Nafhan 16 kwa kujibana sana , leo kuna moja ipo befoward naiona kama ipo cheap ila ina rangi mbaya , ila ni kama mil ssba kuagiza , hapo ukiongeza mil 6 tu inakuwa ipo mkononiProbox nitapata kwa tsh ngapi mkuu?
Nashukuru kwa ushauri mkuu. Ngoja na mimi nitaingia huko Beforward nikaangalie bei zake. Huo ushuru wa 5.2 mil umepataje? Na hizo gharama zingine kama charges za bandari, clearance na service ya kuanzia, naweza kuzipata wapi ili nijipange nikienda niwe najua naenda kulipia tsh ngapi?Kwa gari ya familia kubwa kwa brand ya Toyota, zitakazokufaa ni Wish, Spacio, Sienta, na Raum. Ila bajeti yako ipo chini. Ungeongeza angalau ifike 14mil utapata kwa kuagiza. Miaka 5 iliyopita kwa bajeti hiyo ungeweza kupata Raum nzuri tu. Ila kwa sasa angalau uwe na 14mil kwenda juu. Corona ilileta mabadiliko. Freight charges zimepanda kutoka $800 hadi $1800.
BTW, nimeangalia Beforward asubuhi hii, Sienta ya 2004 (7 seater) ni $2994 (7mil) na ushuru wake ni 5.2mil. Hapo bado charges za bandari, clearance, na service ya kuanzia.
Iangalie hii succeed ambayo ni sawa tu na probox, ipo leo be foward ila watu wanaitolea macho sanaProbox nitapata kwa tsh ngapi mkuu?
Mhh, mkuu haka sijakapenda aisee.Chukua chuma hiki,kitakufaa kabisa kwa bajeti yako
TRA Used Motor Vehicle Valuation Details
Reference Number: 22233056322 Make: MAZDA Model: DEMIO - DE3/DE5 Body Type: HATCHBACK Year of Manufacture: 2008 Country: JAPAN Fuel Type: PETROL Engine Capacity: 1001 - 1500 CC Customs Value CIF (USD): 1,779.97 Import Duty (USD): 444.99 Excise Duty (USD): 111.25 Excise Duty due to Age (USD): 667.49 VAT (USD): 582.30 Custom Processing Fee (USD): 10.68 Railway Dev Levy (USD): 26.70 Total Import Taxes (USD): 1,843.41 Total Import Taxes (TSHS): 4,278,308.42 Vehicle Registration Fee (TSHS): 450,000.00 TOTAL TAXES (TSHS): 4,728,308.42
View attachment 2582001
Umeambiwa anatembea roughroad km 70 unamwambia achukue babywalker. Mkuu wewe magari huyajui huwezifananisha spacio na ist hata siku moja.
Ist kwanza ni 7 seater hata ukisanya njian unapata hela za kutosha. Pia ni gari kubwa acha ist kamebanana ndani, kwenye rough road ina stability na ni nzito kidogo kuliko ist na imekaa kiume zaidi kuliko ist
Zipo Tele TeleMkuu hizi gari ni za siku nyingi sana. Hivi spea parts zake hazisumbui?
Ushuru unapata kupitia TRA unaweza kuingia mtandaoni search TRA used motorvehicle evaluation utajaza details za gari ambayo unahitaji kuimport kama mwaka, CC, mafuta inayotumia na details nyingine itacalculate na kukuletea ushuru.Nashukuru kwa ushauri mkuu. Ngoja na mimi nitaingia huko Beforward nikaangalie bei zake. Huo ushuru wa 5.2 mil umepataje? Na hizo gharama zingine kama charges za bandari, clearance na service ya kuanzia, naweza kuzipata wapi ili nijipange nikienda niwe najua naenda kulipia tsh ngapi?
Hili naliunga mkonoChukua Chuma Ya Maisha Yako Yote Ambayo Haina Fashion
Suzuki Samurai, Jimny, Gypsy,
Hutajuta
hahahahahaUnataka afe hujaona kaandika anataka gari ya 10 to 15km/lt inamaana huyu ni maskini anataka gari ili avimbe kodogo
Wakati huo huo gari iwe offroader, ile mafuta 10-15 km/l, ibebe watu 6 na bei iwe nafuu..Si uchukue Rav4 old model mkononi hapa hapa bongo mkuu ukitulia ukajipa muda utapata usiweke vipengele vingi sna unapotaka nunua gari wakati hela ni ya manati[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
Premio ya mwaka gani plus Kodi ije 12,000,000?Premio mkuu, fuel consumption + hizo rough road mie sijui. Ila kwa mwanaume premio kali [emoji106]
2023Premio ya mwaka gani plus Kodi ije 12,000,000?
Ingia kwenye website ya TRA, tafuta calculator ya magari yaliyotumika. Ukiingiza taarifa za gari, mwisho uta click 'calculate'. Zipo nyuzi kadhaa humu ambazo tushaelekeza jinsi ya kuingiza hizo details za gari.Nashukuru kwa ushauri mkuu. Ngoja na mimi nitaingia huko Beforward nikaangalie bei zake. Huo ushuru wa 5.2 mil umepataje? Na hizo gharama zingine kama charges za bandari, clearance na service ya kuanzia, naweza kuzipata wapi ili nijipange nikienda niwe najua naenda kulipia tsh ngapi?
Shukran mkuu! Baada ya kutoka kanisani nimetumia muda mwingi kwenye internet kufanya ka utaafiti kidogo. Nimeingia kwenye website ya TRA na nimefanya calculation ya baadhi ya magari.Ingia kwenye website ya TRA, tafuta calculator ya magari yaliyotumika. Ukiingiza taarifa za gari, mwisho uta click 'calculate'. Zipo nyuzi kadhaa humu ambazo tushaelekeza jinsi ya kuingiza hizo details za gari.