Kwa basic salary ya 1,180,000/= HESLB wanachukua kiasi gani hapo wakuu?

Bado NSSF.
Bado chaM-KOPA.
Bado cha songesha.
Bado kwa mangi wadukani au gengeni.
Bado mwenye nyumba
Bado usafiri
Bado ya bia na kitimoto
Bado ya sadaka au fungu la kumi.
Bado ya ukoo wenu.

hizi ukitoa unaweza kujikuta mshahara una kopa tena
Sasa ya ukoo, si lazima❌
Kunywa bia na kitimoto sio lazima❌
Songesha ni kujiendekeza❌
 
Kuchukua mkopo wa miaka mingi ni upungufu wa akili timamu.
Shida kubwa huwa ni nne:
  • Kushindwa kucontrol maongezi kati yako na afisa mikopo
  • Kutojua mikopo inafanyaje kazi
  • Kutaka ubaki na pesa nyingi ya kuendesha maisha
  • Kutaka angalau pesa kubwa licha ya udogo wa mshahara.

Hapo lazima muda wa mkopo uwe mrefu.
 
Bado NSSF.
Bado chaM-KOPA.
Bado cha songesha.
Bado kwa mangi wadukani au gengeni.
Bado mwenye nyumba
Bado usafiri
Bado ya bia na kitimoto
Bado ya sadaka au fungu la kumi.
Bado ya ukoo wenu.

hizi ukitoa unaweza kujikuta mshahara una kopa tena
Bado hajaonga wadada wa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…