Kuzaa na mtu hakukupi haki ya kufanya naye ngono kila utakapo!

nikama vile hukumpa mbususu kwasababu hakukupa ada ya watoto, kumbe angekupa ada ya watoto na kuzidisha kidogo UNGETOA MAKU YAKO, na hapo ndio hoja yetu ilipo.
 
ndo mana tumesema kila sehem ina changamoto yake mkuu
 
Single mama unajifariji tu, kuna mwingine atakuja akulambe mbususu yako ajifanye amezima data halafu akutie vya fasta fasta umzalie watatu halafu anakuacha, utakuwa na jeuri ya kukatalia mbususu tena?
 
Single mama unajifariji tu, kuna mwingine atakuja akulambe mbususu yako ajifanye amezima data halafu akutie vya fasta fasta umzalie watatu halafu anakuacha, utakuwa na jeuri ya kukatalia mbususu tena?
Nasisitiza kuzaa pamoja haimaanishi ndo upewe. Dushe ziko nyingi mjini hapa
 
Nilijua tu mwishoni utaharibu na kuleta habari za kuchakatana mbususu... we Dr. Carlos huwaga ni mwehu sana! 😂😂😂

Leta na screenshots kadhaa kuonesha msisitizo kama kawaida yako 😂👍🏾
Mkuuuu yani kabla ya ujio wa pombe, mpira na starehe nyingine.

Mwanaume starehe yake ilikua ni kuchakata mbususu.

Yaan ukishatoka kutafuta Kwa jasho.....

Mwanawaniiiiii unaingia room, unaita Wife, unashushaa mzigooo🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥
 
Single mothers waheshemimiwe! Ila ukibahatika kuingia kwenye mahusiano na wanawake wa namna hii huwaga ni perfect sana! Kwa sababu wana experience na exposure ya mambo mengi maishani hususani NDOA. Wameshasota sana!

Walio wengi huwa na akili na mawazo mazuri + mapenzi ya dhati.
 
Nashukuru kama umeamua kunielewa kwa angle hiyo
hakuna mwanamke atahududiwa vyema na watoto wake kutunzwa na mtaliki ati na akawa mgumu kutoa mbususu kwa mtaliki anaewajali. Tusidanganyane hapa na kupotezeana muda.

haiwezekani kuziba tundu la panya kwa mkate. Wewe unamahasira yako ya kunyimwa ada ndio maana UMEJITIA KAUZU.

na jambo la ziada masingle mother hua mnajivika kua victims sana ili hali wote tunajua 98% ya mahusiano na ndoa huvunjika kutokana na ujuaji, viburi na jeuri zenu.
 
Ni kweli 😊
 
[emoji4] ila yako inaonekana tamu sana hadi jamaa kaikumbuka wakati mlipelekana mahakamani kupeana talaka.
Mwanamke unamjua mtamu, unajua fika na wazi anajua kupika na kila aina ya rapsha yupo vizuri. Ya nini kujitoa akili mpaka kupelekana mahakamani muachane?! Wanaume wengine na sisi huwaga ni mazwazwa... baadae unalialia kwenye vi-SMS pumbavu! 😂👍🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…