Kuwekwa kwa somo ya Kiislamu kwenye Tahasusi kunaashiria nini?

Tupendane Watanganyika vita yetu ni moja kumtoa adui CCM na ni lengo lao tugeukiane sisi kwa sisi hizi ni mbinu.
Hata hiyo Tanganyika wanayodai haitoweza kufika popote kukiwa na mitazamo ya chuki namna hii .Utaona teuzi ikitoka hata Idadi ya Waislamu ikizidi kidogo ni kelele kama nidhambi Waislamu kuongoza inchi hii wao ndio wanastahili pekee kinyume wakiwa watu wa dini yao wanakaa kimya .

Brother Malcolm X aliongea kuhusu watu kuhangaika na chuki za kidini wakati nchi ina matatizo makubwa na watu wanafaidika wanapoona mnazozana coz mnatoka katika mstari mmoja wa kudai haki ,uwajibikaji na utawala bora.

 
Kwahyo hiyo knowledge ya Islamic itamsaidia nini mwanafunzi akiwa na ufaulu mkubwa!?

Au ni kipaumbele pia wakiingia kazini ama itamsaidia vipi kwenye kujiajiri!?
 
Ni kuwasaidia ufaulu, wala usikonde Wakristo hawana tabia ya ulalamishi.
At the end, mchele na pumba lazima zitatengana.
Mtu msimo atakuwa msomi. Mjinga atakuwa anamwaga ushuzi kwa kwenda mbele na elimu yake bandit.
As long as Islam inasaidia watu kuwa wasomi bora, wenye kuongezea maana kwenye haya maisha, sioni cha kuogopwa
 
Mbona sioni Tanzania bara hiyo tahasusi ya inayojumuisha Islamic?


Ni Zanzibar mkuu relax.
 
Binafsi naona kwamba Knowledge is Power; sasa kama wewe binafsi unaamua kujikita kwenye kutafuta / kuendeleza ufahamu zaidi kwenye Tasnia fulani all the best; Ingawa kujikita sana kwenye Imani sidhani kama kutalivusha sana Taifa kutoka hapa tulipo mpaka pale.....; Tunahitaji sana fikra za kupambana na Changamoto zilizopo humu humu Duniani (kwa manufaa ya wote) kuliko hata Furaha ya huko utakapokwenda Ukifa (Kwa manufaa yako Binafsi )

Anyway to each his / her own

Ila katika ajira sioni kama itaongeza Wigo wa Ajira kwa hao Wadogo zetu; Ningefurahi zaidi kuona Agriculture hapo imenyunyizwa zaidi
 
Sijawahi kufaidika kwa lolote kwa mtu wa dini yangu kuteuliwa, hayo ni manufaa yake na familia yake Tena siyo wote.

Kuna ndugu yangu wa karibu aliwahi kuteuliwa na Rais sikuwahi kufaidika naye kwa lolote kutokana na post yake.

Kwahiyo ni watu wajinga tu wanaojificha kwenye dini zote waislamu na Wakristo, hizi dini mbili zina kundi kubwa la watu wajinga.
 
hapana tulikofikia huu sasa tutauita mchepuko wa adifansi
 
Mimi sio muislam
Ila mbona kwenye hizo combi kiingereza kipo tena miaka mingi na ndio lugha ya kufundishia elimu ya juu
Tatzo sio Kiarabu, nahisi tatzo ni islamic.

Kwani hilo somo ni elimu dunia mpaka lifundishwe!?
Tukipata wataalamu wa kiislamu waliofunzwa kwa ufadhili wa serikali, serikali yenyewe inawatumiaje hawa wataalamu kwa manufaa ya taifa lote?

Au huelewi hizo shule zinajengwa na kuendeshwa kwa kodi za watu wote, islam, christian, atheism etc

Hapa ndipo kwenye hekima, na hiki ni kipimo cha hekima (kwa mwenye imani)
 
Dp world wakija bila hio Islamic knowledge mtaishia kazi za getini😅😅😅
Mimi naswali na nafunga ila hizi hasira za dini sinaga au Sina Imani?
yani mimi nafuga ndevu sababu Mtume kafuga na mimi napenda ila sio kisa waarabu kama Mtume Angelikua masai mngenikuta na lubega
 
Jibu :Sifahamu .

Weka povu lengine endelea kazi yangu hapa ni kutathini mapovu.
Kama haufahamu faida ya somo hilo na ukafurahia kuwepo hapo, hapo Nitakiuta shabiki wa kidini.
Umeshindwa kuzijali imani za wenzako.

Mambo ya imani yabaki pembeni,
Sio kwenye serikali.

Kwamaana Tanzania si nchi ya kidini.
Kwanini hujali imani za wenzako?
Hujui kuwa hata wao (imani zingine) wanaamini dini yao ni ya kweli kuzidi zote?
 
Binafsi naona ni sawa tu. Wengine malengo yao kuwa Masheikh au walimu wa Madrasa. Kuweka balance angeweka na combinations za Bible studies twende sawa.

Ifikapo 2030 tungeweza kuwa na madrasa kila mtaaa bila kusahau manabii na mitume kila uchochoro.
Sasa mashehe au wachungaji wafundishwe kwa kodi za hata wasio na dini?

Mambo ya dini yasiingie serikalini.....kama ni somo la kiarabu hapo ni sawa na haina shida ila kama ni somo la Islamic hapo kuna shida na itazua migogoro mingi.

Kuna mdau kasema hayo yapo katika nchi ya Zanzibar kama ni huko haitusumbui ila kama inatumika hadi katika nchi yetu ya Tanganyika,HAITAKUBALIKA KAMWE sio Islamic wala sio Upadri na Uchungaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…