Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀Kuzaliana kunasaidia kutegemeana, assume watu wasingezaliana hilo swali ulilouliza ungemuuliza Nan? Ili maisha yawepo lazma kuwe na mwendelezo wa kizazi, faida sio lazima iwe direct , watu wanazaliwa ila mtegemeano uweze kubance maisha yaendelee
Duuh hebu Watanzania ifikie wakati tukubali kusahihishwa.Hiyo nishati hutokana na nini Chifu?
Au wadhani madini ni dhahabu, chuma yatokayo ardhini pekee bila kujua hata mwilini mwako umejawa na madini [emoji848][emoji38]
eti kitoweo 😂😂Nimekuwa najiuliza sana hili swali. Nakumbuka mara ya kwanza kuwaza hivi nilimuuliza mama. Nikasema sisi lengo letu nini? Bibi kamzaa mama, bibi anazeeka anakufa. Na mama anatuzaa sisi, nae atazeeka na atakufa vile vile. Na mimi naanza kupambana na mihangaiko ya maisha kisha nazaa watoto. Then what?
Kama mleta maada alivyosema, labda kama tungekuwa hatufi ingeleta maana.
Kama watu wa BC hakuna wanachofaidika na kizazi hiki ya nini kuzaana? Si tustop biashara kichaa iishie hapa?
au sisi tumefungwa na kitu fulani ambacho lengo lake ni kitoweo. Kama vile sisi tunavyofuga kuku.
Inafikilisha kwa kweli forget wandugu.
Duuh hebu Watanzania ifikie wakati tukubali kusahihishwa.Hiyo nishati hutokana na nini Chifu?
Au wadhani madini ni dhahabu, chuma yatokayo ardhini pekee bila kujua hata mwilini mwako umejawa na madini [emoji848][emoji38]
elewa mada, mti ukizaa maembe wenyewe una faida gani na yale maembeMzaaji ana wajibu wa kuhakikisha sisi kama species tunasurvive. Asipozaa na uwezo upo amekwepa wajibu wake. Faida ni kuendeleza kizazi kama wazazi wake walivyofanya.
Faida unayopata wewe kwa kula ng'ombe au kuku kila kukicha ni sababu ng'ombe na kuku huzaliwa na hivyo kupelekea idadi yao kuwa nyingi na kutuwezesha sisi Binadamu tupate vitoweo.
Binadamu tunapata faida za kujiona jinsi tulivyoumbika haswa kwa watoto wafananao sana na Baba au Mama, kumbuka haijawahi tokea Binadamu akaweza kuuona mgongo wake, kisogo chake, na viungo vingine ambavyo viko nyuma ya maumbile yake kwa jinsi tulivyoumbwa.
Nadhani pia ile Ecosystem inatuhusu sisi Binadamu kuwa vitoweo kwa ardhi tunapofariki (sina uhakika kwa 100%), kwa namna tunavyoitumia ardhi vya kutosha tukiwa hai, kisha tukishafariki huwa faida kwa ardhi na kupelekea kuzalisha madini aina ya "fossil fuels"
Elewa jibu. Kuzaliana faida yake ni kuendeleza maisha, kama hakuna kuzaliana hasara yake ni kupotea kwa maisha duniani.elewa mada, mti ukizaa maembe wenyewe una faida gani na yale maembe
walioendeleza maisha tangu miaka hiyo ya zamani sasa huko walipo wanafaidika nini na kizazi walichoendelezaElewa jibu. Kuzaliana faida yake ni kuendeleza maisha, kama hakuna kuzaliana hasara yake ni kupotea kwa maisha duniani.
1. To give and receive love.Kuna mambo ni magumu kuelewa. Na kwanini mtu anapenda kuwa na mtoto?
Faida waliyoipata ni maisha kuendelea kuwepo. Wangetaka yasiwepo wasingezaana.walioendeleza maisha tangu miaka hiyo ya zamani sasa huko walipo wanafaidika nini na kizazi walichoendeleza
Faida waliyoipata ni maisha kuendelea kuwepo. Wangetaka yasiwepo wasingezaana.
Halafu pia, sio kila jambo lifanyikalo ni lazima liwe na faida unayoweza kuiona. Mipango na mapenzi ya Mungu ni zaidi ya jinsi tunavyoweza kuona ana kuelewa.Mwili wa binadamu na viumbe wengine wote unahangaika sana na mambo mawili. Kusurvive na kuzaliana. Sasa najiuliza kuzaliana kunamsaidia nini kiumbe anayezaa. Kuendeleza kizazi cha ng'ombe, kunamsaidia nini ng'ombe anayezaa. Binadamu walioishi miaka ya BC huko, wanafaidika vipi na kuendeleza uzao wa binadamu? Kungekuwa hamna kufa ningeweza kidogo kuelewa.
Zaidi naona uzazi unamnyonya mzazi kiafya, kichumi nk. Kuzaliana kunamsaidia nini anayezaa?
Kwa sisi viumbe tulio hai tunazaana ili maisha yaendelee na huo mwendelezo ndo faida kwetu sababu tumepata tunachokitaka, maisha yakikoma ni hasara kwetu sababu tumekosa tulichokitaka.maisha yakiendelea au yasipoendelea huko walipo kuna nini wanchokipata