Kwa Dhamira yao Ovu ya kutaka Kuivamia Israel ya Afrika (Rwanda) naona Tshisekedi na Ndayishimiye wamechoka Kuishi

Wakati ule tunawadunda m23,alikua halali ikulu,alienda kuongoza mapigano lakini wapi,tulipeleka kichapo heavy,katika jeshi ambalo hataki liingie huko jwtz
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Onyo linatolewa JF , akitaka kupigwa atapigwa tu, Hao Rwanda hawana nguvu yoyote ya kuitwa eti Israel ya africa. Kwa kitu gani haswa walichonacho??maskini wa kutupwa hao.
 
Africa mashariki hamna nchi yenye uwezo wa kuipiga rwanda huo ndio ukweli
 
Wakati ule tunawadunda m23,alikua halali ikulu,alienda kuongoza mapigano lakini wapi,tulipeleka kichapo heavy,katika jeshi ambalo hataki liingie huko jwtz
Usijifiche kwenye kivuli cha historia, ukweli ni kwamba Paul Kagame na timu zake wako vizuri na wamejipanga vizuri kwenye tasnia ya medani na intelijensia ktk ukanda huu wa Afrika.
 
tatizo tanzania mmepeleka siasa mpka majeshini,
Hilo ndio tatizo kubwa walilonalo wa-Tanzania walio wengi. Wameingiza siasa kwenye kila kitu, ndio maana nchi yetu haisongi mbele kimaendeleo, tumeshindwa kwenye kila nyanja ya kupiga hatua mbele ya kimaendeleo kutokana na janga hili la kuingiza siasa kila mahali.
 
Kuna nchi gani afrika mashariki inaizidi tz kwa mtandao wa barabara za lami,huduma za afya,huduma za fedha!?
 
HAya mambo ya kipuuzi si ndo yalipelekea genocide 1994 ulikuwa hujazaliwa dogo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…