Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Mimi nimetafutwa na huyu..!!!
Kwenye blue ndo majibu yangu
Kwenye blue ndo majibu yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi dunia hii kweli bado kuna watu wanaamini kuwa unaweza ukatumiwa zawadi na mtu mliyejuana naye mitandaoni tu?Kuna njia ya hii ya utapeli ambapo mtu anatengeneza urafiki na wewe kupitia mtandaoni. Kadri siku zinavyoenda mnatengeneza ukaribu na ka imani kanaanza kukuingia kiasi fulani kuwa umepata rafiki mzuri kutoka nchi jirani japokuwa wakati mwingine inaweza kuwa hapa hapa bongo.
Sasa akishaona umemuamini anakwambia fulani nina zawadi kwaajili yako nataka nikutumie, anakuonesha zawadi hizo na mara nyingi zinakuwa ni za gharama kubwa sana. Anakupigia picha akizipaki mpaka siku anazituma na anakupa mawasilianao ya mtu au kampuni inayotakiwa kudeliver mzigo huo.
Mzigo ukifika mtu au kampuni uliyoambiwa itakupatia mzigo huo wanakupigia simu kukujulisha kuwa mzigo umefika, lakini mzigo huwa unakuwa umepelekwa mji tofauti na wewe, na hapo utaambiwa, address ilikosewa au imetokea kutoelewana/sintofamu mzigo umetumwa sehemu nyingine, ili utumiwe mzigo huo unatakiwa kutuma pesa ya usafiri.
Ukiangalia pesa ya usafiri unayotajiwa na thamani ya vitu ulivyotumiwa unaona pesa ya usafiri ni ndogo sana, hivyo huoni hata shida ya kutuma! Ukishatuma tu imekula kwako, kampuni au mtu huyo anakublock inakuwa imetoka hiyo, ushaliwa!
Jambo la kuzingatia ili usije kuingia mkenge, watu hawa huwa hawataki kutumia video call, utabaki kuona profile picture zao na kusikia sauti lakini katu hawakubali kufanya video call ili ujue utambulisho wao.
Watu hawa wamekuwa wakitumia udhaifu wa watu kuwa wapweke kihisia kutapeli watu, sio upande wa mapenzi tu hata urafiki wa kawaida, jinsi wanavyokuchota utaona nimepata rafiki wa kweli kumbe mtu yupo kazini.
Kuweni makini.
Anajiita Dr daimond anatumia code za Senegal yuleKuna mdada alikuwa ananitafta sijui ile code namba ya nchi gani kajitambulisha ni Dr, yupo ktk taasisi za donation katika na PC zake nyingi aseme anavyochati tu nilimwelewa nikawa namsikilizia tu baadae aliacha inawezekana alishtuka sina Papara na hela zake
Ndo umejua leoKuna njia ya hii ya utapeli ambapo mtu anatengeneza urafiki na wewe kupitia mtandaoni. Kadri siku zinavyoenda mnatengeneza ukaribu na ka imani kanaanza kukuingia kiasi fulani kuwa umepata rafiki mzuri kutoka nchi jirani japokuwa wakati mwingine inaweza kuwa hapa hapa bongo.
Sasa akishaona umemuamini anakwambia fulani nina zawadi kwaajili yako nataka nikutumie, anakuonesha zawadi hizo na mara nyingi zinakuwa ni za gharama kubwa sana. Anakupigia picha akizipaki mpaka siku anazituma na anakupa mawasilianao ya mtu au kampuni inayotakiwa kudeliver mzigo huo.
Mzigo ukifika mtu au kampuni uliyoambiwa itakupatia mzigo huo wanakupigia simu kukujulisha kuwa mzigo umefika, lakini mzigo huwa unakuwa umepelekwa mji tofauti na wewe, na hapo utaambiwa, address ilikosewa au imetokea kutoelewana/sintofamu mzigo umetumwa sehemu nyingine, ili utumiwe mzigo huo unatakiwa kutuma pesa ya usafiri.
Ukiangalia pesa ya usafiri unayotajiwa na thamani ya vitu ulivyotumiwa unaona pesa ya usafiri ni ndogo sana, hivyo huoni hata shida ya kutuma! Ukishatuma tu imekula kwako, kampuni au mtu huyo anakublock inakuwa imetoka hiyo, ushaliwa!
Jambo la kuzingatia ili usije kuingia mkenge, watu hawa huwa hawataki kutumia video call, utabaki kuona profile picture zao na kusikia sauti lakini katu hawakubali kufanya video call ili ujue utambulisho wao.
Watu hawa wamekuwa wakitumia udhaifu wa watu kuwa wapweke kihisia kutapeli watu, sio upande wa mapenzi tu hata urafiki wa kawaida, jinsi wanavyokuchota utaona nimepata rafiki wa kweli kumbe mtu yupo kazini.
Kuweni makini.
😂😂😂😂 Acheni umalaya wa kingeseMimi sikutapeliwa by the way nilidhalilishwa mbaya na ndio siku niliyoacha kutumia mtandao wa face book.
Nilikua na rafiki profile pictures zake ni za kizungu mdada mzuri tu.
Akaniongelesha tukawa tunaongeleshana here and there.
Siku moja akaenda live na kuanza kuvua vua nguo kama kuni seduce. Bahati mbaya nilikua job. Nikamwambia nitachat nae when I'm alone.
Baas kama unavyojua sisi wanaume tukionesha paluchu akili inavyohama.
Nimefika magetoni moja kwa moja nikaingia fesbuku nikaanza kumpigia live call.
Tricky alokua anatomic mwehu yule anakatakata akisingizia network. Akaanza tena anaenda live anaji chokonoa na kidole kama anajimasterbate. Huku ananiambia I can make you cum.
Bladifaki akaniomba na mimi aone dudu yangu. Bila kuwaza Nami nikamshoo akaniambia tu cum together baasi Nami nikaanza kujipiga puli huku namuangalia nayeye anavyojichezea tena kwa miguno mpaka nikapiga bao. Mzee baba ni baada tu ya zoezi kuisha akanipigia whatsap call. Dude sura ya kazi qkitaka nimlipe doll 10k ili asilikishe video yangu nikijipiga puli.
Na alishatengeneza Facebook group lina watu wangu wote.
Advertise akanitumia kwanza hiyo video wasap.
Daah ilikua msala!
Kanitumia account number na 24hrs sijatuma ananiweka adharani.
Nilipatwa wakati mgumu maishani.
Wakati najitafuta how to block my Facebook account, jamaa akaiachia video!
Daah ilikua aibu ya mwaka.