Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Hao mitume wanne waarabu ni kina nani mkuu? Naomba kufahamu.Huna Elimu Yoyote,Huelewi Dini,Hujui historia(Sira)
Hujui Kwa Nini Mtume Wa Mwisho alishushwa Akiwa Mwarabu.
Hata Hivo Kati ya Mitume Yote 25 waliotajwa Kwenye Qur'an,Wanne tu Ndo waarabu.
Hata Kama Hatuna vya Kufuata Hatuwezi Fata Tamaduni za Watu wa Magharibi Bora Tumuenzi Mtume Wetu
Waarabu Ndo Kabila Teuzi katika Uislamu
Kama Ilivyo kwa Wakristo Waisrael Kabila Teuzi sema tu Akili zao wametekwa Na Watu wa Magharibi
Kanzu ni vazi la watu wa Asia. Hata China wanavaa kanzu kwenye temples zao Hadi Leo na si wayahudi,wakristo Wala waislamu.Tuanze na hapo, Mitume kalibu wote walikuwa walikuwa wanavaa kanzu, mfono wake ni pale Yesu kwenye Biblia anaposema mwenye kanzu mbili ampe na mwenzake moja
Uislamu ni imani sio mila wala tamaduni.Twtizo nini?
Wsislam dunia nzima mila yao ni moja tu mila ya Ibrahim AS.
Uwe Mwarsbu ysiwe Mwarabu ni mika hiyo hiyo tu.
Qur'an uwe China, Tanzania, USA, Urusi, Brazil, au kwenu sijuwi wapi? Inasomwa kwa lugha moja tu na haijawahi kubadilika. Muujiza.
Wewe usiye Muislam kinakuuma nini?
Pilipili iko shamba yakuwashiani?
Sisi tumeshtuka na sasa tunahoji na kufanya mabadiliko na tumeona ukristo ni utumwa na upigaji. Tumerudi kwenye utamaduni wetu wa asilia.kama ulivyo utumwa wako kwenye kivuli cha ukristo wako. Haya nenda Kenya ukafe njaa ili uweze kufika mbinguni ukamwone Kristo.
yesu alioa wapi ? Alivaa suti wapi ?
Upinde unaufuata je yesu alikuwa upinde kama makanisa yenu yanavyofungisha ndoa kama sio wazungu ndo mnwaabudu?
Biriani sio cha kula cha kiarabu na wala mtume hajakula wali, ubwabwa, pilau, biriani na vifananiavyo. Biriani inatoka India na nchi za karibu na hapo, hujasoma wewe shule ya Msingi Burma na mpunga?uarabu una mila na desturi zake na uislam una sheria zake lakini huku kwenye uislam tumekomba mpaka uarabu, nimeuliza swali uislamu ni uarabu?
Majina - yani mpaka jina la ukoo linanyofolewa.
Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya kiarabu ngozi ya mtume, mwarabu akitaka kitu flani ni ngumu kumkatalia, akikosea kitu flani rahisi kumsamehe.
Mavazi - Kudhani kwamba kanzu ni uislam
Dufu - Ngoma hii wengi huipiga hasa kwenye sherehe kudhani ni uislam
taratibu za Kuoa - Kuvaa kanzu huku kiunoni kuna jambia la vitani kudhani ndio uislam.
Vyakula - kikiwa kina asili ya uarabuni mfano biriani kitapewa heshima zaidi kuliko pilau
lugha - Kusoma quran kwa kiarabu hata kama huelewi, kusalimiana kwa kiarabu, n.k.
mtume angekuwa mchina tungevaa kishaolin temple na tungekuwa na vidoti sita au kadhaa kwenye makomwe yetu ?
Nikusahishe vitu vidogo tuSasa hivi uislam umeenea Dunia nzima kwa sehemu kubwa. PM wa England ni Muislam na ulaya Sasa hivi kumejaa misikiti na waislam wa ulaya ,USA bunge lao lina waislam kitu ambacho karne ya 19 ilikuwa sio rahisi.
Niseme tu arabs kiasili wana history ya ujio wa Ishmael kama ambayo Israel inavyohusika na ukristo na ujio wa Yesu tu hayo mengine ni desturi hayahusuani na imani .
Sio kweli,uislamu ndio uliwaletea mavazi waarabu.Waarabu ni kama unavyoona wamasai wakivyaa,rubega,na ni jamii moja,wamasai sio wabantu,ni wa asili ya Pembe ya Afrika,kama waethiopia na wasomali.uarabu una mila na desturi zake na uislam una sheria zake lakini huku kwenye uislam tumekomba mpaka uarabu, nimeuliza swali uislamu ni uarabu?
Majina - yani mpaka jina la ukoo linanyofolewa.
Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya kiarabu ngozi ya mtume, mwarabu akitaka kitu flani ni ngumu kumkatalia, akikosea kitu flani rahisi kumsamehe.
Mavazi - Kudhani kwamba kanzu ni uislam
Dufu - Ngoma hii wengi huipiga hasa kwenye sherehe kudhani ni uislam
taratibu za Kuoa - Kuvaa kanzu huku kiunoni kuna jambia la vitani kudhani ndio uislam.
Vyakula - kikiwa kina asili ya uarabuni mfano biriani kitapewa heshima zaidi kuliko pilau
lugha - Kusoma quran kwa kiarabu hata kama huelewi, kusalimiana kwa kiarabu, n.k.
mtume angekuwa mchina tungevaa kishaolin temple na tungekuwa na vidoti sita au kadhaa kwenye makomwe yetu ?
Na ndivyo walivyokuwa waarabu walivyaa Rubega,uislamu ndio uliwaletea mavazi wanavyovyaa sasa.Wamasai sio wabantu ni wa kutoka Pembe ya Afrika kutoka nchi za kiarabu,ndio wanaendana utamaduni wao na waarabu,wasomali na waethiopia,wote hao walikuwa wakivyaa Rubega,kula nyama,maziwa,samli kutoka kwa ng'ombe.Asili yao wote ni wachungaji wa wanyama.Kama mtume angekuwa mmasai tungevaa kumasai?
Hayo mavazi ya kiislamu sio ya kiarabu,waarabu mavazi yao ni rubega,kana unavyoona wamasai,wasomali(siku hizi wameacha kuvyaa kisomali).Hao wamasai sio wabantu,ni wa kutoka Mashariki ya kati kwa kupitia Pembe ya Afrika.hapa tunazungumzia uislamu na uarabu mm sio mkristo na ndio maana wala sitaji habari za wakristo hilo ndio tatizo la sisi waislamu kuna vitu vingine ni vya ukweli lakini tunapindisha.
Mwenyezi Mungu ametuumba kwa utashi yaani kutambua vitu na mambo kwa ujumla sasa tujifunze mda mwengine kuumiza vichwa vyetu hata kama ww ukiwa muislamu ,leo hii mm nimeuliza maswali makusudi ili nipime watu tuliokua ktk imani ya kiislamu lakini nimegundua kuwa waislamu tunapenda sana ligi na dini nyingine hili ndo tatizo letu.
1. Kuhiji kumefanywa na mitume kariba yote hajaanzisha Muhammad(s.a.w) na kuna research kibao za wakristo Sinai ni Saudi Arabia, na kuna wayahudi pia wanakubali hilo.Watu wanasafiri kwenda Saudia Arabia kumpiga shetani mawe. Shetani unaweza kumpiga mawe kweli? Wamemuona mtu wao ambaye kwao elimu siyo kipaumbele anafikiri kama wote ni wapiga mawe.
Watu wa jamii ya mwezi watakujengea msikiti na kisima cha kuchambia tu. Sehemu ambazo wameishi Waabudu mwezi na nyota hakuna hata maendelo hapa Tanganyika. Watakuletea Dirham? Zanzibar yenyewe karibia wote ni warushe mawe lakini hawajawapa Dirham. Wamekuja kuiba na nasikia Ikulu nayo ni ya warusha mawe
Msikilize, mjombako wa kichaga nakwambia nini post #26.Watu wanasafiri kwenda Saudia Arabia kumpiga shetani mawe. Shetani unaweza kumpiga mawe kweli? Wamemuona mtu wao ambaye kwao elimu siyo kipaumbele anafikiri kama wote ni wapiga mawe.
Watu wa jamii ya mwezi watakujengea msikiti na kisima cha kuchambia tu. Sehemu ambazo wameishi Waabudu mwezi na nyota hakuna hata maendelo hapa Tanganyika. Watakuletea Dirham? Zanzibar yenyewe karibia wote ni warushe mawe lakini hawajawapa Dirham. Wamekuja kuiba na nasikia Ikulu nayo ni ya warusha mawe
Kamba, huwezi soma Quran kwa Kingereza ukaelewa, kitu chochote kikishatafsiriwa lazima kiwe na makosa.Acha uwongo, kuhifadhi una maana gani. Religion ni culture na culture inahusisha lugha. We unadhani wasingewaambia hivyo Leo hii ungesoma kiarabu. Fikirieni mbali, Mimi nimesoma Quran kwa kingereza mbona nimeelewa..naweza kukuelezea sheria zao na story zao kibao bila kusoma hicho kiarabu chao hio sio point. Point ni kwamba hawataki neno libadilike kwa sababu kwenye translation Kuna uwezekano wa kuongezeka au kupungua kwa maneno maana mantiki tamathali za semi etc, 🤣Sasa Kama unadhani Mungu ametengeneza nyota billions ili amtokee muarabu pangoni aagize watu duniani waongee nae kiarabu ndo atasikia sawa.. 😂 Baki na akili yako
Tembea sehemu za waislamu uone maendeleo,Hakuna mkoa unaofikia Dar e s salaam(na jina la kiislamu)kwa maendeleo.Taja mkoa Tanzania unaofikia Dar,mkoa wa waislamu na jina lao la kiislamu.Watu wanasafiri kwenda Saudia Arabia kumpiga shetani mawe. Shetani unaweza kumpiga mawe kweli? Wamemuona mtu wao ambaye kwao elimu siyo kipaumbele anafikiri kama wote ni wapiga mawe.
Watu wa jamii ya mwezi watakujengea msikiti na kisima cha kuchambia tu. Sehemu ambazo wameishi Waabudu mwezi na nyota hakuna hata maendelo hapa Tanganyika. Watakuletea Dirham? Zanzibar yenyewe karibia wote ni warushe mawe lakini hawajawapa Dirham. Wamekuja kuiba na nasikia Ikulu nayo ni ya warusha mawe
Shetani anaishi wapi? Kuna mtu anajua shetani anapoishi? namba yake ya simu unaye? nyumba anayoishi unaijua? ushawahi kumuona? anaonekana? Kuna mambo ambayo ukiyafanya lazima utoe akili timamu, uvae akili ya kichaa.
Unabeba jiwe unamrushia shateni? Watu wanatengeneza pesa nyingi sana kwa ujinga wa watu. Unaanzaje kurusha mawe kwa kitu cha kufikirika?
Tumia akili,kile ni tendo tu,sio kwamba anapigwa shetani yupo pale,ile nikuonyesha kwamba muislamu ajiepushe na matendo ya kishetani,shetani amfanye adui.Hii ndio inathibitisha kuwa uislamu na shetani hawapo pamoja.Ni tofauti na yule Rushdie aliyesema Qur'an ni aya za shetani,wakati Qur'an nzima inampinga shetani.Shetani anaishi wapi? Kuna mtu anajua shetani anapoishi? namba yake ya simu unaye? nyumba anayoishi unaijua? ushawahi kumuona? anaonekana? Kuna mambo ambayo ukiyafanya lazima utoe akili timamu, uvae akili ya kichaa.
Unabeba jiwe unamrushia shateni? Watu wanatengeneza pesa nyingi sana kwa ujinga wa watu. Unaanzaje kurusha mawe kwa kitu cha kufikirika?
Acha uwongo, kuhifadhi una maana gani. Religion ni culture na culture inahusisha lugha. We unadhani wasingewaambia hivyo Leo hii ungesoma kiarabu. Fikirieni mbali, Mimi nimesoma Quran kwa kingereza mbona nimeelewa..naweza kukuelezea sheria zao na story zao kibao bila kusoma hicho kiarabu chao hio sio point. Point ni kwamba hawataki neno libadilike kwa sababu kwenye translation Kuna uwezekano wa kuongezeka au kupungua kwa maneno maana mantiki tamathali za semi etc, [emoji1787]Sasa Kama unadhani Mungu ametengeneza nyota billions ili amtokee muarabu pangoni aagize watu duniani waongee nae kiarabu ndo atasikia sawa.. [emoji23] Baki na akili yako
Wewe sio muislamu,kama ungekuwa muislamu,ungekuwa wajuwa kuwa mavazi ya waislamu sio mavazi ya waarabu.Hata Yesu alivyaa kanzu,kilemba,ndevu na makubadhi.hapa tunazungumzia uislamu na uarabu, mimi sio mkristo na ndio maana wala sitaji habari za wakristo hilo ndio tatizo la sisi waislamu kuna vitu vingine ni vya ukweli lakini tunapindisha. Mwenyezi Mungu ametuumba kwa utashi yaani kutambua vitu na mambo kwa ujumla, tujifunze mda mwengine kuumiza vichwa vyetu hata kama jambo linakuumiza, mimi nimeuliza swali ili tuweze kulifafanua katika mrengo wa imani ya kiislamu lakini nimegundua kuwa baadhi yenu mnapenda sana ligi na dini nyingine na hili ndio tatizo kubwa.
Tena nimecheka kweli kweli, DP World atafanya muwaelewe vizuri Waarabu.uarabu una mila na desturi zake na uislam una sheria zake lakini huku kwenye uislam tumekomba mpaka uarabu, nimeuliza swali uislamu ni uarabu?