Ataelezea material things lakini kwenye maisha ya mtanzania amefeli 100%Kwani kuna kitu Magufuli anahitaji kuwaleza watanzania wasio kijua au kukielewa? Magufuli ahitaji kujieleza chochote kwa mtanzania ...matendo na mambo yake yanaonekana wazi!
Wewe umeishiwa Sasa hoja!! Huo ukabila unaozungumzia ni kwà miktadha ipi!? Udini upi Sasa, mbona tunaona nydhifa nyingi kwa kiasi chake wopo upande wa Pili!Aache ukabila, udini, ubabe, udikteta, ubaguzi na mambo ya kienyeji.
Hebu tukumbushe yule mgombea aliekuwa anadekiwa Barabara alikuwa anahutubia Masaa mangapi Mkuu!??CCM utaratibu wao unajulikana. Campaign speech inapangwa let say kwa masaa matatu. Zinapigwa nyimbo za Marehemu Komba non stop na show kadhaa kutoka kwa wasanii kwa masaa mawili na nusu. Magufuli anapanda jukwaani kwa nusu saa tu. Mwisho wa mkutano.
Siku ya uchaguzi, Tume inafanya yake. Msijidanganye na the so called “ujengaji hoja jukwaani”. Hizo hoja zilipaswa kujengwa kabla ili tupate Tume iliyo huru kabisa. Kwa sasa hakuna namna wanayoweza kumtangaza mwingine zaidi ya Magufuli. The earlier you gey used to this, the better for you
Asilimia 97 ya Wadanganyika ni wajinga.Asante Naantombe Mushi, hawa wengine nilioorodhesha hoja zao hapa ni wajinga wa magu na ndio watanzania wengi walivyo, WAJINGA na ndio maana watampigia makofi dikteta na mkabila huyu bila kujua au kujali chochote. Ujinga ni kitu hatari sana!
Umamfukuza mtu na kumwambia mbele ya hadhara eti nakufukuza kwa kutongoza wake za watu....! Sijaona ukosefu mkubwa wa haki za binadamu namna hii eti kwasababu wewe ni rais. Hayo ni mambo ya kisukuma kule baba ni baba, ndio maana wanawake wanadhalilishwa sana. Sijaona kiongozi mwenye mambo ya kienyeji kiasi hiki.Wewe umeishiwa Sasa hoja!! Huo ukabila unaozungumzia ni kwà miktadha ipi!? Udini upi Sasa, mbona tunaona nydhifa nyingi kwa kiasi chake wopo upande wa Pili!
Ubabe unataka awe anacheka cheka hata kwenye masuala ya kipumbavu mkuu yaani mtu ana zingua wewe unamwambia Mkuu wa mkoa hapaa Sitaki hayo Mambo anakaa kimya! Hivi si nyinyi ndio mlihoji sana kuwa JK mpole Sana anashindwa kuwawajibisha watendaji wake!?
Udikiteta hivi unaufahamu kweli udikiteta Mkuu au ndio kukosa hoja huko!??
Mambo ya kienyeji Kama Yapi mkuu!??
Kiufupi umechanganyikiwa na huna HOJA umebaki kutapatapa tu!!!
Yote hayo atatakiwa kujieleza kwenye kampeni ndugu.
Usilazimike wewe kuwalisha watu maneno kwamba kuna vingi vimefanywa.
Ndo mana nikasisitiza, endapo akipambana na mtu mwenye uwezo wa kujenga na kuvunja hoja kama Tundu Lissu, atakuwa na wakati mgumu sana kwenye kampeni.
Rais wa Wanyonge atarusha ngumi dakika za Mwanzo Mwanzo..Hapa CCM wangeomba mjadala wa wagombea wengine yaani Membe,Lisu na Magufuli..hapa ndy patamu!mjadala uwe live kama Marekani !!
Naona na wewe unajitoa fahamu bure tu.Kuna mtu mwenye akili yake timamu huwa anaenda kwenye kampeni?Kampeni zikianza CCM wataumbuka sana. Ubaya hauna wema, uongo wao utadhihirika kwenye hoja.
Na wananchi sio wajinga kihivo.
Takwimu zinasema aslimia karibu 78 Ya watanziania wanaishi vijijini wakifanya shughuli za ufugaji na ukulima.Elimu yao ndogo na wala hawahitaji kushawishika na hoja yeyote.Wao wakishawaona bongomovie jukwaani na wasanii wa bongo fleva kila kitu ni ndiyo Mzee.Atakuja kijijini kwetu atuambie amejenga flyover daslam? Au amenunua ndege? Au amejenga SGR? Wakati huo huo ajira hakuna, ongezeko la mishahara hakuna, maisha yamezidi kuwa magumu. Unadhani tutamuelewa? Kama alikuja kipindi cha kampeni akatuahidi milioni 50 kila kijiji na akatuahidi kutujengea soko na miaka mitano ishapita hakuna kitu, unadhani atakuja kutueleza nini tumuelewe?
Mkuu hio ndio style yake ya uongozi Ni vyema na vizuri ukakubaliana nayo tu Sasa mtu anafanya ufuska ulitaka aitwe pembeni akanywe!??Umamfukuza mtu na kumwambia mbele ya hadhara eti nakufukuza kwa kutongoza wake za watu....! Sijaona ukosefu mkubwa wa haki za binadamu namna hii eti kwasababu wewe ni rais. Hayo ni mambo ya kisukuma kule baba ni baba, ndio maana wanawake wanadhalilishwa sana. Sijaona kiongozi mwenye mambo ya kienyeji kiasi hiki.
Kwann hao upande wa Pili usiwashauri watumie bongo movie kupata ushawaishi kwa wananchi hao 78%Takwimu zinasema aslimia karibu 78 Ya watanziania wanaishi vijijini wakifanya shughuli za ufugaji na ukulima.Elimu yao ndogo na wala hawahitaji kushawishika na hoja yeyote.Wao wakishawaona bongomovie jukwaani na wasanii wa bongo fleva kila kitu ni ndiyo Mzee.
Thisi is Tanzania msijifanye tupo Kenya au Malawi.
Nafikiri udikteta yaani hakuna hata haja ya kusema kitu; inajulikana magu hasikilizi waandamizi wake na hufanya mambo bila hata kushirikisha bunge mifano ipo mingi mno. Unaona hata hakuruhusu demokrasia ndani ya ccm kuhusu wagombea wengine, ukitaka magu akuchukie hata akutumie watu wakuue wewe mpe changamoto, akina Lissu, Mbowe ni matokea machache tu ya maelfu walioteswa.Mkuu hio ndio style yake ya uongozi Ni vyema na vizuri ukakubaliana nayo tu Sasa mtu anafanya ufuska ulitaka aitwe pembeni akanywe!??
Afu naomba ujibu hoja zote ulizotaja hapo juu ukabila, udini, ubaguzi na udikteta na kwa mifano kuntu maana Naona hisia na mihemuko ndio zinakutawala Sana mkuu wangu kuliko uhalisia!!!
Less than 25 minutesHebu tukumbushe yule mgombea aliekuwa anadekiwa Barabara alikuwa anahutubia Masaa mangapi Mkuu!??
Naomba uwaze kama mtu mwenye akili timamu.Usijichetua ubongo kama CCMKwann hao upande wa Pili usiwashauri watumie bongo movie kupata ushawaishi kwa wananchi hao 78%
Naomba uwaze kama mtu mwenye akili timamu.Usijichetua ubongo kama CCMKwann hao upande wa Pili usiwashauri watumie bongo movie kupata ushawaishi kwa wananchi hao 78%