Kwa 'body language' tu ya Mama azungumzapo huhitaji Akili Kubwa kujua ya kwamba...

Masikini na Wanyonge wanaoishi katika nchi Tajiri... 😀
 
Mama namuunga mkono 100%, lakini kadi ya CCM sichukui kamwe hata kwa kulzimishwa kwa Kalashnikov/mtutu wa bunduki.

CCM! hapana.
 
Hapa nakubaliana na wewe Asilimia 💯 maana nawaambia watu bila kufanya kazi hela hamtaipata wala kuonekana, mara ooh hayupo aliekuwa anabania hela, nawaambia nyie mnacheza yani mchezo bado ni ule ule
hatutaki hela tunataka amani na uhuru tu,vinatosha!!
 
Aya ya kwanza umeandika IPP ila huku kwingine umenikosha sana...

Uongozi ni jambo zito na ndio maana kwenye aina nne zile unaambiwa unatakiwa uwe unachukua vijitabia fulani fulani kwa kila aina japo kwa sehemu utakayozidisha ndiyo itayokuidentify

Sasa wewe Raisi ameamua kujinasibisha zaidi na ule uongozi pendwa, uongozi wa pamoja wa kutoa mwongozo tu na kuwagawia watu majukumu wakapambane kwa nafasi zao wewe unataka kumlazimisha atumie mabavu, Je angekuwa laissez fair!?

Kwenye COVID-19 mimi nilipenda misimamo ya jiwe; hakuna cha kamati wala babu yake ya uchunguzi ni NO, NO tu basi!

Tukiachana na hayo, jambo lingine ambalo binafsi nina wasiwasi juu ya uongozi wa mama ni yule makamu wake. Moyo wangu unaniambia yule siyo mtu mwema kwa Mama hata kidogo
 
Haahaa eti mbritish kabisa yani mwingereza ? Mkuu
Japokuwa asili ya huko ulipotokea ilikuwa ni kuwatukuza ila siyo kwa sasa; ni msemo tu mkuu wala siyo kwamba ndo wamepewa kipaumbele au wametukuzwa kivile.

Mchambawima mzungu bana! Yaani kazi mnaanza saa 2 mwisho saa 10 na saa 6 lazima kupumzika, pia ukimaliza tu kazi malipo ni hapohapo, halafu ukienda kwake sasa yaani ni raha kila kitu kinafanywa kwa ratiba maalum...
 
Watanzania tufanye kazi, tulipe kodi tusimdissapoint mama. Nchi hii ni yetu na itajengwa kwa nguvu zetu. Tuna Rais ana upendo sana, tutake nini tena?

pole mkuu,ndio kwanza utawajua watz ni akina nani.kama hukuwepo enzi za jk.

hii miaka 5 ni ya kulala.
 

vijana mna haraka sana ya kutoa hitimisho.

mama akitaka aifikishe hii nchi sehenu fulani,aachane kabisa na umama.awe rais.
 
Mkuu asante.Hatuna cha kujifunza kutoka Ulaya kuhusiana na C-19.Yote yanayotekezwa Ulaya kuhusiana na C-19 ni utapeli labeled science,huku wakitumia compromised so called scientists.Sina shaka yeyote kwamba kama uncompromized true scientists watakuwa selected kwa nia njema,I repeat kwa nia njema,wana uwezo kabisa wa kutusaidia.After all most of us who are true and independent minded scientists already know that C-19 is a hoax.Mambo yako wazi kabisa.Hata sijui wanachokwenda kufanya ni nini.One only needs to look into the science of pathogenic diseases,wearing masks,lockdowns and social distancing to see that there is no science involved all,it all has to do with social engineering and destroying economies for the draconian One World Government agenda.
 
Dalili ya mvua achana nayo ...subiri tuu mvua inyeshe...
Msemo wa nyota njema huonekana asubuhi ulishapitwa na wakati...
Refer late stone age...

Inaweza nyesha acidic rain Kama hapo zamani za kale .
Zama za mawe
 
Sasa labda niulize nini mantiki ya kile kiapo walichokula ikulu kama hawawezi kumsaidia Mh. Rais katika kufanya maamuzi na wakati ameshawapa dira?
 
Mkuu mimi nina wasi wasi sana.Familia hii ina ukaribu sana na NGOs za akina Bill Gates au funded na akina Bill Gates,hasa baba.Je,kweli tuko safe? Time will tell.
 
Hakuna kitu kitabadilisha maisha yako kuwa Bora zaid Kama hutojishughulisha na kufanya jambo kwa juhudi na ubunifu wa kimaarifa vinginevyo utazidi kunyooshea watu vidole na kuamini kuwa unalogwa au unaonewa kumbe the PROBLEM IS YOU
Wewe unadhani watu hawajishughulishi? Ukweli ni kuwa watu wako busy sana kutafuta maisha kwa kujishughulisha lakini mazingira yaliyowekwa na serikali ni magumu mno!
 
Sasa labda niulize nini mantiki ya kile kiapo walichokula ikulu kama hawawezi kumsaidia Mh. Rais katika kufanya maamuzi na wakati ameshawapa dira?
Mkuu viapo ni kutimiza sheria tu,wala havina uhusiano wowote na utendaji.Infact katika vitu ambavyo ni useless ni viapo,ni wastage of time.Tumewashuhudia wengi wakiapa na baadae kufanya madudu na hivyo kwenda kinyume na viapo vyao bila kuchukuliwa hatua yeyote kama sheria inavyotaka.
 
Wewe unadhani watu hawajishughulishi? Ukweli ni kuwa watu wako busy sana kutafuta maisha kwa kujishughulisha lakini mazingira yaliyowekwa na serikali ni magumu mno!
Mazingira yapi ni magumu mkuu.
 
Hujui unachokiomba.Tatizo la Watanzania ni ufahamu,lack of diagnostic ability na kutojitambua.Pia tunaridhika sana na vitu vidogo dogo vyenye faida ya muda mfupi.Many times we do not even know what we want.Shiida kweli kweli.
 
Mazingira yapi ni magumu mkuu.
Kwa wafanyabiashara wanaoanza kuna kodi nyingi na kubwa ambazo zinatozwa hata kabla ya biashara kuanza. Kwa wafanyabiashara wakubwa makadirio ya kodi ni makubwa kuliko uhalisia na rushwa na vitisho kibao. Kwa wakulima kuna vikwazo katika kuuza mazao na kodi kibao. Watu wanashindwa kusafirisha mazao yao kuyafikia masoko sababu ya ushuru. Aidha kuna taasisi nyingi za utozaji kodi kama halmashauri, tra, TBS, tfda nk.
 
Yes; it's to early but so far she has somehow supprissed many especially those who had underestimated her leadership potentials.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…