa gari moja, madaladala yanabeba wastani wa abiria 3 kwa saa na 27per trip. au ukienda kariakoo ukaona watu wengi ndo unaona dar yote iko hivyo? wengi wao ni mawinga tu
Kata yenye watu wengi Daresalaam kuliko zote ni Kata ya Chamazi tu. Kigambon bado ina eneo kubwa sana ambalo ni pori. Serikali ibalance miundo mbinu tu yenyew itashake na kuwa stable. Population kubwa imejazana kufata barabara 4 main zile za mkoloni.

Kariakoo ikifika saa 12 jioni inahamia Mbagala rangi 3, Mbezi Luisi, Gomz na Tegeta Kibaoni
 
kabisa, ukienda kigamboni maeneo ya pembamnazi ni mashamba, ukienda mkuranga maeneo ya kisiju bigwa kimanzichana mkengeni ni mapori, tatizo public transport nalo linafanyiwa kazi, mkandarasi brt yuko site, buses ziko store, mfumo wa ticket unaboreshwa, mwekezaji yuko anapanga viti ofisini

kufika mwakani kutoka gerezani hadi mbagala ni mwendo wa dakika tatu yaani shwaa ka sgr, buses ni full ac, itabidi tuwe tunawanusa vikwapa kama haujaoga unakuja na majanaba hupandi.
 
Mm nina uhakika uneven distribution ya social resources ndo inapelekea imbalance population. Ukiangalia kigamboni ukiachilia mbali kimbiji hakuna sehem inayofika 35 kwenda city center, cha ajabu inaendelea Homboza na Kibaha wakati pale kisarawe 2 kuna mashamba mpaka ya heka 10 pale. Maendeleo yakisambaa vibaya ndo shida

Mikakat ikikaa sawa hata shida nyingine hutaziona. Na mwendo kasi kigamboni sehem yenye idad ya watu wachache kuliko zote dsm itafika lini?
 
Serikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam.

Dar es Salaam watu wamerundikana sehemu moja kuanzia makazi hadi vyombo vya usafiri.

Sasa kwa nia njema kwanini kusiwe na mpango wa ku zuwia ongezeko la idadi ya watu kuhamia Dar na badala yake wapelekwe maeneo mengine kwani nchi yetu ni kubwa kijografia.

Hii itasaidia hata wakati wa majanga iwe rahisi maeneo mengi kufikika kwaajili ya kutoa msaada kwa haraka na kuokoa maisha ya watu na mali zao.

Watu waende kama ni kwaajili ya shughuli za biashara na kuondoka na si kujenga makazi.

Wakazi wa Dar karibuni Tandaimba, Handeni, Kasulu, Biharamulo, Nachingwea, Newala, Same na maeneo mengine.

Maisha bila kukimbilia na kujazana Dar es Salaam yanawezekana.
Achana na Dar kabisa mkuu! Hapa ndio kila kitu. Hakuna haja ya kuwazuia watu kuhamia Dar maana kuna fursa nyingi na hao wanaokuja ndio fursa zenyewe! Serikali inatakiwa ipanue tu huduma siyo kila kitu mtu aende Kariakoo! Huduma ziwafuate huko huko waliko. Mtu wa Chanika aishie huko huko siyo lazima aje Kariakoo!
 
Serikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam.

Dar es Salaam watu wamerundikana sehemu moja kuanzia makazi hadi vyombo vya usafiri.

Sasa kwa nia njema kwanini kusiwe na mpango wa ku zuwia ongezeko la idadi ya watu kuhamia Dar na badala yake wapelekwe maeneo mengine kwani nchi yetu ni kubwa kijografia.

Hii itasaidia hata wakati wa majanga iwe rahisi maeneo mengi kufikika kwaajili ya kutoa msaada kwa haraka na kuokoa maisha ya watu na mali zao.

Watu waende kama ni kwaajili ya shughuli za biashara na kuondoka na si kujenga makazi.

Wakazi wa Dar karibuni Tandaimba, Handeni, Kasulu, Biharamulo, Nachingwea, Newala, Same na maeneo mengine.

Maisha bila kukimbilia na kujazana Dar es Salaam yanawezekana.
Wazo zuri ila sio kwa serikal hii na lile soko la kariakoo yangejengwa kama mawili hivi mbali mbali
 
Kontena ama mizigo ikiingia tu ya Nyerere road ikashughulikiwe singida to Rwanda , congo, etc .
Na njia ya mbeya ipelekwe direct iringa ama mbeya huko walipie.
Viwanda viwekwe katikati ya moro mpaka pwani vitoke dar ama wajenge singida ama Dodoma Mana ni rahisi kusambaza Kila mkoa.
Balozi zote zihamishiwe Dodoma,
Vyuo Kama udsm wakilete singida ,tabora,shinyanga, Dodoma Mana yale majengo na maeneo watafute wawekezaji.
Uwanja wa ndege uhamishiwe hata morogoro ivi uwe mkubwa zaidi wa dar. Sema Sasa hizi hela kwanza tuna daiwa @ 1.6M .
Kariakoo mpya ijengwe hata Chalinze yaani wachina wapewe hapo eneo wajenge wa mikoani wawe wanachukulia hapo hapo mizigo na kusepa , adi hapo watu hawajaisha dar kweli.
 
Nilisema population Tanzania ni ticking timebomb.

Tanzania ina average annual population increase ya 3%.

Na hapa hujaona kitu, population ya Dar inaenda ku double in the next 10 years.

Ila kuna watu ukiwaambia habari za uzazi wa mpango unagombana nao.

Wanasema Tanzania ni nchi kubwa inahitaji watu.
Naunga mkono. Huko Mnyara kwa mfano wilaya ya Kiteto kuna kijiji unakuta kina shule 4 za msingi na mbili za sekondari. Elewa hapa ni kijiji sio kata wala tarafa. 😂😂😂.

Wastani wa shule ina wanafunzi 3,500. Unajiuliza hawa watu wanaplan gani juu ya huu mwendo.
 
Kontena ama mizigo ikiingia tu ya Nyerere road ikashughulikiwe singida to Rwanda , congo, etc .
Na njia ya mbeya ipelekwe direct iringa ama mbeya huko walipie.
Viwanda viwekwe katikati ya moro mpaka pwani vitoke dar ama wajenge singida ama Dodoma Mana ni rahisi kusambaza Kila mkoa.
Balozi zote zihamishiwe Dodoma,
Vyuo Kama udsm wakilete singida ,tabora,shinyanga, Dodoma Mana yale majengo na maeneo watafute wawekezaji.
Uwanja wa ndege uhamishiwe hata morogoro ivi uwe mkubwa zaidi wa dar. Sema Sasa hizi hela kwanza tuna daiwa @ 1.6M .
Kariakoo mpya ijengwe hata Chalinze yaani wachina wapewe hapo eneo wajenge wa mikoani wawe wanachukulia hapo hapo mizigo na kusepa , adi hapo watu hawajaisha dar kweli.
Mkuu sasa hii ni evacuation 😂😂😂
 
Mkuu sasa hii ni evacuation 😂😂😂
Yaani unawatoa kabisa ina Mana litakuwa ni pori, hata sijui why watu wa mipango miji walimkubalia azam akajenga viwanda pale buguruni , yaani alitakiwa aletwe hapa Chalinze Kama 100km kuja tanga ama moro
 
Nilisema population Tanzania ni ticking timebomb.

Tanzania ina average annual population increase ya 3%.

Na hapa hujaona kitu, population ya Dar inaenda ku double in the next 10 years.

Ila kuna watu ukiwaambia habari za uzazi wa mpango unagombana nao.

Wanasema Tanzania ni nchi kubwa inahitaji watu.
Ni nchi kubwa halaf wanataka kujazana sehem moja, kuna politican alipita akawaaminisha mambo ya hovyo, but in reality, population inataka ku overide resources, hili ni tatizo mbeleni
 
Serikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam.

Dar es Salaam watu wamerundikana sehemu moja kuanzia makazi hadi vyombo vya usafiri.

Sasa kwa nia njema kwanini kusiwe na mpango wa ku zuwia ongezeko la idadi ya watu kuhamia Dar na badala yake wapelekwe maeneo mengine kwani nchi yetu ni kubwa kijografia.

Hii itasaidia hata wakati wa majanga iwe rahisi maeneo mengi kufikika kwaajili ya kutoa msaada kwa haraka na kuokoa maisha ya watu na mali zao.

Watu waende kama ni kwaajili ya shughuli za biashara na kuondoka na si kujenga makazi.

Wakazi wa Dar karibuni Tandaimba, Handeni, Kasulu, Biharamulo, Nachingwea, Newala, Same na maeneo mengine.

Maisha bila kukimbilia na kujazana Dar es Salaam yanawezekana.
Nasikia kasulu ukijenga tu wanakuloga, bora niendelee kujibana manzese.
 
Dar, inatakiwa iwe na passport, ili kuwe na ukiritimba wa kuingia Dar, lazima upitie uhamiaji, na jobless/misheni town n.k wawe repatrieted to where they belong 😎
 
hakuna njia yoyote ya kupunguza watu zaidi ya kuboresha mikoa mengine kwa kutengeneza miundombinu bora employment & business opportunities pamoja na mazingira bora ya entertainments
 
Ni nchi kubwa halaf wanataka kujazana sehem moja, kuna politican alipita akawaaminisha mambo ya hovyo, but in reality, population inataka ku overide resources, hili ni tatizo mbeleni
Ukubwa wa nchi si eneo tu, hata uwezo wa kulitumia hilo eneo ni sehemu ya ukubwa wa nchi.

Ukiwa na nchi kubwa halafu bado unakata miti kupata mkaa na kuni, ukubwa wa nchi haukusaidii. Utakata miti nchi nzima iwe jangwa.

Hapo unakuwa na tatizo la wingi wa watu licha ya nchi kuwa kubwa.

Wakati mtu mwenye nchi ndogo anayejua kutumia nuclear energy anaweza kuwa hana tatizo kama lako, kicha ya kuwa na nchi ndogo.

Watu waache kutumia ukubwa wa ardhi ya nchi kama leseni ya kudharau wito wa kufanya uza,i wa mpango kwa kisingizio kisicho na mashiko cha "nchi kubwa".
 
Serikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam.

Dar es Salaam watu wamerundikana sehemu moja kuanzia makazi hadi vyombo vya usafiri.

Sasa kwa nia njema kwanini kusiwe na mpango wa ku zuwia ongezeko la idadi ya watu kuhamia Dar na badala yake wapelekwe maeneo mengine kwani nchi yetu ni kubwa kijografia.

Hii itasaidia hata wakati wa majanga iwe rahisi maeneo mengi kufikika kwaajili ya kutoa msaada kwa haraka na kuokoa maisha ya watu na mali zao.

Watu waende kama ni kwaajili ya shughuli za biashara na kuondoka na si kujenga makazi.

Wakazi wa Dar karibuni Tandaimba, Handeni, Kasulu, Biharamulo, Nachingwea, Newala, Same na maeneo mengine.

Maisha bila kukimbilia na kujazana Dar es Salaam yanawezekana.
Kwahiyo unamaanisha watu waingieā Dar kwa kitambilisho? Hasa chà NIDA
 
Back
Top Bottom