Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Ndio nitajitetea vyema tu...anipeleke huko mahakamani....Nani kasema hivyo? Mtoa mada akikupeleka Mahakamani utajitetea?
Walipoamka wako Sudan....Tatizo lipo kwa wananchi. Wengi wamesinzia na hawana mpango wa kuamka!
Bila maridhiano ngoma ngumuHabari Ndugu zanguni,
Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei upande wowote wa kisiasa au kidini. Lengo lake ni kutoa mwongozo wa nini tunapaswa kufanya kama Taifa ili tuendelee kuwa na amani na kupata maendeleo ya kweli kwa Watanzania wote.
Mambo matatu ambayo vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinapaswa kufanya ni:
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vikifanya haya, vitajenga imani kwa wananchi kwamba vipo kwa maslahi ya Taifa, si kwa chama fulani cha siasa.
- Wakuu wote wa ulinzi na usalama wa Kitaifa wakutane na Rais na kumshauri akubali kufanya mabadiliko ya Katiba yatakayorekebisha mapungufu ya chaguzi zetu.
- Wakae pembeni na kuwaacha wanasiasa wabishane kwa hoja majukwaani bila upendeleo kwa upande wowote. Endapo upande mmoja utaamua kufanya maandamano ya amani kuishinikiza Serikali kurekebisha vifungu vya Katiba ili chaguzi zetu ziwe huru na haki, basi vyombo vya ulinzi na usalama visiingilie maandamano hayo, bali vitoe ulinzi tu.
- Vyombo vya ulinzi na usalama viungane na Tundu Lisu kudai mabadiliko ya Katiba yatakayoruhusu chaguzi zetu kuwa huru na haki ili kuepusha machafuko.
Kifupi vyombo vya ulinzi na usalama vimeungana na CCM kukumbatia wezi na wabadhirifu wa mali za umma ambao kimsingi ni wachache kuliko wananchi wanao pata tabu, ndio maana nchi hadi leo ni kama imepata uhuru mwaka miaka ya 2000, vitu wanavyo jivuna navyo leo vilitakiwa viwepo tangu miaka ya 90 ila ujinga ndio tatizo la chama na dolaHabari Ndugu zanguni,
Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei upande wowote wa kisiasa au kidini. Lengo lake ni kutoa mwongozo wa nini tunapaswa kufanya kama Taifa ili tuendelee kuwa na amani na kupata maendeleo ya kweli kwa Watanzania wote.
Mambo matatu ambayo vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinapaswa kufanya ni:
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vikifanya haya, vitajenga imani kwa wananchi kwamba vipo kwa maslahi ya Taifa, si kwa chama fulani cha siasa.
- Wakuu wote wa ulinzi na usalama wa Kitaifa wakutane na Rais na kumshauri akubali kufanya mabadiliko ya Katiba yatakayorekebisha mapungufu ya chaguzi zetu.
- Wakae pembeni na kuwaacha wanasiasa wabishane kwa hoja majukwaani bila upendeleo kwa upande wowote. Endapo upande mmoja utaamua kufanya maandamano ya amani kuishinikiza Serikali kurekebisha vifungu vya Katiba ili chaguzi zetu ziwe huru na haki, basi vyombo vya ulinzi na usalama visiingilie maandamano hayo, bali vitoe ulinzi tu.
- Vyombo vya ulinzi na usalama viungane na Tundu Lisu kudai mabadiliko ya Katiba yatakayoruhusu chaguzi zetu kuwa huru na haki ili kuepusha machafuko.
Swala hili siyo la Lisu wala Chadema peke yao, ni la watanzania wote wazalendo bila kujali itikadi za vyama.Lissu ni toothless dog. Ataongea tu na hata yasipofanyika sidhan kama ana uwezo wa kufanya Chochote.
Sababu ni kua polisi, mahakama, tume na vyote vingine viko chini ya chama tawala. Akitaka kuandamanisha watu intelijensia ya polisi kama kawaida yao itasema fujo zitatokea hivyo polisi watazuia.
Utokapo kwenda vitani kupigana na adui zako, na kuona farasi, na magari, na watu wengi kuliko wewe, usiwaogope; kwa kuwa BWANA Mungu wako, yu pamoja nawe, aliyekukweza kutoka nchi ya Misri. (Kutoka 20:1)Walipoamka wako Sudan....
Walioamka wako KIVU.....
MUNGU atawafanya maadui zako waote ndoto za kutisha! (WAAMUZI 7:9-14)Walipoamka wako Sudan....
Walioamka wako KIVU.....
Tatizo la wananchi ndo hilo. Wengi wanadhani mapambano ya mabadiliko ni ya viongozi wa vyama vya upinzani!Swala hili siyo la Lisu wala Chadema peke yao, ni la watanzania wote wazalendo bila kujali itikadi za vyama.
Mi pia naelewa hivyo,Swala hili siyo la Lisu wala Chadema peke yao, ni la watanzania wote wazalendo bila kujali itikadi za vyama.
Ccm waibagaze amani ya nchi wakati huu uoga a.k.a amani ndio unawawezesha kufaidika na mali za umma bila kuhojiwa.CCM ni imani ya nchi....
Hivyo vyombo bado havijaiona CCM ikibagaza utulivu na amani ya taifa.....
Acha paukwa pakawa....Utokapo kwenda vitani kupigana na adui zako, na kuona farasi, na magari, na watu wengi kuliko wewe, usiwaogope; kwa kuwa BWANA Mungu wako, yu pamoja nawe, aliyekukweza kutoka nchi ya Misri. (Kutoka 20:1)
MUNGU atawafanya maadui zako waote ndoto za kutisha! (WAAMUZI 7:9-14)
Bwana atatumia njia zote kuwapiga maadui zako (I WAFALME 20:29-30)
Usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu. (Isa 41:10-13)
Wewe mwenyewe unafaidika na amani inayokuwezesha kufaidi mali za umma....barabara ,masoko,vituo vya usafiri ,SGR ,madaraja ,vivuko n.k...Ccm waibagaze amani ya nchi wakati huu uoga a.k.a amani ndio unawawezesha kufaidika na mali za umma bila kuhojiwa.
kwahiyo ni amiri jeshi wa chama au taifaA
Amiri jeshi mkuu kwani Lissu au Samia?
Mapambano yapi ?!!Tatizo la wananchi ndo hilo. Wengi wanadhani mapambano ya mabadiliko ni ya viongozi wa vyama vya upinzani!
Jambo la kwanza,Mkuu,
Inasemekana huyo dogo Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa ni mtu mmoja mwenye I'd kadhaa.
Huwa anaandika utumbo na kuunga mkono hoja zake mwenyewe
Uhaini ni kitendo Cha kuuza bandari zetu.Acha kuviingiza vyombo vyetu wa ulinzi na usalama katika TREASON....
Mkuu wangu huo uufanyao ni UHAINI......