binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Kama wana jamii lazima tukemee hate speech na kubelittle matatizo ya jinsia moja, tunatengeneza utengamani na dilemma. Hapo kwenye dilemma ndio zinaibuka akili ndogo zitakazotamani kuhama jinsia.Tupo kipindi ambacho kundi kubwa la wanaume wanatsmani wangezaliwa wanawake au basi wabadilishwe wawe wanawake. Hii ni kutokana na kauli za aina hii, hii yaani vuu vuu, Kila jinsia Ina changamoto zake.
Walaa sio yakishari, nawakaribisha wanaume wote ambao the inner woman in them wants a princess treatment!Iyo karibuni!! mbona kama imekaa kishari shari vile
Kama wana jamii lazima tukemee hate speech na kubelittle matatizo ya jinsia moja, tunatengeneza utengamani na dilemma. Hapo kwenye dilemma ndio zinaibuka akili ndogo zitakazotamani kuhama jinsia.
Mi nikiandika hivi naambiwa hii ni topic ya kiume niwaachie wanaume! Bila kujua sisi wengine ni wazazi na tunamiliki watoto wa kike na kiume, Ndio maana We advocate for a balanced society!
WatakujaWalaa sio yakishari, nawakaribisha wanaume wote ambao the inner woman in them wants a princess treatment!
Vuuvuu tu! πMambo yote sawa isipokua hapo kwenye kiingereza ila nimekubali Kila kitu ulichosema.
Endelea kuwafundisha wanaume kujipenda, We need Wanaume wanaojipenda ili tuwapende!Watakuja
Tufike hatua tujadiliane masuala kwa kuangalia topic iliyopo mezani, binafsi huwa sipendezwi na watu kama wewe ambao mnaoanisha masuala ya ushoga hata kwenye mada ambazo hazihusiani na maudhui ya ushogaTupo kipindi ambacho kundi kubwa la wanaume wanatsmani wangezaliwa wanawake au basi wabadilishwe wawe wanawake. Hii ni kutokana na kauli za aina hii, hii yaani vuu vuu, Kila jinsia Ina changamoto zake.
Tufike hatua ya kujadiliane masuala kwa kuangalia topic iliyopo mezani, binafsi huwa sipendezwi na watu kama wewe ambao mnaoanisha masuala ya ushoga hata kwenye mambo ambayo hayahusiani na maudhui ya mada.
Enhee Boss taratibu! Shuka hapo chini karibu na kwa Makamu wa Rais kunywa waini nitumie lipa namba!Sasa, kwakua haumiliki JF, na hauna ubavu wa kushinikiza mtu achangie kitu Gani na kwa namna Gani, chukua hatua stahiki.
Kuandika ni haki yangu, kuelewa na kuchambua nilichokiandika sio dhamana yangu. Kama umeshindwa kuona ni Kwa namna Gani nilichokiandika kinahusiana na mada, endelea kutokupendezwa na Mimi, na hata hivyo Sina sababu ya kukupendeza kwa chochote.
Hauna akiliSasa, kwakua haumiliki JF, na hauna ubavu wa kushinikiza mtu achangie kitu Gani na kwa namna Gani, chukua hatua stahiki.
Kuandika ni haki yangu, kuelewa na kuchambua nilichokiandika sio dhamana yangu. Kama umeshindwa kuona ni Kwa namna Gani nilichokiandika kinahusiana na mada, endelea kutokupendezwa na Mimi, na hata hivyo Sina sababu ya kukupendeza kwa chochote.
Hauna akili
Mtoa mada hajakataa wanaume kuwekeza rasilimali na muda kwa mwanamke, ila anatufungua macho na kutujulisha tuwekeze nguvu na rasilimali zetu kwa wanawake wa aina gani.unfortunately mwanaume asiyewekeza nguvu ,rasilimali na muda wake kwetu hatuna time nae atabaki single and bitter kama wewe......kwa hio unachoshauri hapa ni wanaume wakazane kutafuta pesa wasiwe na mahusiano at all,jambo ambalo hata wanaume wenzako hawatakubaliana nalo...namaanisha wataendelea kutoa pesa wapate mahusiano. It is what it is...hutaki kunywa sumu.
Bila shaka unafurahia kuzaliwa mwanaume love!
Hakika sweetheart...Bila shaka unafurahia kuzaliwa mwanaume love!
Enjoyy
ππππ PS sioNimpenda hiyo slogan ya "Pipe and Swipe" yaani "PS"
Merci beaucoup!
Endelea kugongeaThe women nature of attraction is very addictive to bad guys and this is because most bad guys possess high level of masculine qualities.
Qualities like confidence, assertiveness, toughness, physical strength, bravery and selfishness etc.
Bad guys may possess some dangerous characters that may be harmful to women like their violent nature, anger issues, stubbornness, addicted to smoking , womanizing and drugs and less kinder to people but then it doesn't concerns women.
What matter is that they possess these masculine traits that triggers their attraction button. It become worse when such bad boy possess money, power and fame.
Women will rather choose to go through the stress of trying and hoping to change a bad guy than to choose a Mr nice guy from the first place
The bad guys life is never boring, he is always engaged with adventurous activities and this are things that pricks women emotions.
The Mr nice guy life is very boring. A very predictable man, less dangerous, don't engaged in any interesting adventures, always pipe low, follow same routine everyday, don't correct woman, very agreeable etc.
At first women think they love the nice guy but with time, they will find his attitude boring and then they will go out to look for some who can bring live to them.
The only time the nice man will ever have a chance with woman is when she has been damaged beyond repair, women only need the Mr nice guys as a rehabilitation centre and nothing more.
DONT BE A NICE GUY.