Kwa CV hii ya Dkt. Mashinji simuoni wa kumfikia pale Lumumba, jamaa kapiga shule namtabiria uteuzi wa mapema

Ama kweli ukiwa ccm uwezo wako wa kujitegemea unatoweka! Hawa wasomi wasioweza kutumia taaluma zao kujiajiri hawana maana hata kidogo! Yaani PhD holder unakimbilia siasa! Kwangu Mimi ni kuudhalilisha usomi kwani haumsaidii kujiajiri! Wanashindwa na wale vijana wa ilula wanaomiliki Mali za maana kwa kulima nyanya japo ni STD vii! Au bongo zao zimeundwa na siagi ambayo huyeyuka hivyo? PhD na siasa ni uchuro!
PhD holder ulitaka akimbilie nini bwashee?!
 
Ukiwa msomi alafu ukaendelea kukaa na wale vilaza wa Chadema unaonekana na ww ni chizi kama wao
Kwa mtu msomi mzuri mwenye CV zake
Ukikaa pale Chadema unapotea kabisa

Simuoni kabisa yule prof baregu,,

Namuona mwanangu tu prof J
PALE KAFIKA NDIO CHAMA CHAO
Mihemko bila Hoja piga kelele upate wafuasi
Kizamaaaaani.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninauliza hivi ni yule pia aliye na kesi na wenzake wa CHADEMA?.
 
Kuna watu wamepiga shule lakini wako kimya kabisa tofauti na yule msomi wa uchumi first class aliyetumbuliwa baada ya kutunukiwa PhD.

Nimeipitia CV ya Dr Mashinji kisha nikavuta CV kadhaa za madaktari wetu pale Lumumba kiukweli sijamuona wa kufanana naye Jamaa ni kichwa ndio maana Chadema wameumia sana.

Nikasema hebu nivute na CV za makamanda wa Ufipa nikakuta ni yale yale jamaa aliwaacha mbali mno.

Sikuchoka nikasema hebu basi niivute CV ya aliyekuwa kipenzi cha Ufipa Dr Slaa hapo ndio nikabaki najichekea moyoni kimya kimya.

Kwa hakika hii hazina inatakiwa ipate uteuzi wa haraka ikatumike serikalini.

Niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
Siasa ngumu sana hasa focus yako ikiwa ulaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningemuona wa maana endapo angetulia na kutumia taaluma yake ipasavyo.Angetuonesha vijana namna ya kujiajiri kupitia taaluma zetu.Kwa nini hatujifunzi kwa mzazi wetu mzee Pinda alivyojielekeza ktk uhamasishaji wa maendeleo ya kilimo.
Unahama chama na kuomba kazi???!!!
Yaani tutachelewa sana kwa utaratibu huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeipitia CV ya Dr Mashinji kisha nikavuta CV kadhaa za madaktari wetu pale Lumumba kiukweli sijamuona wa kufanana naye Jamaa ni kichwa ndio maana Chadema wameumia sana.
Hapa umepotea mkuu wangu 'johnthebabtist.'

Ungeelezea machapisho aliyofanya yanayoonekana kwenye huo wasifu wake, hapo ningeungana na wewe kushangilia.

Hapa naona ni kozi tu alizosoma na kuhitimu.
Jamaa alitegeshea kokolo lake pana, anase kokote kutakakopatikana na samaki. "He cast his net wide."

Ndio maana nikaandika mahala kwamba Jamaa ni 'opportunist' wa hali ya juu sana.

Lakini sasa naona bahati nasibu yake inaelekea pazuri.
 
Wabongo wengi wana tabia ya kilimbukeni ya kuridhika sana na CV za makaratasi badala ya kuangalia CV za accomplishments in life.
 
Wapi alipoomba kazi bwashee?!

Serikali ndio itamuomba akaitumikie!
 
Mwenye elimu hupati shida kumuelezea,elimu yake inatafsiriwa na matendo yake ktk maisha yake ya kila siku.
Ukiona mtu anajisifu ana elimu na hajui anachokiamini hapo hamna kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa umepotea mkuu wangu 'johnthebabtist.'

Ungeelezea machapisho aliyofanya yanayoonekana kwenye huo wasifu wake, hapo ningeungana na wewe kushangilia.

Hapa naona ni kozi tu alizosoma na kuhitimu.
Jamaa alitegeshea kokolo lake pana, anase kokote kutakakopatikana na samaki. "He cast his net wide."

Ndio maana nikaandika mahala kwamba Jamaa ni 'opportunist' wa hali ya juu sana.

Lakini sasa naona bahati nasibu yake inaelekea pazuri.
Siasa ni sayansi bwashee, hata JJ Mnyika atawashangaza wengi hapo mwezi June baada ya bunge kuvunjwa!
 
Kuna watu wamepiga shule lakini wako kimya kabisa tofauti na yule msomi wa uchumi first class aliyetumbuliwa baada ya kutunukiwa PhD.

Nimeipitia CV ya Dr Mashinji kisha nikavuta CV kadhaa za madaktari wetu pale Lumumba kiukweli sijamuona wa kufanana naye Jamaa ni kichwa ndio maana Chadema wameumia sana.

Nikasema hebu nivute na CV za makamanda wa Ufipa nikakuta ni yale yale jamaa aliwaacha mbali mno.

Sikuchoka nikasema hebu basi niivute CV ya aliyekuwa kipenzi cha Ufipa Dr Slaa hapo ndio nikabaki najichekea moyoni kimya kimya.

Kwa hakika hii hazina inatakiwa ipate uteuzi wa haraka ikatumike serikalini.

Niishie hapo.

Maendeleo hayana vyama!
CV yake inaizidi ya Prof Majalala ?

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Wabongo wengi wana tabia ya kilimbukeni ya kuridhika sana na CV za makaratasi badala ya kuangalia CV za accomplishments in life.
Na ndio tunapowapa nafasi kuharibu maisha yetu.Tuwaambie ukweli kuwa wanaharibu future ya nchi na raia wake.
Tutaendelea kutegemea mawazo ya wazee wetu mpaka lini?.
Wenzetu mawazo ya wazee ni reli ,kizazi kipya kinaandaa treni ya kuongeza kasi
Daaaah so aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom