israel ya africa ????Nasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa kile ambacho kitaenda Kuwapata.
Rwanda chini ya Mwamba Kagame.israel ya africa ????
hiKumbuka: Kushinda vita kunachangiwa na sababu nyingi, ikiwamo na Intelijensia kali, ari ya wapiganaji, ubora wa zana/silaha za vita, etc. In short Majeshi ya Bw. Paul Kagame yana Intelijensia kali sana, pia wako vizuri ktk suala zima la Manpower & Logistics ukilinganisha na hao wapinzani wake. Wingi wa Wapiganaji au wingi wa silaha siyo vigezo vizuri sana vya kuweza kushinda vita katika dunia hii ya leo ya Sayansi na Teknolojia ya hali ya juu, hoja ya msingi ni Ubora walionao hao wapiganaji, ubora wa silaha wa silaha za kupigania vita, ari au morali ya wapiganaji pamoja na suala zima la Logistics. Kwa hiyo msiidharau Rwanda licha ya udogo wake wa eneo la kijiografia iliyo nayo, "Ukubwa wa Pua siyo wingi wa kamasi."
mwamba wa nini hasa na hiyo intel kali kafanya nini na wapi au kule kuua maadui zake SA ndio inte kali. Ni kijitu fulai kinaji mwambafai kuiga tembo kunya aatapasuka msamba etiRwanda chini ya Mwamba Kagame.
🚮🚮Nasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa kile ambacho kitaenda Kuwapata.
Sasa utaachaje Kunifahamu wakati Kutwa tu Nakubandua na Nakusukumia Ukutani huku Ukifurahia?Mi nakufahamu mamako alikuwa malaya hata babako humfahamu we mbwa.
Watusi ndo mnavyojidanganya?mkifanya kosa tutafanya hiyo nchi yenu kuwa mkoa wetu na tutawachukua mademu zenu.Africa mashariki hamna nchi yenye uwezo wa kuipiga rwanda huo ndio ukweli
Ya kwenu tu imewashinda mmeuza kwa waarabuWatusi ndo mnavyojidanganya?mkifanya kosa tutafanya hiyo nchi yenu kuwa mkoa wetu na tutawachukua mademu zenu.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
I've decided to ignore you psycopathicAnother Fool.
Kumbe wewe chawa!!?? Nilikuwa sijui.Sasa hapo ndiyo umeongea nini ? Rais kama magufuli ndiyo jibu kwa hayo uliyo ongea anajua kuunganisha taifa kwa uchapakazi wake na uzalendo wake ...kinacho sababisha utengano congo ni ubinafsi wa viongozi kukosa uzalendo....pia sijui kama unajua kuwa chanzo cha taifa kukosa utengamano ni uongozi ambao ndani yake unakuwa na ufisadi rushwa ubinafsi na kukosa uzalendo....kitu kingine ni viongozi kushindwa kumeneji rasilimali kama madini hayo yote JPM aliyamudu kikamilifu.
Huyo bila vifurushi vya USA sijui ana nini la ajabu?😂 Nikifikira nchi ya Rwanda ni kama Mkoa wa Mbeya tu nabakia hoi mno kuwaza eti Majeshi ya mikoa yote Tanzania yashindwe kulipiga jeshi la Mbeya?😂😂😂Paul Kagame anget wa CIA, mtoto mpendwa wa Marekani.
Like your Mother.I've decided to ignore you psycopathic
Acha kujipendekezaNasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa kile ambacho kitaenda Kuwapata.
Weka hiyo audio akisema tuisikieKagame alisema ana snipers Kama 100 kariakoo, sikujua kama mwingime yupo humu JF
Naona watu wengi mnamshambulia mleta mada, ukweli ni kwamba Paul Kagame na Timu zake (Majeshi) wako vizuri ktk masuala ya vita na ujasusi. Endapo kama kweli hao majirani zake wanapanga au wanataka kuanzisha vita dhidi yake, basi wanatakiwa Wajipange sawasawa kabla ya kuanzisha mtiti dhidi ya Paul Kagame. La sivyo wanaweza wakajikuta wapo matatani sana huku Kagame akiendelea kuneemeka kutokana na uchokozi wa majirani zake.
Kumbuka: Kushinda vita kunachangiwa na sababu nyingi, ikiwamo na Intelijensia kali, ari ya wapiganaji, ubora wa zana/silaha za vita, etc. In short Majeshi ya Bw. Paul Kagame yana Intelijensia kali sana, pia wako vizuri ktk suala zima la Manpower & Logistics ukilinganisha na hao wapinzani wake. Wingi wa Wapiganaji au wingi wa silaha siyo vigezo vizuri sana vya kuweza kushinda vita katika dunia hii ya leo ya Sayansi na Teknolojia ya hali ya juu, hoja ya msingi ni Ubora walionao hao wapiganaji, ubora wa silaha wa silaha za kupigania vita, ari au morali ya wapiganaji pamoja na suala zima la Logistics. Kwa hiyo msiidharau Rwanda licha ya udogo wake wa eneo la kijiografia iliyo nayo, "Ukubwa wa Pua siyo wingi wa kamasi."
Utapigwa nyavuNa Viherehere Watapukutishwa sana tu.
Bhangi mbaya sana,Africa mashariki hamna nchi yenye uwezo wa kuipiga rwanda huo ndio ukweli
Vita gn kagame amewahi kupigana na kulishinda?!, toa hata mfano kidogo tu.Usijifiche kwenye kivuli cha historia, ukweli ni kwamba Paul Kagame na timu zake wako vizuri na wamejipanga vizuri kwenye tasnia ya medani na intelijensia ktk ukanda huu wa Afrika.
Kinachokusumbua weww ni kutokujua,ujinga ndio tatizo lako kubwa wewe,unasema eti timeshindwa kuendelea!,unaongelea maendeleo gn wewe?,Hilo ndio tatizo kubwa walilonalo wa-Tanzania walio wengi. Wameingiza siasa kwenye kila kitu, ndio maana nchi yetu haisongi mbele kimaendeleo, tumeshindwa kwenye kila nyanja ya kupiga hatua mbele ya kimaendeleo kutokana na janga hili la kuingiza siasa kila mahali.
Ni kweli,hakuna nchi yoyote inayo izidi kwa maendeleo ktk ukanda wa afrika mashariki.iwe ni kwenye elimu,afya,barabara, hakuna anayeweza kuifikia, sasa unashangaa mjinga mmoja kale ugali wake na maharage kavimbewa ana kuja kuleta ujinga wako humu.Kuna nchi gani afrika mashariki inaizidi tz kwa mtandao wa barabara za lami,huduma za afya,huduma za fedha!?