Kuzaa na mtu hakukupi haki ya kufanya naye ngono kila utakapo!

Yaani we mkuu unajikuta una muelezea Mwanamke kama vile yeye ndio Wewe yaani unamjua nje ndani sasa kama pesa ina mtuliza Mwanamke mbona mabillionea wana achwa,Nataka nikwambie kuna Wanawake kama hana hisia na wewe hawezi tena kufanya sex hata kuwe na pesa mbele.
 
Habari zenu wanajukwaa,

Kumekuwa na trend ya kudharau sana single mothers wakidai kuwa lazima aliwe na aliyemzalisha. Hii ni dhana potofu na nafikiri inatengenezwa na hawa waliozaa na wanawake hawa.


Nawapenda

Ushauri mzuri, ila ni two way traffic ! Pia kuna single mothers ambao ndio wanataka WAPASHE viporo! Kwako madam…!
 
samahani unaweza nipa sababu ya kuniita Mpumbavu?
🚶🚶🚶🚶 Sina cha kuongea lkn watoto wako unawapitisha kwenye mpito mbaya sana wa kisaikolojia kumkosa baba ni mbaya sana kwenye familia


Itoshe kusema ww na huyo uliyetalakiana naye ni wapumbavu sama maana inavyooonyesha hamkupendana ila mlitamaniana tu


Matokeo yake ndo haya duuuuh 🤢🤢🤮🤮
 
Nashukuru Kaka kwa matusi yako, Nakusihi Muombe Mungu yasikukute. Mchana mwema
 
Pole sana my dear kwa changamoto unayopitia hakika Mungu atakupigania..kulea watoto peke yako kwa maisha ya sasa sio kazi ndogo..sis wanaume wa machame hatunaga tabia ya kuwasusa watoto
 
Ila wanaume sisi, yani watoto wakwako mwenyewe kuwahudumia hataki kisa umenyimwa mbususu[emoji23]. Shikilia hapo hapo dada akitaka mbususu akapewe na mkewe huko[emoji23]
Una roho mbaya sana,ikisimama nakuja kwako,endelea kumpa kichwa huyo ila akue huduma kutoa hadi atoe mbususu over.
 
Pole sana my dear kwa changamoto unayopitia hakika Mungu atakupigania..kulea watoto peke yako kwa maisha ya sasa sio kazi ndogo..sis wanaume wa machame hatunaga tabia ya kuwasusa watoto
Asante kwa kunitia moyo kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…