Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Acha kukaa kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji na kudanganywa.Nenda utafute elimu,ni sawa na kumuona daktari kavyaa kipimo shingoni,ukasema kavyaa mkufu.Huyu Lah ni nani?
Kwanini mnabusu jiwe?
Mwenzio kaongozwa na roho mtakatifu kuandika hayo japo ni sheikhUislamu ulivyo unataratibu zake,ukienda kinyume chake,automatic unatoka kwenye uislamu.Huwezi kuwa mwana siasa wa chama A ukafuata sera za chama B.
So ukristo ni dini ya mzungu au myahudi. Wewe mzungu kakuletea ili akutawale Ila ukipiga survey ulaya watu wengi wanaacha kuamini katika dini especially ya kikristo🤣🤣Sasa si kanisa hilo yalianzishwa na wazungu ...Na hizo suti si wameanzisha wazungu
.
Nionyesha andiko yesu alivaa suti au wanafunzi wake ...Nikuonyesha neno kanzu kweny bible..
Unafuata mila za wazungu hamna dini ndo maana mnafungisha ndoa za wanaume 🤣🤣🤣hamna dini hapo ni mila za wazungu kuvaa nguo fupi hapo wakubwa wenu sijui ndo sangara wanavaa kanzu
Maria mama wa Yesu mika 13 aliolewa na Yosef miaka 90,watu wa mashariki ya kati wanakula nyama na maziwa wana afya,usifananishe na vitoto vya Afrika ugali na mlenda.Kwa hiyo mtume wa Allah kakuta ma pedophile na ma child molester kaungana nayo tena na yeye kaoa katoto ka miaka 6
Mpuuzi angekuwepo kipindi hichi ni jela maisha na viboko 12 na dini yake ingeishia apo
Utaelewa tu,kidogo kidogo.Mwenzio kaongozwa na roho mtakatifu kuandika hayo japo ni sheikh
Ndo nikuulize wewe wapi mnamfuata yesu ? kama sio kufuata wazungu.So ukristo ni dini ya mzungu au myahudi. Wewe mzungu kakuletea ili akutawale Ila ukipiga survey ulaya watu wengi wanaacha kuamini katika dini especially ya kikristo
Wakataa picha ya Yesu na kila siku unaibusu,kwa vile umepigwa za uso,huna hoja tena.Utaelewa tu,kama huelewi.Kumbe! Hongera kwa kuijua sura ya Jesus Christ. Tuma sura ya Mudi mtume wa mwisho wa Mungu kama isikikavyo. Hahahaaa, Mudi hana maajabu yoyote ya kuonekana kama mtume wa Mola aliye juu.
🤣Acheni kupigwa na waarabu bana... Mnasaidia kusambaza tu utamaduni, kwa hiyo Mungu unaongea nae kiarabu ndo unaelewa, unamsoma kiarabu...🤣Ila duuUmesoma Quran kwa Kiingereza umeelewa nini?
Kwa maelezo Yako Uliyotoa inaonekana huiishi Quran,Hujaielewa
Huna mazingatio
1. Sio kila mtu ambae si muislam ni mkristo, so unavyoniambia Mimi as if ni mkristo ni kama unampigia mbuzi guitarNdo nikuulize wewe wapi mnamfuata yesu ? kama sio kufuata wazungu.
Juzi viongozi wenu wameenda kuhij vatican italy ,haya niambie huko Vatican 🤣🤣yesu alifika?
Makao makuu mengine ni pale Uingereza kweny ufalme .
1. Unarusha mpira? Mi sio mkristoHakuna Kitu Kama Hicho Unaongea Chuki zako tu Lakini Uhalisia Unajulikana
1.Suala La Ubaguzi wa rangi(Ukabila) Sio Kwa Waarabu tu,Tena Wazungu Ndo zaidi Kila siku Tunasikia Taarifa za Wazungu Kuwabagua Waafrika Sijawahi Sikia taarifa waarabu Kuwabagua Waafrika Au zipo lakn chache sana.
2.Zinaa Wazungu na Waafrika Wanaongoza kwa Zinaa,Tunashihudia Hata Kwenye Jamii Zetu Watoto wa Kiarabu wanaoelwa hali Ya Kuwa bikra Ila kwa waafrika bikra utaiskia tu.
3.Ubaguzi wa Wanawake,Hakuna kitu Kama hicho kwa Waaarabu Ila Mwanamke Hawezi Kuwa Juu ya Mwanaume Hata Biblia Inasema Hivo
Timotheo 1 2:12 "Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu"
4.Utamaduni wa kimagharibi Unaoufata kama Ulivosema hauwezi Ruhusu Vitu Kama Hivi Ila Utaruhusu Ushoga na Kuzikataa Haki
kutokula nguruwe na kunywa pombe amekatazwa mwarabu. Sasa wewe uarabu umeutoa wapi kama siyo kufuata tamaduni zisizokuhusu.Wapi nimejifananisha na muarabu ?
Kama huendi si wewe halafu tambua wapumbavu kama nyie mko wachache sana na watu wanazidi kuingia kweny dini ya halali.
Endelea kula nguruwe ,kufanyaz uzinzi na ulevi huku hatutaki ...
Ingekuwa unajiamni ungekaa kimya🤣🤣
Quran imeandikwa na waarabu ndo maana ni kiarabu. Mungu Hana lugha pendwa bana hebu tutokeeKila kitabu kimeshuka kwa Lugha yake, na Lugha zote ambazo Mwenyez Mungu ameshusha vitabu ni Lugha ambazo ni kongwe, lugha kongwe zina maneno mengi na inakua Rahisi ku Express kitu kila mtu akakuelewa.
Chukulia mfano neno paa kiswahili inaweza kuwa
-paa kupaa juu
-paa la nyumba
-paa mnyama
Hii inaonesha Lugha ilivyo changa na kukosa Vocabulary nyingi. Kama Quran ingeshushwa kiswahili ingeleta mkanganyiko kwenye maneno mengi na kusababisha watu kuipindisha.
Kutokubadilika Quran kwa miaka zaidi ya 1000 tena kwa maana ile ile kunaonesha jinsi gani Lugha ilikua Chaguo sahihi.
Ninachokuambia mimi kama wakristo wangekuwa wanamfuata na kuishi maisha ya yesu basi wangekuwa tofauti na pia wangekuwa na tamaduni za uyahudi ila wao wamechukua pure kutoka kwa wazungu.1. Sio kila mtu ambae si muislam ni mkristo, so unavyoniambia Mimi as if ni mkristo ni kama unampigia mbuzi guitar
2. Ukristo ni dini ya kiyahudi iliyochukuliwa na warumi ili iwanufaishe katika kutawala watu na imeweza kufanya hivi kwa Karne nyingi ikiwemo kuhalalisha utumwa wa binadamu na mambo mengine mabaya mengi.
3. Kama Yesu alikuwa mzungu sawa
🤣Mi na akili kuliko kitabu kinachosema kuhusu majini majini na viumbe vya motoIlikuwaje Allah na shetani ni ma neighbors?
Kama ndivyo munavyoaminishwa huko makanisani poleni sana. Kila kitu anachofanya muislamu munakitafsiri kuwa cha kiarabu, hiyo siyo sahihi.
Kama Quran imeandikwa na Binadamu kwanini hadi leo hakuna Kitabu kama Hicho? Quran yenyewe inatoa Challenge kama ile ni kazi ya Binadamu basi andikeni kitabu kama kile, ni 2023 sasa hivi Computer na Ai za kutosha ila hakuna bado kitabu kama kileQuran imeandikwa na waarabu ndo maana ni kiarabu. Mungu Hana lugha pendwa bana hebu tutokee
Ni kweli kabisa, Uislam ulikuwepo tangu kuumbwa kwa Adam.Uislamu ulikuwepo hata kabla ya mudi? Mudi si ndo anasimliwa kwenye quran au kulikuwa na kitabu gani hapo kabla?
🤣Wanataka bikra tu...hata ya mtoto mchanga..ndo ujue Wana nyege tuEti enzi hizo walikuwa ni magiant!! Wakati mtume kamuoa khadija wa miaka 40 ameshazaa watoto wawili akakuta wazungu hawamo akaingia kwa vitoto miaka 6-9. Miaka hii bado wanaingia mahakamani kuhalalisha ndoa za watoto sijui haraka za nini?
Acha ujinga, nenda kasome historia kuhusu Kemet ndo utajua ukweli wa mtu Mweusi ni upi.. siyo hayo mnasoma mavitabu yenu mnayaita matakatifu wakati hao jamaa walioandika hayo mavitabu wamewatesa sana na kuwaua Babu zetu.Sio kweli,waarabu na wamasai mavazi yao ni mamoja,mpaka tamaduni zao,walikuwa wakivyaa Rubega,na wote wanatokea mashariki ya kati,wanakula nyama,maziwa,samli,wafugaji,wanatembea na fimbo,sime na viatu pia hawavai buti.Uislamu ndio uliwaletea mavazi.Wamasai sio wabantu,hao wamepitia Pembe ya Afrika,kama wasomali,wamasai;waethiopia hata matamshi ya lugha wanafanana wakiongea.
Sijaongelea kanzu Mimi ..Ninachokuambia mimi kama wakristo wangekuwa wanamfuata na kuishi maisha ya yesu basi wangekuwa tofauti na pia wangekuwa na tamaduni za uyahudi ila wao wamechukua pure kutoka kwa wazungu.
Ukisoma bible ukiangalia na wakristo ni vitu viwli tofauti ...Sasa angalia wazungu na wakristo ndo utajua jamaa wanafuata wakristo.
Kama neno kanzu hata kweny bible lipo na hata yesu alivaa na zile kobazi za kushukwa na kamba ...
Kweny mavazi hakuna najisi hata uvae nin sema zime zinasitiri sehemu za uchi ...Uvae kanzu au suti vyote sawa .
Ila tambua sisi kun kitu kinaitwa sunnah sio lazima ila kama unapenda kufanya kama ambavyo mtu alifanya mfano mavazi ,kula ndo maana wengin wanatumia mkono hata kama kuna vijiko ni sunnah sio lazima,sio kwamba ukila na kijiko unapata dhambi hilo halipo.
Mtume alikuwa akili chini kwa kukaa na watu wengi kwa wakati mmoja ndo maana wengi wanafanya hivyo kama kumuiga ...Kuna sunnah inasema kwamba Mtume ni kiigizo ina maan tunacopt kutoka kwake