Kwa CV hii ya wakili Mwabukusi na Rais Mteule wa TLS inasadifu hulka na tabia zake

Leta na wewe CV yako tuilinganishe na hiyo ya Mwabukusi. Kuhusu asili ya mtu, haiamui hatma ya mtu.
 
Pole sana sheikh...tunajua watu wa aina yako mtakuwa mmeumia sana...tutaelewana tu
 
Mbona CV ya kawaiida sana Kwa sisi wanaume..... Hata kama unatoka familia ambazo zipo well connected, ukasoma shule na vyuo vizuri bado kwenye Maisha Kuna kipindi msoto utakuhusu
 
Wewe uliekulia maisha ya Kishua , Mboga saba, Ukasoma IST na umetokea kwenye familia ya Kitajiri . umefika wapi na nani anayekujua hapa Tanzania?? Acha roho mbaya za Kishamba . Only God determines our destiny. Haijalishi tulizaliwa, tukakulia, tukalelewa wapi.
 
Nazungumzia tabia na hulka yake sio Elimu
Tabia ya Adolf Hitler ili mbaya na ya Kikatili je, Ujerumani yake haikuendelea na mpaka leo kuwa ni moja ya Taifa Kubwa duniani Kiuchumi, Kijeshi, Kimaendeleo na Kiteknolojia? Bado nasisitiza tujitahidi tutumie sana Akili zetu kujua Kufikiri na kujenga Hoja. Kuna tofauti Kubwa sana kati ya Hulka ya Mtu na Utendaji wake kama unataka nikupe Somo la hili sema ili Siku zingine usiendelee Kudharaulika na waliokuzidi Upeo na Maarifa.
 
Haikuendelea ndio na ndio maana analaaniwa sio tuu na Germany Bali na Dunia nzima.

Watu wote waliokulia kama machokoraa tabia zao zinafanana ni pamoja na yule Rais uliyekuwa unamshabikia
 
Hamna kitu wewe ni Bumunda tu. Kwanini uumie unapomuona Slum Kid anakaa kwenye level ya juu ya Kimaisha ???
Nitumie Kwa Ajili ya nini? Wapi nimesema naumia? Nimeelezea tabia za huyo mtu zilikotoka na Wala sio kosa lake
 
Kwa hii sred umejinyonga kabisa
 
Anafungua kesi kwa hoja ya "huenda" (maybe)! Basi ajielimishe kwanza zaidi kwenye fani yake asiishie kuumbuka tena!
 
Mimi ni wakili ila tabia ya jamaa kulipuka lipuka siipendi.
 
Sasa Wewe ulikuwa hautaki Mwabukusi awe rais wa TLS au ? Mbona hoja yako haina mashiko? Riziki hupangwa na Mungu sio Wewe
Nitumie Kwa Ajili ya nini? Wapi nimesema naumia? Nimeelezea tabia za huyo mtu zilikotoka na Wala sio kosa lake
 
Haikuendelea ndio na ndio maana analaaniwa sio tuu na Germany Bali na Dunia nzima.

Watu wote waliokulia kama machokoraa tabia zao zinafanana ni pamoja na yule Rais uliyekuwa unamshabikia
Ukisema kuwa Ujerumani chini ya Hitler haikuendelea wenye Akili hapa utakuwa umeshatupa sababu ya Kukudharau zaidi.
 
Huyu ajitambui. Toka lini CCM ikaibiwa kura 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…