johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
PhD holder ulitaka akimbilie nini bwashee?!Ama kweli ukiwa ccm uwezo wako wa kujitegemea unatoweka! Hawa wasomi wasioweza kutumia taaluma zao kujiajiri hawana maana hata kidogo! Yaani PhD holder unakimbilia siasa! Kwangu Mimi ni kuudhalilisha usomi kwani haumsaidii kujiajiri! Wanashindwa na wale vijana wa ilula wanaomiliki Mali za maana kwa kulima nyanya japo ni STD vii! Au bongo zao zimeundwa na siagi ambayo huyeyuka hivyo? PhD na siasa ni uchuro!
Nadhani hapo Chadema aliyekuwa anaielewa " lugha" ya Dr Mashinji ni Prof Safari na Tundu Lisu pekee!Kiroba cha mchanga hicho tusaidiane kwa zamu.
Wewe unadhani uteuzi unafuata nini?Unajidanganya sana. Kwa hiyo huko uteuzi unafata elimu eti?? Hahahahahaa.......
Siasa ngumu sana hasa focus yako ikiwa ulaji.Kuna watu wamepiga shule lakini wako kimya kabisa tofauti na yule msomi wa uchumi first class aliyetumbuliwa baada ya kutunukiwa PhD.
Nimeipitia CV ya Dr Mashinji kisha nikavuta CV kadhaa za madaktari wetu pale Lumumba kiukweli sijamuona wa kufanana naye Jamaa ni kichwa ndio maana Chadema wameumia sana.
Nikasema hebu nivute na CV za makamanda wa Ufipa nikakuta ni yale yale jamaa aliwaacha mbali mno.
Sikuchoka nikasema hebu basi niivute CV ya aliyekuwa kipenzi cha Ufipa Dr Slaa hapo ndio nikabaki najichekea moyoni kimya kimya.
Kwa hakika hii hazina inatakiwa ipate uteuzi wa haraka ikatumike serikalini.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Wewe una Siasa za kizamani!
Siasa ni ngumu ukiwa hauna shule bwashee!
Hapa umepotea mkuu wangu 'johnthebabtist.'Nimeipitia CV ya Dr Mashinji kisha nikavuta CV kadhaa za madaktari wetu pale Lumumba kiukweli sijamuona wa kufanana naye Jamaa ni kichwa ndio maana Chadema wameumia sana.
Za kisasa zikoje.Za huu ushamba wa kuhamahama!!Wewe una Siasa za kizamani!
Wapi alipoomba kazi bwashee?!Ningemuona wa maana endapo angetulia na kutumia taaluma yake ipasavyo.Angetuonesha vijana namna ya kujiajiri kupitia taaluma zetu.Kwa nini hatujifunzi kwa mzazi wetu mzee Pinda alivyojielekeza ktk uhamasishaji wa maendeleo ya kilimo.
Unahama chama na kuomba kazi???!!!
Yaani tutachelewa sana kwa utaratibu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafanikio huanzia kwenye hayo makaratasi bwashee!Wabongo wengi wana tabia ya kilimbukeni ya kuridhika sana na CV za makaratasi badala ya kuangalia CV za accomplishments in life.
Siasa ni sayansi bwashee, hata JJ Mnyika atawashangaza wengi hapo mwezi June baada ya bunge kuvunjwa!Hapa umepotea mkuu wangu 'johnthebabtist.'
Ungeelezea machapisho aliyofanya yanayoonekana kwenye huo wasifu wake, hapo ningeungana na wewe kushangilia.
Hapa naona ni kozi tu alizosoma na kuhitimu.
Jamaa alitegeshea kokolo lake pana, anase kokote kutakakopatikana na samaki. "He cast his net wide."
Ndio maana nikaandika mahala kwamba Jamaa ni 'opportunist' wa hali ya juu sana.
Lakini sasa naona bahati nasibu yake inaelekea pazuri.
CV yake inaizidi ya Prof Majalala ?Kuna watu wamepiga shule lakini wako kimya kabisa tofauti na yule msomi wa uchumi first class aliyetumbuliwa baada ya kutunukiwa PhD.
Nimeipitia CV ya Dr Mashinji kisha nikavuta CV kadhaa za madaktari wetu pale Lumumba kiukweli sijamuona wa kufanana naye Jamaa ni kichwa ndio maana Chadema wameumia sana.
Nikasema hebu nivute na CV za makamanda wa Ufipa nikakuta ni yale yale jamaa aliwaacha mbali mno.
Sikuchoka nikasema hebu basi niivute CV ya aliyekuwa kipenzi cha Ufipa Dr Slaa hapo ndio nikabaki najichekea moyoni kimya kimya.
Kwa hakika hii hazina inatakiwa ipate uteuzi wa haraka ikatumike serikalini.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Na ndio tunapowapa nafasi kuharibu maisha yetu.Tuwaambie ukweli kuwa wanaharibu future ya nchi na raia wake.Wabongo wengi wana tabia ya kilimbukeni ya kuridhika sana na CV za makaratasi badala ya kuangalia CV za accomplishments in life.