unakosea sana kaka, na kama unaona hivyo bora uchukue wanao ukawalee mwenyewe. ukiwa na mda ntakupa mkanda wote ili unijudge vzuri. sio kuassume vitu usivyovijua ni heri ungeniulizahakuna mwanamke atahududiwa vyema na watoto wake kutunzwa na mtaliki ati na akawa mgumu kutoa mbususu kwa mtaliki anaewajali. Tusidanganyane hapa na kupotezeana muda.
haiwezekani kuziba tundu la panya kwa mkate. Wewe unamahasira yako ya kunyimwa ada ndio maana UMEJITIA KAUZU.
na jambo la ziada masingle mother hua mnajivika kua victims sana ili hali wote tunajua 98% ya mahusiano na ndoa huvunjika kutokana na ujuaji, viburi na jeuri zenu.
zimeisha kwani?Mpe tu...
Kaitaka yako, mpe tu...zimeisha kwani?
simpi,niueKaitaka yako, mpe tu...
Khe ya kweli hayaπMbona tunawalaumu wanaume tu..hawa single mamas nao wanashida sana..maana huyu nilie zaanae ninafanya vyote kuhusu gharama za mwanangu lakini ananiletea mitego mingi sana mpaka namblock, wakati tulishashamoveon. Kama ambavyo hutoi mbususu kwa x mimi kama kidume Sitoi dushe kwa x hata kidogo sitengui kauli.
Utakufa nacho...simpi,niue
Ili tuonekane watu au sio?? Ko sisi ni ng'ombe???Single maza kwa kujilizaliza ili waonekana watu... Mnajifanyaga wajuaji mkiachika mkitelekezwa mnajitia huruma jamii iwaonee huruma...
Mwanamke unamjua mtamu, unajua fika na wazi anajua kupika na kila aina ya rapsha yupo vizuri. Ya nini kujitoa akili mpaka kupelekana mahakamani muachane?! Wanaume wengine na sisi huwaga ni mazwazwa... baadae unalialia kwenye vi-SMS pumbavu! [emoji23][emoji1474]
Tunaomba ukifika utekwe..ππMkuu hapa nipo kwenye BUS , naenda kuchakata mbususu Kwa Bidada Fulani hivi, yaan naenda kwake, Niombeeen maana nafikia kwake !!.
sitakuwa wa kwanza bwanaUtakufa nacho...
ni yule tu bwana π πLakini hata hivyo si umebana kwa mzazi mwenza tu au na sie wengine umetubania pia?[emoji87]
DIAMOND mwenyewe alishawahi kusemaa yani nimhudumie yeye na mtoto alafuu nisilambee utamuu wee umesikiaa wapiii???? huyu ni suala la muda tu ila atatoa tu utamuuuIla wanaume sisi, yani watoto wakwako mwenyewe kuwahudumia hataki kisa umenyimwa mbususuπ. Shikilia hapo hapo dada akitaka mbususu akapewe na mkewe hukoπ
Huyu atakukula kimasihara πWeka namba nikutumie hata lunch umenifurahisha
Unatumia kinywaji gani ?? Agiza naja lipiaSingle mothers waheshemimiwe! Ila ukibahatika kuingia kwenye mahusiano na wanawake wa namna hii huwaga ni perfect sana! Kwa sababu wana experience na exposure ya mambo mengi maishani hususani NDOA. Wameshasota sana!
Walio wengi huwa na akili na mawazo mazuri + mapenzi ya dhati.
huyu namjua fikaHuyu atakukula kimasihara π