Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Shobo ukichanganya na tamaa ni hatari sana😂Mbona huu utapeli wa muda sana na nyie ujinga muache aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shobo ukichanganya na tamaa ni hatari sana😂Mbona huu utapeli wa muda sana na nyie ujinga muache aisee
kubet mbon hamna nothing free mkuu?Pole sana, Mimi kwa falsafa yangu, huwa siamini kama kuna kitu cha bure, au kamserereko!
Nothing goes without a price! Ndio maana huwa saiamini michezo ya kubet!
Hakuna mtu wakukupa hela au mchongo wa hela kama sio rafiki yako au ndugu yakoUkiona unaitwa kwenye fursa fahamu kuwa ww ndio fursa
Hao hao ndugu ndio siku hizi wanatusumbua na hizi fursa mchongoHakuna mtu wakukupa hela au mchongo wa hela kama sio rafiki yako au ndugu yako
Kuna njia ya hii ya utapeli ambapo mtu anatengeneza urafiki na wewe kupitia mtandaoni. Kadri siku zinavyoenda mnatengeneza ukaribu na ka imani kanaanza kukuingia kiasi fulani kuwa umepata rafiki mzuri kutoka nchi jirani japokuwa wakati mwingine inaweza kuwa hapa hapa bongo.
Sasa akishaona umemuamini anakwambia fulani nina zawadi kwaajili yako nataka nikutumie, anakuonesha zawadi hizo na mara nyingi zinakuwa ni za gharama kubwa sana. Anakupigia picha akizipaki mpaka siku anazituma na anakupa mawasilianao ya mtu au kampuni inayotakiwa kudeliver mzigo huo.
Mzigo ukifika mtu au kampuni uliyoambiwa itakupatia mzigo huo wanakupigia simu kukujulisha kuwa mzigo umefika, lakini mzigo huwa unakuwa umepelekwa mji tofauti na wewe, na hapo utaambiwa, address ilikosewa au imetokea kutoelewana/sintofamu mzigo umetumwa sehemu nyingine, ili utumiwe mzigo huo unatakiwa kutuma pesa ya usafiri.
Ukiangalia pesa ya usafiri unayotajiwa na thamani ya vitu ulivyotumiwa unaona pesa ya usafiri ni ndogo sana, hivyo huoni hata shida ya kutuma! Ukishatuma tu imekula kwako, kampuni au mtu huyo anakublock inakuwa imetoka hiyo, ushaliwa!
Jambo la kuzingatia ili usije kuingia mkenge, watu hawa huwa hawataki kutumia video call, utabaki kuona profile picture zao na kusikia sauti lakini katu hawakubali kufanya video call ili ujue utambulisho wao.
Watu hawa wamekuwa wakitumia udhaifu wa watu kuwa wapweke kihisia kutapeli watu, sio upande wa mapenzi tu hata urafiki wa kawaida, jinsi wanavyokuchota utaona nimepata rafiki wa kweli kumbe mtu yupo kazini.
Kuweni makini.
Atakua mgeni mjini huyu[emoji81][emoji81] wame jaa uko kwenye email wengine wana jifanya wanajeshi wa Afghanistan wame piga dola hawana pa kuzi peleka wana taka wa invest kupitia wewe .ukiwa ndezi una pigwaHuu wizi wa 2013 uko ndio umeanza sio Leo waanzilishi wa wizi huu ni Wanageria na watu wa afrika magharibi sema pole umechelewa kujua .
But all in all tu take care wezi uja na mbinu mpya kila Siku!!