Kwa CCM kuingiza siasa kwenye taifa stars, dua langu ni kesho tuaibishwe na Morocco

chadema sijui kwanini wanashindwa kuwatuma watu na mabango ya chadema, itasaidia pia kuwapunguza kihere here chawa wa mama
 
Tayari mkuu
 
Hiyo utajua ww, hatutaki siasa za kiki za kishamba za ccm kwenye team ya taifa. Mmeshaipotezea siasa mvuto kwa sababu ya kulazimisha kupora chaguzi zetu, Sasa mnalazimisha kuonekana kwenye mambo yasiyohitaji siasa zenu za kishamba. Hatuwataki, hivyo acheni kunajisi team yetu ya taifa.
 
Ccm Majinga kabisa na taifa stars ni kichwa cha mwendawazimu
 
.... Nilikuwa kazini .... kazini mwaka wa 5 ...jiongeze Sasa ...... Sasa nina early 40's....
Mpira wetu unazidi kufunguka tunaendelea kugundua uwepo wa wachezaji professional watanzania huko ughaibuni.

Tunaendelea kupeleka vijana wengi kwa wingi katika vilabu vya Ulaya na ndani ya miaka mitatu/minne tutakuwa na Team kali sana ya Taifa.
 
Tofauti na hilo, tangu lini Tz tukacheza kombe la dunia.? Yani hata ulichosema kisipotimia na kesho tukapata ushindi bado hatuwezi na haitakaa itokee kwenda kombe la dunia

Ccm ikifa pamoja na vibaraka wake akina Zitto Kabwe basi taifa stars itaenda world cup
 
Ccm ikifa pamoja na vibaraka wake akina Zitto Kabwe basi taifa stars itaenda world cup
Hakuna uhusiano kati ya mpira na siasa. Ivory Coast wakiwa vitani mwaka 2010 walicheza kombe la dunia kule Afrika ya kusini.

Liberia wakiwa katikati ya vita George Weah alikuwa mchezaji bora wa afrika, Ulaya na dunia kwa ujumla mwaka 1996.
 
Tofauti na hilo, tangu lini Tz tukacheza kombe la dunia.? Yani hata ulichosema kisipotimia na kesho tukapata ushindi bado hatuwezi na haitakaa itokee kwenda kombe la dunia
Itatokea endapo CCM wataacha ujinga wao na tukawa na academy za kutosha
 
Wewe utaendelea kuandamana humu jamii forum 😂😂😂pole sana Mkuu Tindo.

Kelele unazopiga hazisikiki huko mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…