kaburungu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 3,706
- 6,901
NakaziaWashamba hao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaWashamba hao.
Duh pole sana aseee.. kwa iyo vp wew ulikua huoni za wengine?Mwezi mmoja au miwili iliyopita ndio nimejua status Nini, Nilikua najua ndio profile pic.
Na watsup nimeanza kuitumia tangu enzi hizo za Nokia E72(Symbian).
😄😄😄 Hapo anapokushukuru Kule watsap pamenichekesha saaana mkuu 😄😄Nakubali mkuu maana imefikia hatua ata anunue chochot kwa hela yake ataweka status na kunishukur me mume kama ndo nimemnunulia vile utasikia "Asante mume wng kwa zawadi hii" 😂 mawifi wakiona inakua jau coz uku unakuta nishaombwa hela na kwa mda uwo inakua sinayo bc inakua kama naonekan stak tu kutoa iyo hela 😂
Ndio mkuu.Duh pole sana aseee.. kwa iyo vp wew ulikua huoni za wengine?
Yaaani ni anapenda show off za kijinga 😂 wife yaani ata abadili line leo bc akiweka t status akikuonyesha izo views zake zinafik ata watu 80 bc mwenyew anaona raha😄😄😄 Hapo anapokushukuru Kule watsap pamenichekesha saaana mkuu 😄😄
😄Na wewe si upo kundi la kuweka status mara moja kwa mwezi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimepita Dogo..
Maki kawaje tena?
Umesema kweli Kuna mam pia napiga nae show fupi fupi eti nae Ni mtu wa maombi Sana alfu ananishauri na mm niwe naomba na kufunga kbsa .nashibdwa kumuelewa anapata wapi ujasiri wa kwenda mbele za mungu kuomba wkt anaisaliti ndoa yake ategemei kbsa kuniacha ,haya maombi haya yaacheni tu Kam yalivyo Kuna Siri nyingi sanaKuna mama mmoja, ni mtu wa kanisa mke wa mtu.
Tunafanya naye matusi sana tena kuliko mwenzie.
Hizo status zake za wasap sasa!!!
- Mungu muweza wa yote
- Bwana, kama Wewe ungehesabu maovu,
- Methali 14:1-18 Mwanamke mwenye hekima
- Wewe, Mungu, Bwana wetu,
ANGALIZO: MAISHA YA MITANDAONI NI MAIGIZO TU, KWA WALIO SMART HAWANA HIZO TAKATAKA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbna mzee katoa boko hvyoNdani ya hizo siku 3 nilizofanya observation Niliona Kitu kimoja Cha kufedhehesha.
Kuna mzee mmoja anafanya kazi kwny haya mashirika ya kidini yanayopewaga fedha na donors kutoka nje(Yuko upande wa Procurement & Supply).
Naona siku hio alikua anatuma ka-video ka porn(Anal) kwa mchepuko/Malaya wake,Sasa badala ya kutuma kama video akaiweka kwny status yake halafu akaandika IMETOSHA?
Sijui Ni ugeni wake wa kutumia watsap au alipitiwa sielewi kwa kweli.
Hivi na mimi nipo kundi hilo?[emoji1787][emoji1]Na wewe si upo kundi la kuweka status mara moja kwa mwezi
Eeh,binti mdogo unajidai umri umeenda😄,post memes banaHivi na mimi nipo kundi hilo?[emoji1787]
Smart911 usimfanyie hivyo huyu kiumbe.Kuna mtu humu nina namba zake huu mwaka unaenda wa pili, ila hata siku moja sijawahi muona akiweka status ama akiview zangu.
Siku nyingine naweka naset aone yeye mwenyewe lakini zitamaliza masaa 24 sioni akiview
Watu wa hivyo wana shida gani? Ni utu uzima au ndio wako busy hawana muda na status??
Bado nawashangaaa aisee
Nb: nina hakika hatumii un official wasap
Ha ha ha...Eeh,binti mdogo unajidai umri umeenda[emoji1],post memes bana
Yuko moja huku status inakuwa vinukta nukta nyingi SanaKuna wale daily wanaweka status kama mataruma ya reli… sifungui unless uwe unawekaga memes.
Ugopa Sana MTU anayependa kumtaja taja Mungu, Yesu , Allah, mtume kila mara wengi ni wanafiki Na wachafu vibaya mnoUmesema kweli Kuna mam pia napiga nae show fupi fupi eti nae Ni mtu wa maombi Sana alfu ananishauri na mm niwe naomba na kufunga kbsa .nashibdwa kumuelewa anapata wapi ujasiri wa kwenda mbele za mungu kuomba wkt anaisaliti ndoa yake ategemei kbsa kuniacha ,haya maombi haya yaacheni tu Kam yalivyo Kuna Siri nyingi sana
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unaonekana huna shughuli za kufanya.Kuna mtu humu nina namba zake huu mwaka unaenda wa pili, ila hata siku moja sijawahi muona akiweka status ama akiview zangu.
Siku nyingine naweka naset aone yeye mwenyewe lakini zitamaliza masaa 24 sioni akiview
Watu wa hivyo wana shida gani? Ni utu uzima au ndio wako busy hawana muda na status??
Bado nawashangaaa aisee
Nb: nina hakika hatumii un official wasap
You’re rightUnaonekana huna shughuli za kufanya.