Kuzaa kwa uchungu haitoshi, wameona waingilie na Adhabu ya kula kwa jasho ya wanaume

Kuzaa kwa uchungu haitoshi, wameona waingilie na Adhabu ya kula kwa jasho ya wanaume

Wacha wahenyeki,wajionee kama ni rahisi kupata pesa kwa njia ya halali kisha uwe unagawa hovyohovyo kwa kila mtu anayekuomba.

Wanawake ombaomba wapewe kazi waone kama ni rahisi kupata hela kwa kuvuja jasho!!!

KUBAKI NYUMBANI KUPIKA NA KUFUA ULIKUWA WIZI MKUBWA KWA MABABU ZETU.WACHA WAJE FIELD WAONE UTAMU WA NGOMA.SAIVI WANAWAKE WENGI WANAOFANYA KAZI WAMECHANGANYIKIWA KWASABABU HAWAKUWA WIRED FOR THIS SHIT.ANYWAYS HORMONES ZITAZIDI KUWA IMBALANCE WACHA KABISA ILA NA KUWAKOBISI HATUTAWACHA.

#NO FREE LUNCH IN THIS WORLD,YBWYB!!!
 
Hali imebadilika, zama zimebadilika, sasa hivi hakuna Cha mwanaume au mwanamke kwenye utafutaji, wote ni kuchakarika, ukilemaa umekwisha
 
Zama zimebadilika.

Zaman Mwanamke alijiona kiumbe dhaifu kwasababu kazi nying za zaman zilikuwa zinatumia nguvu na ujasiri (uvuvi, uwindaji, kubeba vitu vizito, kulima, nk)

Sasa kwa zama hizi kazi nying wanawake wanazimudu.

Na Wanapata hela hata zaidi ya wanaume. mwanamke yuko na hela zake alafu utakuta mwanaume anamzingua kwa mahusiano.
Anaona ya nn. Bora amani ya moyo.
Na as long as anajimudu.
Anakutema mchana kweupe.

Na jamii pia imebadilika.
Single mothers au kuona mwanamke hajaolewa sio big deal.
Ni jambo la kawaida na halimuondolei Heshima yake kwa jamii. Tofaut za zamani.

Waswahili wanasema, Kila zama na Mtume wake.
Kwa lugha nyingine unamaanisha maandiko yamepitwa na wakati.... maana zama zimebadilika?
 
Kabisa ishuu ya mwanamke kuwa tegemezi ni kichaka cha unyanyasaji, bora wachape kazi wazishike nao wavimbe 😅

Siku hizi tukifika bar unakutana na binti anatoa oda ziletwe kama tulivyo 🤣 matunda ta uchapa kazi hayo.
Issue sio utegemezi, issue ni usaidizi.... jua kutofautisha hizi Mada....

Wanawake wanataka uhuru na sio usaidizi wa mwanaume.... na akipata anakibinafshisha na sio kuweka pamoja na mwanaume
 
Hali imebadilika, zama zimebadilika, sasa hivi hakuna Cha mwanaume au mwanamke kwenye utafutaji, wote ni kuchakarika, ukilemaa umekwisha
Na ndio maana ushoga unakuwa mwingi... kila mtu anaingia kwenye anga za mwenzake... hivyo tuanze kutegemea wanaume kuzaa kwa uchungu
 
Ambaye hata nikiwa kilema anaweza nitunza mimi na wanangu🤣
Pia tutarajie wanaume kuzaa kwa uchungu siku za mbeleni, maana washaanza kugeuzwa wanawake
 
Kwa mujibu wa simulizi za pale bustani ya Eden, baada ya Adam na Hawa kula tunda lililokatazwa, Hawa akapewa adhabu ya kuzaa kwa uchungu, huku Adam akiambiwa atakula kwa jasho la uso wake. 😂

Sasa cha kushangaza, wanawake wameona adhabu yao haitoshi! Wameamua kuingilia na adhabu ya mwanaume pia. 🤣

Yaani kuzaa kwa uchungu haitoshi, sasa wanataka na kula kwa jasho! Mwanamke anafanya kazi, anatafuta pesa, anajenga nyumba, ananunua gari.

Ikumbukwe Purpose ya Mwanamke kuumbwa ilikuwa kwa ajili ya Adamu, yani kuwa msaidizi wa Adamu, yani kwa lugha nyingine kuwa chini ya Adamu, ndio maana kamili ya msaidizi. Na watakuwa mwili mmoja maana yake ni kuwa na familia.

Lakini siku hizi Mwanamke anataka asiwe chini ya Mwanaume, awe huru (Independent Woman) afanye kila kitu kiwe chake tu, wengine hawataki ndoa kabisa wanona watabanwa, wanadai talaka. Sijawai kusikia Single Father, naonaga tu Single Mothers. Unakuta kila mtoto na Baba yake.

Swali ni moja tu: Mwanamke anataka haki sawa au ameamua kutekeleza adhabu zote mbili kwa niaba ya familia? 😂😂🔥
Kwakweli acha waje watoe povu
 
Labda kama kutafakari maumivu yenyewe😹
Mkitafuta kwa jasho, pia mkubali wanaume kuzaa kwa uchungu siku za mbeleni... maana washaanza kugeuzwa wanawake
 
Back
Top Bottom