Kuweni makini sana na hawa single mama, mimi yamenikuta mazito ila namwachia Mungu

Kuweni makini sana na hawa single mama, mimi yamenikuta mazito ila namwachia Mungu

Wala hukutakiwa kubishana nae hadi paragraph ya pili. Hakuna kitu kibaya duniani kama kuoa au kuwa na mwanamke unaempenda lakini asiekupenda. Utakuwa mtumwa wa mapenzi au unaweza hata kukuta unapoteza maisha au unapewa kifungo cha maisha jela. Kaa mbali sana ikiwa mwanamke hakupendi, hata kama unampenda kuliko unavyompenda mama yako!

Ni salama zaidi kumkumbatia nyoka black mamba kuliko kumkumbatia mwanamke unaempenda lakini yeye hakupendi. Angalau tabasamu la black mamba utakapomkumbatia litakuwa na kweli!

View attachment 3171306
Sahihi☹
 
Back
Top Bottom