Kwa ajili ya kumbukumbu: Magufuli hatojiongezea muda

Nyani Ngabu na Paschal Mayalla wote ni wasukuma, na msukuma hata aishi New York hawezi acha ushamba na ujinga flani hivi wa kumsifia msukuma mwenzake hata akila kinyesi
Watu mbona mnapenda sana mambo ya ubaguzi wa kikabila? Kwani wakiwa wasukuma hawana uhuru wa kutoa mawazo yao? Kwani wakiwa wasukuma hawana uhuru wa kukubaliana au kupingana na magufuli kwa kuwa ni msukuma? Kwani magufuli amepata 100% ya kura za huko usukumani? Watu wengine mna mawazo finyu sana!
 
Wapumbavu tu hao.

Wao ndiyo wakabila.

Ila wanau-project ukabila wao kwa wengine.
 
Miradi yake haiwezi kamilika.... Laxima ajiongezee muda aikamilishe. Hakuna rais mwingine anaweza kubali endelea na miradi yake inayoua wananchi.

Hofu hiyo tu..yatosha kung'ang'ania madarakani.
 

The way I picture him.

Magufuli hali bata, anakula vile viazi na karanga wanavyokula wazee wa Kisukuma.

Vinaitwaje vile?

Manumbu. Hamo mandege.

Akiongezea labda mahindi ya kuchemsha.

Something starchy. Lots of carbs. Diet ya balimi.

Akizidisha sana anasukumia na mtindi.

Nimekumbuka vyakula vya wazee wa Kisukuma.
 
Magufuli hali bata, anakula vile viazi na karanga wanavyokula wazee wa Kisukuma.

Vinaitwaje vile?

Manumbu.

Akizidisha sana anasukumia na mtindi.

Nimekumbuka vyakula vya wazee wa Kisukuma.
Unazungumzia matobolwa/ michembe? 🤣🤣

But seriously, Magu analia wapi bata?

Dizaini jamaa hanywi hata champagne. Akinywa pombe labda ni Balimi au Wanzuki.

Ukiniambia Kikwete [na labda marehemu Mkapa] ni mla bata kiaina, I can see that.

Lakini Magu? Does he even know what caviar is?

Jamaa hata suti zake dizaini anashonewa na fundi Juma. They’re oversized 🤣🤣.
 
Anakula bata na yule demu wake (Kabula?) aliyempa nyumba ya serikali pale Kinondoni by Leaders Club.

Siju hizo ukikaa na watoto wa kitaa kile upande wa pili wa Kaunda Road mpaka Tunisia nyuma ya Leaders Club huku wanajua nyumba zote za washua.

Wanakwambia kabisa hapo huyo mama usiguse, kwa JK hapo, hapo nyuma kwa Braza Dito etc. Naona Magu naye alitaka kujiunga kitaa asiwe mbali na wenzake.

That was back in the days. I don't know about now.
 
Hivi ni nini kimesababisha kuwe na tetesi hizi za kuongeza urefu wa mihula(from 5 to 7) au/na/kisha kuondoa ukomo wa mihula miwili?

Kwa kumbukumbu zangu tetesi kama hizi ziliwahi kuvuma kumuhusu Salmin Amour kuelekea uchaguzi wa Rais wa Zanzibar mwaka 2000. Wapambe walikariri wimbo wa kumuongeza muda na yeye hakutaka kukanusha wala kuthibitisha. Alikaa kimya(labda kusikilizia upepo)

Bahati nzuri kulikua na watu ambao akili zao ziko barabara kabisa na waliamini katika supremacy ya Katiba na pia miiko ya Chama, tamaduni, kanuni na taratibu zake. Komandoo akakemewa, likaachwa, japo katika utetezi wake alipobanwa kwenye Halmashauri Kuu ya CCM alisema yeye hajawahi kutamka kutaka aongezewe muhula

Rais Magufuli amekua akikariri mara kadhaa kwamba muda wake utakapofika hataongeza hata siku moja zaidi. Ataondoka. Ni kauli thabiti kabisa ya mtu muungwana na mstaarabu.

Hata hivyo wanaoendeleza speculations hizi wanasema eti huu mpango wa "kumlazimisha" aendelee kutawala kwa kuondoa ukomo kwenye katiba unaandaliwa/umesha andaliwa na "wapambe" na fununu zipo kwenye corridors za Nyumba ya Tai, vibaraza vya Kuu Street pale Dodoma na hata kwenye vimbweta vya Bunge

Mimi na mamilioni wengine tunaamini kauli ya Rais wetu kwamba hana nia wala mpango wa kuendelea kutawala baada ya muda wake kwisha na kwakweli maneno ya Mkuu wa nchi ni dhamana ya kuweza kukupa mkopo Bank.

Lakini speculators wa haya maneno wanasema mbona hata Marais wa Rwanda, Uganda Burundi na hata kule Gambia waliwahi kukataa hadharani kuongeza muda lakini wakati ulipofika hawakusimamia maneno yao?

Hoja yangu mimi ni moja tu. Huu wasiwasi mbona hatukuwahi kuusikia kwa Marais wa JMT waliotangulia tangia uwekwe mfumo wa vyama vingi? Hayakuwepo maneno wala wasiwasi wakati wa Mwinyi, Mkapa wala Kikwete. Sasa hivi kumezidi nini hadi ikawa hivi wakati Mkuu mwenyewe kila kukicha anakataa na anapinga kua hana mpango huo? Sio kwamba Wabongo tumekuwa watu wa mafununu na kutunga maneno? Naomba kueleweshwa wakuu
 
Uchaguzi umeisha tutegeme 2025 tanzania kuwa kama ulaya au SA ccm watakamilisha miradi yote
Lami mpk vichochororoni,afya tatizo watalimaliza
Maji hakutakuwa na shida
Uwanja umebaki na wao wenyewe sasa

Ova
Mkuu ulivyo nena utafikili ccm ndio wameingia mwaka huu madarakani

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Ujui chochote ni mwendo wa msoto na mateso kwa miaka 20,Hadi 2040 ndo ufikirie vingine,
 

Vipi ikifika 2014 akaanzisha miradi mingine mikubwa mfano kupeleka bahari ya hindi Chato si ataongeza mda Hadi ikamilike.
 
Waarabu wa Pemba mmekutana.

Why so MIA good sir?
LOL, jamaa anajifanya ana ratiba nzima ya mshikaji ya saa 24 na kujiona anajua nyendo zote za jamaa kuliko washikaji zake wa UD na UWT.
 
That was back in the days. I don't know about now.
Akikujibu kuhusu hilo la K nitagi, jamaa anaongea kana kwamba kula bata lazima ule Kempinski tu, ukilia pale K.. si bata?

Halafu hivi kwani kula bata 'kishamba' nako siyo kula bata - lazima mtu ale bata kinyani-ngabu ndo ahesabike kala bata?
 
LOL, jamaa anajifanya ana ratiba nzima ya mshikaji ya saa 24 na kujiona anajua nyendo zote za jamaa kuliko washikaji zake wa UD na UWT.
Kama archaeologists wanaweza kufukua site na kupata kijino kimoja na kukuambia hiki ni cha mtu aliyekula swala miaka 10,000 iliyopita, Ngabu anaweza kuwa anajua kama Mzee Baba anakula viazi au bata.

On a serious note, let's link up.

You posted some hill links I was interested in a few months ago, now I can't remember where I bookmarked.
 
Wapambe wanaonufaika ndio tatizo. Ni chama chake. Walishaanza, Rejea mstaafu Mwinyi, Ndungai... Urais ni mzigo humlemea mbebaji lakini wanaofaidi wengine.
Ukimwangalia Magu vizuri utaona kachoka, kikombe angeweza kukikwepa lakini anaowabebea hawakubali. Inahitaji ujasiri!
 
Umejitahidi kubalansi...hata ikitokea amejiongezea atakuwa amefanya hivyo ili kukuprove wrong wewe ila hakuwa amepanga kabisa kufanya hivyo
 
Akikujibu kuhusu hilo la K nitagi, jamaa anaongea kana kwamba kula bata lazima ule Kempinski tu, ukilia pale K.. si bata?

Halafu hivi kwani kula bata 'kishamba' nako siyo kula bata - lazima mtu ale bata kinyani-ngabu ndo ahesabike kala bata?
Inategemea na mazingira.

Unaweza kunywa Dom Perignon ukishushia caviar Uwanja wa Fisi watu wakawa hawaeleiwi wanaona unawacheleweshea Boha yao tu.

Kuna aunt alipelekewa an expensive Hermes pouch akaikataa, kisa ndogo yeye alitaka zile cheap handbags kubwa kubwa za Hilfiger!

Hakujua value ya brand, kwake size was everything.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…