Kuyafunua yaliyofunikwa: Historia ya kweli ya Uyahudi na Wayahudi

Hiyo niyakwako mimi kwenye kusoma kwangu Yuda ndio mtoto wa nne wa uzao wa Mzee Wetu Yakubu au Israel na alipokuwa na atoa mibaraka ya mwisho ukisoma utagundua Yuda alibarikiwa sana kuliko wote na Mzee wake
Yuda alilala na mamake,yaani mke wa yakobo,yakobo alikuwa na wake 4,,mmojawapo ndo yuda alifanya nae mapenzi,,yakobo alisikitika sana akamlaani yuda na kumfukuza kutoka nyumbani kwake
 
Oh,sorry,siyo yudah,Reuben ndo alilala na mamake,sorry
 
Hiyo niyakwako mimi kwenye kusoma kwangu Yuda ndio mtoto wa nne wa uzao wa Mzee Wetu Yakubu au Israel na alipokuwa na atoa mibaraka ya mwisho ukisoma utagundua Yuda alibarikiwa sana kuliko wote na Mzee wake
Weka andiko hapa tusome.
 
Acha kujifanya wewe unajua zaidi kuliko wengine

Yusufu ndio mtoto kipenzi wa Mzee Yakubu ila kwenye mibaraka alipewa mikubwa sana Yuda
Mwannadamu hatoi baraka kwanza hili wrka akilini.

Pili, onyesha hiyo mibaraka.
 
Yuda alilala na mamake,yaani mke wa yakobo,yakobo alikuwa na wake 4,,mmojawapo ndo yuda alifanya nae mapenzi,,yakobo alisikitika sana akamlaani yuda na kumfukuza kutoka nyumbani kwake
Tulia wewe hujui na nenda kasome up upya

Rubeni ndio mzaliwa wa kwanza na alilala na kijakazi wa Baba yake
 
You are out of the context!
 
Tofauti na Mahindu na Mabudha hawa hawajinasibishi na mtume yeyote ila Mayahudi wanajinasibisha na nabii Musa hali ya kuwa hawana uhusiano wowote na nabii Musa,hili nitalithibitisha huko mbeleni panapo majaliwa.
Kumtenganisha Musa na wayahudi ni ujinga. Ni sawa na kuwatenganisha waarabu na Muhammad. Halaf kitu kinanishangaza, dini ya kiyajudi ilikuwepo kabla ya uislamu miaka zaidi ya 1500, sijui kwanini waislamu wanahangaika kutaka kumpora Musa kutoka kwa wayahudi
 
Labda tuongee kielimu,naomba ushahidi unao onyesha ya kuwa kipindi musa yupo Uyahudi ulikuwepo.

Uyahudi kuwepo kabla ya Uislamu alio kuja nao mtume Muhammad hii si hoja,wala si hoja ya kuonyesha Uyahudi na nabii Musa ni kitu kimoja.
 
Sawasawa
 
Misingi ya dini ya uyahudi(Judaism) ilijengwa na Musa mwenyewe baada ya kupewa amri 10 na Mungu. Hivyo huwezi tenganisha dini ya Uyahudi (Judaism) na Musa. Uyahudi ni dini kama uislamu au ukristo.
 
Misingi ya dini ya uyahudi(Judaism) ilijengwa na Musa mwenyewe baada ya kupewa amri 10 na Mungu. Hivyo huwezi tenganisha dini ya Uyahudi (Judaism) na Musa. Uyahudi ni dini kama uislamu au ukristo.
Thibitisha hilo. Ukiweza naacha huu mjadala. Usichanganye viwili hivi.

Kingine zingatia ya kuwa kuna Wana wa Israeli na kuna Mayahudi.

Hakuna aliyepinga kama Uyahudi si dini. Ndiyo maana nakataa unapo inasibisha na nabii Musa,sababu nabii Musa alikuwa Muislamu.
 
Hahaha yani unafurahisha kweli, Uislamu umeletwa juzi tu na Muhammad, Muhammad amezaliwa mwaka 570 BK, wakati nabii Musa alizaliwa miaka 1000 kabla yake. Na Muhammad ndo alileta uislamu. Na Surat Al Maaida Aya ya 69 Quran-(Muhammad)anautaja uyahudi kama dini na ukristo kama dini, ambazo yeye amezaliwa na amezikuta na anazikubali. Kitu nashangaa inakuwaje mtume Muhammad autambue uyahudi kama dini rasmi (ambayo muasisi wake ni Musa) halaf wewe humtambui. Una matatizo sana wewe. Au utakuwa umechanganyikiwa
 
Haya mambo mepesi sana. Hapo wanaongelewa wale walio amini katika Mayahudi na Wakristo.

Allah anasema :

50. Na ninasadikisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na ili nikuhalalishieni baadhi ya yale mlio harimishiwa, na nimekujieni na Ishara kutokana na Mola Mlezi wenu. Kwa hivyo mcheni Mwenyezi Mungu na nit'iini mimi. (al-Imraan : 50)

Mtume amekuja na sheria mpya tu,ila dini yao na mitume wengine ni Uislamu.

Anasema Allah mtukufu :

13. Amekuamrisheni Dini ile ile aliyo muusia Nuhu na tuliyo kufunulia wewe, na tuliyo wausia Ibrahim na Musa na Isa, kwamba shikeni Dini wala msifarikiane kwayo. Ni magumu kwa washirikina hayo unayo waitia. Mwenyezi Mungu humteua kwake amtakaye, na humwongoa kwake aelekeaye. (ash-Shuura : 13)
 
Basi hiyo dini ni uyahudi. Hamna mahali popote hapo umetajwa uislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…