Kuweka au Kutokuweka WhatsApp status: Kuna uhusiano na mtu kuwa smart, msomi au tajiri?

Kuweka au Kutokuweka WhatsApp status: Kuna uhusiano na mtu kuwa smart, msomi au tajiri?

Nakubali mkuu maana imefikia hatua ata anunue chochot kwa hela yake ataweka status na kunishukur me mume kama ndo nimemnunulia vile utasikia "Asante mume wng kwa zawadi hii" 😂 mawifi wakiona inakua jau coz uku unakuta nishaombwa hela na kwa mda uwo inakua sinayo bc inakua kama naonekan stak tu kutoa iyo hela 😂
😄😄😄 Hapo anapokushukuru Kule watsap pamenichekesha saaana mkuu 😄😄
 
Ndani ya hizo siku 3 nilizofanya observation Niliona Kitu kimoja Cha kufedhehesha.

Kuna mzee mmoja anafanya kazi kwny haya mashirika ya kidini yanayopewaga fedha na donors kutoka nje(Yuko upande wa Procurement & Supply).

Naona siku hio alikua anatuma ka-video ka porn(Anal) kwa mchepuko/Malaya wake,Sasa badala ya kutuma kama video akaiweka kwny status yake halafu akaandika IMETOSHA?

Sijui Ni ugeni wake wa kutumia watsap au alipitiwa sielewi kwa kweli.
 
Kuna mama mmoja, ni mtu wa kanisa mke wa mtu.
Tunafanya naye matusi sana tena kuliko mwenzie.
Hizo status zake za wasap sasa!!!
  • Mungu muweza wa yote
  • Bwana, kama Wewe ungehesabu maovu,
  • Methali 14:1-18 Mwanamke mwenye hekima
  • Wewe, Mungu, Bwana wetu,

ANGALIZO: MAISHA YA MITANDAONI NI MAIGIZO TU, KWA WALIO SMART HAWANA HIZO TAKATAKA
Umesema kweli Kuna mam pia napiga nae show fupi fupi eti nae Ni mtu wa maombi Sana alfu ananishauri na mm niwe naomba na kufunga kbsa .nashibdwa kumuelewa anapata wapi ujasiri wa kwenda mbele za mungu kuomba wkt anaisaliti ndoa yake ategemei kbsa kuniacha ,haya maombi haya yaacheni tu Kam yalivyo Kuna Siri nyingi sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ndani ya hizo siku 3 nilizofanya observation Niliona Kitu kimoja Cha kufedhehesha.

Kuna mzee mmoja anafanya kazi kwny haya mashirika ya kidini yanayopewaga fedha na donors kutoka nje(Yuko upande wa Procurement & Supply).

Naona siku hio alikua anatuma ka-video ka porn(Anal) kwa mchepuko/Malaya wake,Sasa badala ya kutuma kama video akaiweka kwny status yake halafu akaandika IMETOSHA?

Sijui Ni ugeni wake wa kutumia watsap au alipitiwa sielewi kwa kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbna mzee katoa boko hvyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wengine wanaona jau tu sababu ya ndugu na jamaa waliotuzunguka. Nakumbuka kuna siku nilijiweka status nikajakushtuka watu kibao wameview hadi ndugu ambao sikuwa naongea nao karibia mwaka mzima, halafu wanapita kimya kimya. Tangu siku hiyo sikuweka tena status.

Shida ingine ya ile sehemu ya status, wengine tunaitumia kusoma tabia na moods za watu. Kuna siku utaumbuka tu na kujulikana ni mtu wa aina gani. Kuna ile game ya simba na yanga, nilikichafua na ushabiki wangu afu mayele akaja akaharibu kila kitu[emoji16][emoji16]. Familia nzima ikajua niko upande upi, kesho yake napigiwa simu na ndugu wananipa pole. Nikaja kujua kumbe ndugu zangu wengi ni yanga nikajikuta kama nimejichoresha tu.
Mimi binafsi sipendeleagi kuweka status na wala siangalii status ya mtu, labda kama uwe unapost memes tuuu.
 
Last status ilikuwa mwezi wa tano bday yangu

No pic ilikuwa tu neno +1 to my self
 
Kuna mtu humu nina namba zake huu mwaka unaenda wa pili, ila hata siku moja sijawahi muona akiweka status ama akiview zangu.

Siku nyingine naweka naset aone yeye mwenyewe lakini zitamaliza masaa 24 sioni akiview

Watu wa hivyo wana shida gani? Ni utu uzima au ndio wako busy hawana muda na status??

Bado nawashangaaa aisee

Nb: nina hakika hatumii un official wasap
Smart911 usimfanyie hivyo huyu kiumbe.
 
Umesema kweli Kuna mam pia napiga nae show fupi fupi eti nae Ni mtu wa maombi Sana alfu ananishauri na mm niwe naomba na kufunga kbsa .nashibdwa kumuelewa anapata wapi ujasiri wa kwenda mbele za mungu kuomba wkt anaisaliti ndoa yake ategemei kbsa kuniacha ,haya maombi haya yaacheni tu Kam yalivyo Kuna Siri nyingi sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ugopa Sana MTU anayependa kumtaja taja Mungu, Yesu , Allah, mtume kila mara wengi ni wanafiki Na wachafu vibaya mno
 
Kuna mtu humu nina namba zake huu mwaka unaenda wa pili, ila hata siku moja sijawahi muona akiweka status ama akiview zangu.

Siku nyingine naweka naset aone yeye mwenyewe lakini zitamaliza masaa 24 sioni akiview

Watu wa hivyo wana shida gani? Ni utu uzima au ndio wako busy hawana muda na status??

Bado nawashangaaa aisee

Nb: nina hakika hatumii un official wasap
Unaonekana huna shughuli za kufanya.
 
Back
Top Bottom