Sawa babaHizo ndo story wanazokuambia, lakini ukweli ni kwamba uislamu ni dini Kama dini zingine inaanzishwa na tamaduni fulani kwa kusudi la kuendesha watu wa tamaduni hio... Sasa kutakuwa na Mungu wangapi Kama kila tamaduni imetokewa na Mungu wake sijui mlimani sijui pangoni na kila tamaduni Ina dini yake na sheria zake. Hizi ni sheria za watu Ila wanasema za Mungu ili watu waogope na kufata na kuwatishia kuwa baada ya kufa Kuna moto coz hamna mtu Ashawahi kurudi so utaogopa tu ila in reality hamna kitu Kama hicho
Kwani Kuna mtu kasema ukristo sio tamaduni za kiyahudi? 😂Mbona mnapenda kurusha mpira. Kama mada ni uislamu jitetee sio unauliza mbona wakristo...😂 unaenda polisi unaulizwa umeiba, unaanza kusema mbona na fulani pia kaiba, jamani..😂bongo bado sanaWale ma padre wanavyovaa kanzu, ma-sister wanavyovaa unform za kufanana juu wanaweka kofia, ma pasta wanavyovaa kola nyeupe, kanisani kuna wapiga piano, waumin wanavaa suti, shati na suruali huo utamaduni mmeutoa kwenye kabila gani Tz?
So mungu ametengeneza nyota billions na sayari million ili amtokee muarabu pangoni amuambie andika kitabu Cha kiarabu kwa waarabu?.
Quran ni wazi ilitumwa kwa Waarabu. Wale ambao si Waarabu hawawezi kuielewa Koran, hayo ni maneno ya Allah. Waislamu wanasisitiza kuwa hakuna tafsiri ya Qur'ani inaweza kuwa sahihi. Hivyo, haiwezi kamwe kuwa wazi kwa mashirika yasiyo ya Waarabu na haikutumwa kwa mashirika/ummah yasiyo ya Waarabu
Halafu unasema wewe ni muislamu huku unataka kupiga ngoma??Tujikubali na asili zetu, tujivunie vyetu.
Dufu ni ngoma za waarabu, kuna ulazima upi kuacha kupiga ngoma zetu sisi za asili yetu Mdundiko, Lizombe,sindimmba,mganda,mdumange,msewe, ?
.
Quran ni wazi ilitumwa kwa Waarabu. Wale ambao si Waarabu hawawezi kuielewa Koran, hayo ni maneno ya Allah. Waislamu wanasisitiza kuwa hakuna tafsiri ya Qur'ani inaweza kuwa sahihi. Hivyo, haiwezi kamwe kuwa wazi kwa mashirika yasiyo ya Waarabu na haikutumwa kwa mashirika/ummah yasiyo ya Waarabu
Ujinga kuamini kuwa watu wanaweza kisoma level mbalimbali za elimu kwa lugha za kigeni ikiwemo kiarabu, kisha watu hao hao watashindwa kuelewa Quran kisa ipo katika lugha ya kiarabu..
Quran ni wazi ilitumwa kwa Waarabu. Wale ambao si Waarabu hawawezi kuielewa Koran, hayo ni maneno ya Allah. Waislamu wanasisitiza kuwa hakuna tafsiri ya Qur'ani inaweza kuwa sahihi. Hivyo, haiwezi kamwe kuwa wazi kwa mashirika yasiyo ya Waarabu na haikutumwa kwa mashirika/ummah yasiyo ya Waarabu
Maana physics ,chemistry na biology ni kwa ajli ya wazungu tu .!!.
Quran ni wazi ilitumwa kwa Waarabu. Wale ambao si Waarabu hawawezi kuielewa Koran, hayo ni maneno ya Allah. Waislamu wanasisitiza kuwa hakuna tafsiri ya Qur'ani inaweza kuwa sahihi. Hivyo, haiwezi kamwe kuwa wazi kwa mashirika yasiyo ya Waarabu na haikutumwa kwa mashirika/ummah yasiyo ya Waarabu
Upinde ndo nini? Kanisa gani linafungisha ndoa za wazungu? Ndoa za wazungu ni zipi? Suti ni vazi la heshima..ukienda Interview ya kazi nenda na kanzu utaambiwa hatutaki utatumalizia ubwabwa😂yesu alioa wapi ? Alivaa suti wapi ?
Upinde unaufuata je yesu alikuwa upinde kama makanisa yenu yanavyofungisha ndoa kama sio wazungu ndo mnwaabudu?
Nikishaona tu mtu anajichekesha chekesha kwenye comment huwa nampuuza sijasomaKwani Kuna mtu kasema ukristo sio tamaduni za kiyahudi? 😂Mbona mnapenda kurusha mpira. Kama mada ni uislamu jitetee sio unauliza mbona wakristo...😂 unaenda polisi unaulizwa umeiba, unaanza kusema mbona na fulani pia kaiba, jamani..😂bongo bado sana
1. Hapana aliyekomba jina la kiarabu, mbona waislamu kutoka nje ya Arabia wako wengi kuliko hao waarabu wenyewe? Mfano ni Indonesia, na wao wana majina yao ya kikabila yao. Halafu baadhi ya majina ya kiarabu wala siyo ya kiislamu, na yako mengi tu. Mfano hata yule aliyekuwa Waziri wa Iraq Tariq Aziz alikuwa mkristo, kwa hivyo hayo ni maoni yako finyu tu.uarabu una mila na desturi zake na uislam una sheria zake lakini huku kwenye uislam tumekomba mpaka uarabu, nimeuliza swali uislamu ni uarabu?
Majina - yani mpaka jina la ukoo linanyofolewa.
Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya kiarabu ngozi ya mtume, mwarabu akitaka kitu flani ni ngumu kumkatalia, akikosea kitu flani rahisi kumsamehe.
Mavazi - Kudhani kwamba kanzu ni uislam
Dufu - Ngoma hii wengi huipiga hasa kwenye sherehe kudhani ni uislam
taratibu za Kuoa - Kuvaa kanzu huku kiunoni kuna jambia la vitani kudhani ndio uislam.
Vyakula - kikiwa kina asili ya uarabuni mfano biriani kitapewa heshima zaidi kuliko pilau
lugha - Kusoma quran kwa kiarabu hata kama huelewi, kusalimiana kwa kiarabu, n.k.
mtume angekuwa mchina tungevaa kishaolin temple na tungekuwa na vidoti sita au kadhaa kwenye makomwe yetu ?
Interview ya wapi🤣🤣? sijawahi kuvaa suti waliovaa walipigwa chini kwa vile vichwa empty.Upinde ndo nini? Kanisa gani linafungisha ndoa za wazungu? Ndoa za wazungu ni zipi? Suti ni vazi la heshima..ukienda Interview ya kazi nenda na kanzu utaambiwa hatutaki utatumalizia ubwabwa😂
Unajisikiaje kujiita muislamu ilhali wewe SIO MUISLAMU?uarabu una mila na desturi zake na uislam una sheria zake lakini huku kwenye uislam tumekomba mpaka uarabu, nimeuliza swali uislamu ni uarabu?
Majina - yani mpaka jina la ukoo linanyofolewa.
Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya kiarabu ngozi ya mtume, mwarabu akitaka kitu flani ni ngumu kumkatalia, akikosea kitu flani rahisi kumsamehe.
Mavazi - Kudhani kwamba kanzu ni uislam
Dufu - Ngoma hii wengi huipiga hasa kwenye sherehe kudhani ni uislam
taratibu za Kuoa - Kuvaa kanzu huku kiunoni kuna jambia la vitani kudhani ndio uislam.
Vyakula - kikiwa kina asili ya uarabuni mfano biriani kitapewa heshima zaidi kuliko pilau
lugha - Kusoma quran kwa kiarabu hata kama huelewi, kusalimiana kwa kiarabu, n.k.
mtume angekuwa mchina tungevaa kishaolin temple na tungekuwa na vidoti sita au kadhaa kwenye makomwe yetu ?
Mi nahisi huyu MUISLAMU FAKE atakuwa amekupata vizuri kabisa, la sivyo atakuwa ana matatizo kichwani1. Hapana aliyekomba jina la kiarabu, mbona waislamu kutoka nje ya Arabia wako wengi kuliko hao waarabu wenyewe? Mfano ni Indonesia, na wao wana majina yao ya kikabila yao. Halafu baadhi ya majina ya kiarabu wala siyo ya kiislamu, na yako mengi tu. Mfano hata yule aliyekuwa Waziri wa Iraq Tariq Aziz alikuwa mkristo, kwa hivyo hayo ni maoni yako finyu tu.
2. Kanzu siyo uislamu hata kidogo kwani hata mapadri wanavaa, au kwa kuwa zao zimerembwa rembwa ndiyo unaona siyo kanzu? Mbona nyinyi munavaa suti mulizoletewa na wazungu?
3. Hiyo unayosema biriani ni chakula cha waarabu kwa kweli umekosea kwani asili ya chakula biriani na pilau ni India, hata hao waarabu wenyewe wameiga. Labda bokoboko.
4. Hiyo dufu ni ngoma tu kama vile munavyoiga ngoma za akina Michael Jackson na wenzake.
5. Kuvaa nguo wakati wa ndoa pia ni mbwembwe tu, kuna wanaovaa kanzu na jambia na kuna wanaovaa suti zilizoletwa na wabeba biblia.
6. Hata quran kuwa kwa lugha ya kiarabu si usome uelewe kilichoandikwa? Tafsiri zipo hata kwa kiswahili anaetaka kuelewa ataelewa tu, tena tafsiri zipo kwa kila lugha, kichina, kizungu na lugha nyingine nyingi.
Hebu jaribu kutafsiri sentensi moja tu ya kizungu kwenda kiswahili, kizaramo, kichaga, kihaya na kisukuma halafu uone zitakavyokuwa na maana tafauti.
Hebu tuletee andiko ya hoja yako?? kuna aya yoyote ya Quran haieleweki???
Pia kuna tafsiri za kingereza, kiswahili nk je zina makosa??? ni yapi hayo makosa??
Uislam haupimwi kwa kuangalia wafanyayo watu. Kaangalie mafundisho ukikuta uliyosema yapo bas yatakua ni uislam, ila nachojua uislam sio uarabuuarabu una mila na desturi zake na uislam una sheria zake lakini huku kwenye uislam tumekomba mpaka uarabu, nimeuliza swali uislamu ni uarabu?