johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
PhD holder ulitaka akimbilie nini bwashee?!Ama kweli ukiwa ccm uwezo wako wa kujitegemea unatoweka! Hawa wasomi wasioweza kutumia taaluma zao kujiajiri hawana maana hata kidogo! Yaani PhD holder unakimbilia siasa! Kwangu Mimi ni kuudhalilisha usomi kwani haumsaidii kujiajiri! Wanashindwa na wale vijana wa ilula wanaomiliki Mali za maana kwa kulima nyanya japo ni STD vii! Au bongo zao zimeundwa na siagi ambayo huyeyuka hivyo? PhD na siasa ni uchuro!