ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ufaulu wa dini haukupi Alama za kwenda popoteNi kuwasaidia ufaulu, wala usikonde Wakristo hawana tabia ya ulalamishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufaulu wa dini haukupi Alama za kwenda popoteNi kuwasaidia ufaulu, wala usikonde Wakristo hawana tabia ya ulalamishi.
hilo ni somo kama somo lingine lazma walipwe.pia lina faida katika kujenga maadil ndani ya jamii.Haitakiwi kuwa mtaala wa serikali.
Ina maana hao walimu wa dini watakuwa wakilipwa mshahara na serikali ( Ajabu hii kwa serikali isiyo na dini).
Mtaala wowote wa Elimu una malengo unataka kufanikisha, huu wa dini lengo lake ni nini?
Kama taifa tumeona kuna upungufu kwenye suala la Dini kwamba linahitaji kuongeza Nguvu?
Hao watoto unaowafunza dini, unataka waje kufanya nini baadae? ( career)
Maswali ni Mengi ukijiuliza unabaki unashangaa tu.
Mbona hujajibu maswali Mengine?hilo ni somo kama somo lingine lazma walipwe.pia lina faida katika kujenga maadil ndani ya jamii.
bila shaka kizazi kinatpotea kwa kukosa mafunzo ya maadili.na uislam unafundisha hayo maadili.acha chuki.Mbona hujajibu maswali Mengine?
Hiyo ni Imani, Ideology ( unamprogram mtu ) hilo sio somo la kawaida.
Maadili?
So, mmomonyoko wa maadili ni kwa kuwa hatuna somo la kiislam kama somo rasmi?
Chuki iko wapi mkuu?bila shaka kizazi kinatpotea kwa kukosa mafunzo ya maadili.na uislam unafundisha hayo maadili.acha chuki.
Hujakosea! Mambo yanakwenda kasi sana.Jiandaeni huko mbeleni tenda au Ajira za Bandari zitakuwa na kifungu hiki: Knowlege of Islamic and Arabic Language will be an added advantage
Umeeleweka KAFIRI,chuki yako dhidi ya uislamu ni kubwa mnoView attachment 2680112
Kuna siri nyuma ya pazia? Kuna watu wana jambo lao? Kama sio kwa nini Bible knowledge haipo? Kwa nini limekuja awamu ya 6?
=====
Hii ni orodha ya masomo kwenye TAHASUSI za Tanzania Bara pamoja na Zanzibar, kwa Zanzibar wana masomo ya dini yanayoingia kwenye TAHASUSI tofauti na Tanzania Bara.
A-level subject combinations for Tanzania Bara (Mainland) and Zanzibar
If you’re looking for A’level Combinations in Tanzania, This guide will help you as we have provides all information about A’level Combinations in Tanzania.
Doing or choosing the right Combination after O’level is very mandatory, since professional career begins in choosing the right Combination and it also plays a vital role in professional life. In the current scenario with so many available options for courses and tough competition, it is very hard and confusing to decide for both students and parents. With so many influential people around, we often get swayed or simply do what is toNaturalld by our parents.
But it is very important to know and analysis your interests as well as options available in that Field.
Let us have a look of all A’level Combinations in TANZANIA to understand your career option
in a better way:
The following are the List of A’level Combinations in Tanzania.
Tanzania Bara (Mainland)
Zanzibar
- PCM - Physics, Chemistry and Mathematics
- PCB - Physics, Chemistry and Biology
- PGM - Physics, Geography and Mathematics
- EGM - Economics, Geography and Mathematics
- CBG - Chemistry, Biology and Geography
- CBA - Chemistry, Biology and Agriculture
- CBN - Chemistry, Biology and Food and Human Nutrition
- PMC – Physics, Mathematics and Computer Science
- PeBFa – Physical Education, Biology and Fine Arts
- HGL - History, Geography and English Language
- HGK - History, Geography and Kiswahili
- HKL - History, Kiswahili and English Language
- KLF - Kiswahili, English Language and French
- ECA - Economics, Commerce and Accountancy
- HGE - History, Geography and Economics
- PeGE – Physical Education, Geography and Economics
- KFC – Kiswahili, French and Chinese
- KEC – Kiswahili, English and Chinese
Schoolpvh

- HKF - History, Kiswahili, French language
- AHG - Arabic language, History and Geography
- KAR - Kiswahili, Arabic language, and Islamic
- KLG - Kiswahili, English language and Geography
- AKF - Arabic Language, Kiswahili and french language
- AHK - Arabic language, History and Kiswahili
- AKL - Arabic language, Kiswahili and English language
- KLI - Kiswahili English Language and Islamic
- GKI - Geography, Kiswahili and Islamic
- CBM - Chemistry, Biology and Mathematics
- HLF - History, English language and French language
- PeCB - Physical Education, chemistry and Biology
- PcoM - Physics, Computer and Advanced Mathematics
Kwani hiyo "tahasusi" unayoiongelea ni lazima mtu asiyeitaka aisome?View attachment 2680112

Siyo "mbeleni" Hata sasa ni advantage kubwa sana kwenye banking Industry toka zilipoanzishwa Islamic Bnking na kutapakaa duniani. Pia kama ulivyoona kuna Takaful ambayo ni Islamic Insurance imeshaanza kutapakaa duniani.Jiandaeni huko mbeleni tenda au Ajira za Bandari zitakuwa na kifungu hiki: Knowlege of Islamic and Arabic Language will be an added advantage
Wanataka wawe na watu competent wakufanya mihadhara tu kuzodoa dini zingine.Chuki iko wapi mkuu?
Kwanini nikuchukie wewe au yeyote yule?
Ntapata nini nikikuchukia.
Serikali ( isiyo na dini ) inatumia kodi za wananchi ( wa dini zote) kufundisha ideology fulani ( ambayo sio wananchi wake wote wanaiamini).
Hichi ni kichekesho.
Mnataka hao watoto ( mnaowaprogramm tangu wakiwa wadogo) waje kuwa kina nani?
Mnatengeneza taifa la wafanya mihadhara?
Unajua inabidi tufike sehemu tutofautishe “state” and “religion”. Wanaohoji wana haki maana asilimia 4 ya mapato ya muungano huenda Zanzibar. Pia katiba ya Jamhuri ambayo ni katiba mama ina elimu ya juu kama suala la Muungano. Kuchukua hela yangu kumlipa mwalimu wa dini wa upande mmoja ni kosa.bila shaka kizazi kinatpotea kwa kukosa mafunzo ya maadili.na uislam unafundisha hayo maadili.acha chuki.
Hizo combi si zipo Zanzibar tu, ss ww inakuuma nn ingekuwa zipo na bara Sawa. Hapo cha kufanya ili usiendelee kuumia peleka ombi wizara ya elimu ili waweke kombi za bible knowledge, hata wakristo wenyewe hawataki kuijua dini yao. Zanzibar wao wana imanı wanasoma uislamu mpk kwenye combi lkn ukiileta bara hakuna atakayetaka kusoma bible knowledge kila mtu atakimbilia kombi za PCB, PCM n.k ili baadae waje kuwa wapigajiView attachment 2680112
Kuna siri nyuma ya pazia? Kuna watu wana jambo lao? Kama sio kwa nini Bible knowledge haipo? Kwa nini limekuja awamu ya 6?
=====
Hii ni orodha ya masomo kwenye TAHASUSI za Tanzania Bara pamoja na Zanzibar, kwa Zanzibar wana masomo ya dini yanayoingia kwenye TAHASUSI tofauti na Tanzania Bara.
A-level subject combinations for Tanzania Bara (Mainland) and Zanzibar
If you’re looking for A’level Combinations in Tanzania, This guide will help you as we have provides all information about A’level Combinations in Tanzania.
Doing or choosing the right Combination after O’level is very mandatory, since professional career begins in choosing the right Combination and it also plays a vital role in professional life. In the current scenario with so many available options for courses and tough competition, it is very hard and confusing to decide for both students and parents. With so many influential people around, we often get swayed or simply do what is toNaturalld by our parents.
But it is very important to know and analysis your interests as well as options available in that Field.
Let us have a look of all A’level Combinations in TANZANIA to understand your career option
in a better way:
The following are the List of A’level Combinations in Tanzania.
Tanzania Bara (Mainland)
Zanzibar
- PCM - Physics, Chemistry and Mathematics
- PCB - Physics, Chemistry and Biology
- PGM - Physics, Geography and Mathematics
- EGM - Economics, Geography and Mathematics
- CBG - Chemistry, Biology and Geography
- CBA - Chemistry, Biology and Agriculture
- CBN - Chemistry, Biology and Food and Human Nutrition
- PMC – Physics, Mathematics and Computer Science
- PeBFa – Physical Education, Biology and Fine Arts
- HGL - History, Geography and English Language
- HGK - History, Geography and Kiswahili
- HKL - History, Kiswahili and English Language
- KLF - Kiswahili, English Language and French
- ECA - Economics, Commerce and Accountancy
- HGE - History, Geography and Economics
- PeGE – Physical Education, Geography and Economics
- KFC – Kiswahili, French and Chinese
- KEC – Kiswahili, English and Chinese
Schoolpvh
- PCB - Physics, Chemistry and Biology
- PCM - Physics, Chemistry and Mathematics
- PGM - Physics, Geography and Mathematics
- EGM - Economics, Geography and Mathematics
- CBG - Chemistry, Biology and Geography
- CBA - Chemistry, Biology and Agriculture
- CBN - Chemistry, Biology and Food and Human Nutrition
- PMC – Physics, Mathematics and Computer Science
- PeBFa – Physical Education, Biology and Fine Arts
- HGL - History, Geography and English Language
- HGK - History, Geography and Kiswahili
- HKL - History, Kiswahili and English Language
- KLF - Kiswahili, English Language and French
- ECA - Economics, Commerce and Accountancy
- HGE - History, Geography and Economics
- PeGE – Physical Education, Geography and Economics
- CBA - Chemistry, Biology and Agriculture
- HKF - History, Kiswahili, French language
- AHG - Arabic language, History and Geography
- KAR - Kiswahili, Arabic language, and Islamic
- KLG - Kiswahili, English language and Geography
- AKF - Arabic Language, Kiswahili and french language
- AHK - Arabic language, History and Kiswahili
- AKL - Arabic language, Kiswahili and English language
- KLI - Kiswahili English Language and Islamic
- GKI - Geography, Kiswahili and Islamic
- CBM - Chemistry, Biology and Mathematics
- HLF - History, English language and French language
- PeCB - Physical Education, chemistry and Biology
- PcoM - Physics, Computer and Advanced Mathematics
Leaving certificate haioneshi matokeo ya mwanafunzi, ni karatasi inayoonesha mwanafunzi alimaliza shule fulani basiAhahah niliona living certificate ya mtu kafaulu kwa alama B somo la Islamic peeke tu
Kumbe LEAVING CERTIFICATE za siku hizi zinawekwa na matokeo?Ahahah niliona living certificate ya mtu kafaulu kwa alama B somo la Islamic peeke tu
Tumefikaje Hapa?Jiandaeni huko mbeleni tenda au Ajira za Bandari zitakuwa na kifungu hiki: Knowlege of Islamic and Arabic Language will be an added advantage
NdioKumbe LEAVING CERTIFICATE za siku hizi zinawekwa na matokeo?
Wew now days inaonyeshaLeaving certificate haioneshi matokeo ya mwanafunzi, ni karatasi inayoonesha mwanafunzi alimaliza shule fulani basi
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app