Kwa 'body language' tu ya Mama azungumzapo huhitaji Akili Kubwa kujua ya kwamba...

Kwa 'body language' tu ya Mama azungumzapo huhitaji Akili Kubwa kujua ya kwamba...

Mimi bado sijampa maksi zangu zote. Kipimo cha kwanza ni siku zake 100 akiwa madarakani.

Na hiki kitakuwa ni moja ya vipimo mwafaka ambavyo pia vitaamua hatma ya uongozi wake na future

yake kisiasa

Wenye Akili na Maono tu tumemkubali.
 
Mungu acheni anitwe Mungu..hua ana namna yake ta kutatua kero za watu wake.

#MaendeleoHayanaChama
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....! Kwa hiyo ametatua kero za watu wengi kistar kabisa
 
Huna hoja bora ungenyamaza. Hapo ni chuki binafsi tu kwa jpm kwa kudhibitiwa kwako dhidi ya maslahi ya umma. Kama sio cheti feki kutumbuliwa na kadhalika.

Kamlilie tu aliko Udongoni huko Ziwani.
 
Shangilieni tu lakini mkumbuke bado ni asubuhi, mkumbuke kuna mchana, jioni na usiku pia unakuja, siwezi kukaa upande wowote ili hali sijaona changes
 
Kiongozi kama nchi ya wavivu,watu wenye majungu, maneno mengi kuliko utendaji kama Tanzania haitaji kiongozi awe kama muuza lamba lamba.

Muda ndio mwalimu.

Acha kuwa Mnafiki kwani Comments zote za Kumpenda Mama Rais Samia unajifanya Kuzipongeza huku ukionyesha Mashaka ila za Kumpongeza Hayati ( Baba ) unazichambua kwa Kumsifia mno.

Tafadhali acha Unafiki tumeshakuchoka.
 
Tunajua ni lazima tu utakuwa Umechukia Mama kuwa Rais kwani ulikuwa Ukifaidika mno Kifisadi na Kiukanda na huyo Mkanda Mwenzenu aliyelazimishwa Kulala kilazima na Israeli ili Watanzania tulioteseka nae tupate Unafuu kupitia Mama Mpendwa Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.

Ngoja kwanza tuone Mungu atakavyo sema muende mkasaidiwe kwa Jina la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania. Mungu hadhihakiwi na kuonewa haya. Kiongozi yeyote mkuu wa nchi anajukumu la Kiroho pia.
 
May the Soul of our Hero JPM rest in eternal peace. Let the people talk, but let them keep some words within themselves.. You may praise her at the moment..but mark my words..you are going to regreat..what i saw yesterday, i can say it was a total embarrasment in her regime.
You can not be guided by social media comments when it comes to select or not an individual in a very sensitive possition.
May our beloved country shine in everywhere.

If you really love him ( the Late ) then commit a Suicide so that We go to bury you very adjacent to his grave in Lake Zone.
 
Acha kuwa Mnafiki kwani Comments zote za Kumpenda Mama Rais Samia unajifanya Kuzipongeza huku ukionyesha Mashaka ila za Kumpongeza Hayati ( Baba ) unazichambua kwa Kumsifia mno.

Tafadhali acha Unafiki tumeshakuchoka.
Hahah!

Naona umekuwa mtu wa kupiga ramli mkuu.
 
Hakuna kitu kitabadilisha maisha kuwa Bora zaid Kama hutojishughulisha na kufanya jambo kwa juhudi na ubunifu vinginevyo utazidi kunyooshea watu vidole na kuamini kuwa unalogwa au unaonewa kumbe the problem is you
Aisee watu walikua wanajituma sana tu lakini njia za mafanikio zilizimika kabisaaaaa. Lamda wewe ulikua kwenye mkondo wa neema ya wanayokula wenye nchi, au kunamisha fulani uliyakuta kutoka kwa familia yako au ulishaneemeka kipindi cha kikwete na ile msemo wa tembo hata akikonda hawezi kuwa kama mbuzi. Ila watu tunapambana brother na tunajibana sana lakini ilikuwa sio kazi nyepesi kwa mtu anayeanza maisha kutoboa kwenda level nyingine.
 
Back
Top Bottom