Kwa anayetaka kuoa nashauri usioe mwanamke mwenye sifa hizi

Mahusiano na ndoa havina formula.
Kuna watu wanaona wanavigezo vyote ulivyosema na wanaachana na kuna Watu hawana hivyo vigezo wamedumu.
Mambo yamahusiano waachiwe wanaohusiana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema mwanaume akimuoa mwanamke aliyemzidi kiuchumi ni changamoto kubwaaàaa. Unasemaje juu ya hilo
 
Nakubaliana na uliyosema kwa asilimia kubwa ila pia hawa wapenzi waliokua na mahusiano na wake zetu kabla ya kuwaoa huwa pia ni tatizo kwani kama watahitaji kupasha kiporo moto mara nyingi hawa wake zetu hawakatai tena ukute walipotezana tu hawakugombana hapo ndio balaa kabisa na mkitaka kuhakikisha mjaribu x ambaye mliachana kistaarabu ndio mtajua kiporo hakihitaji moto mwingi.
 
Hili la umri nadhani lina ukweli fulani. Mshua wangu yuko 70+ ila ana kichenchede kina kama 34 amezaa nacho watoto wawili, naona anahangaika sana, kila muda anakula karanga na mihogo mibichi. Kwenye dashboard ya gari yake amejaza makopo ya mitishamba ya kuongeza nguvu. Huwa nacheka na kuwaza hawa wazee wanajitafutia vifo tu.
 
Mkuu inaonekana akili yako huna imani nayo yaani mwanamke nishindwe kumuongoza kisa kanizidi miaka 5 big No maybe awe kunguru asiyefugika, ila kwa single mother hapana kwa kweli ni complicated issue kubalance malezi
 
Nipe no ya mshua nimpe vumbi la mozambique
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…