Kwa alichokiongea Heri Mzozo, Tshabalala ataenda Yanga

Tshabalala aende Yanga au pengine popote, Simba ni kubwa zaidi ya mtu yeyote, mbona simple sana. Wacheni hizi siasa zenu za mitandaoni.
Kama ni maslahi madogo kwanini anyonywee hivyo
 
Mimi natamani ili iwe funzo kwake yeye,kwani ana manager mbabaishaji..aondoke tu tunae Gadiel Michael
Approach yake kupitia manager imekera wanasimba wengi
 
Mimi natamani ili iwe funzo kwake yeye,kwani ana manager mbabaishaji..aondoke tu tunae Gadiel Michael
Approach yake kupitia manager imekera wanasimba wengi
Mtu akiongea Ukweli Nyie Mnakereka Sio?
 
Kwa kabumbu analosakata Mohamed Hussein ni aibu na fedheha kwa club ya simba
 
Huyo wakala ndio hana maana. Wakati Simba wanaingia mkataba na Tsabalala nani alisimamia makubaliano? Sio wakala huyo aliridhika na mshahara huohuo?
Mlitaka Simba walipe wachezaji tofauti na mikataba yao? Hakuna ofisi inayofanya hivyo. Kila mchezaji kupitia wakala wake analipwa kuendana na bargaining power ya upande wake.
We unadhani kama ingekuwa Yanga wanamsajili tokea Simba walipomtoa wangempa hela inayotajwa!?
Marupurupu anayoyapata pale Simba ni makubwa kuliko hiyo hela ya usajili ya Yanga.
 
Hili jambo naona wachambuzi wamelikazania sana kana kwamba yeye pekee ndio anamaliza mkataba.
 
Tshabalala aende Yanga au pengine popote, Simba ni kubwa zaidi ya mtu yeyote, mbona simple sana. Wacheni hizi siasa zenu za mitandaoni.
Maneno ya mkosaji haya! Hata kama mimi ni Mwananchi, lakini nakuthibitishia Mohamed Hussein bado ni mchezaji muhimu kwenye kikosi cha timu yenu.

Dhuluma siyo nzuri. Ugumu uko wapi kwa viongozi kukaa nae chini na kumboreshea maslahi yake, ili aendelee kuwatumikia?
 
Labda hayupo kwenye mipango yao
 
Labda hayupo kwenye mipango yao
Bado watakua wanacheza mchezo wa kamari! Labda wamlete beki namba 3 wa kiwango cha Kimataifa! Yaani afike tu na kuizoea falsafa ya timu.

Maana huyoTshabalala yupo kwenye first eleven ya timu.
 
Wabongo bwana!!tunashida mno!!kwaio kwa maneno ya uyu shabiki la utopolo umeamini kuwa ni kweli Mohammed Hussein analipwa kiasi icho cha pesa?!! Fanya utafiti kabla ujachangia hapa!!sio vizuri kutaja mshahara wa mtu ila uyo beki anapokea mshahara wa zaidi ya millioni nne za kibongo,na mkataba huu anaoisha alipokea kiasi cha zaidi ya milioni sabini za kibongo kama signing fee.
 
Hakuna mchezaji wa simba anayelipwa 1.5m
 
Tshabalala aende Yanga au pengine popote, Simba ni kubwa zaidi ya mtu yeyote, mbona simple sana. Wacheni hizi siasa zenu za mitandaoni.
Upo sahihi lakin huwezi mlalia mtu.

Hata katika kampun huweka salary scale ingawa unaweza jadiliana. Hii scale inasaidia hata wale wasioweza wapate nafuu.

Hapa ndicho kinachopiganiwa.. kama kweli jamaa anakula mkwanja kiduchu,waboreshe maslahi yake..vinginevyo aende pengine apate hela anayoridhika nayo.

Nyie kila siku mnapiga kelele mpandishwe madaraja,sijui mishahara iongezwe. Vp kwa kwake iwe nongwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…