Wala hukutakiwa kubishana nae hadi paragraph ya pili. Hakuna kitu kibaya duniani kama kuoa au kuwa na mwanamke unaempenda lakini asiekupenda. Utakuwa mtumwa wa mapenzi au unaweza hata kukuta unapoteza maisha au unapewa kifungo cha maisha jela. Kaa mbali sana ikiwa mwanamke hakupendi, hata kama unampenda kuliko unavyompenda mama yako!
Kumkumbatia mwanamke unaempenda lakini yeye hakupendi ni sawa na kuamua kumkumbatia nyoka black mamba (koboko) kwa kuwa umeona anatabasamu!
Muache aende ila siku akirudi tena kwako kikubwa fany kulipia t iyo k yake ukimaliz unalipa unasepa zako ishu za kulipa pango na ada za mtt achana nazo