Kwa Dhamira yao Ovu ya kutaka Kuivamia Israel ya Afrika (Rwanda) naona Tshisekedi na Ndayishimiye wamechoka Kuishi

Kwa Dhamira yao Ovu ya kutaka Kuivamia Israel ya Afrika (Rwanda) naona Tshisekedi na Ndayishimiye wamechoka Kuishi

Nasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa kile ambacho kitaenda Kuwapata.
israel ya africa ????
 
intel kaLI FAFANUA hapo kila nNaona watu wengi mnamshambulia mleta mada, ukweli ni kwamba Paul Kagame na Timu zake (Majeshi) wako vizuri ktk masuala ya vita na ujasusi. Endapo kama kweli hao majirani zake wanapanga au wanataka kuanzisha vita dhidi yake, basi wanatakiwa Wajipange sawasawa kabla ya kuanzisha mtiti dhidi ya Paul Kagame. La sivyo wanaweza wakajikuta wapo matatani sana huku Kagame akiendelea kuneemeka kutokana na uchokozi wa majirani zake.
Kumbuka: Kushinda vita kunachangiwa na sababu nyingi, ikiwamo na Intelijensia kali, ari ya wapiganaji, ubora wa zana/silaha za vita, etc. In short Majeshi ya Bw. Paul Kagame yana Intelijensia kali sana, pia wako vizuri ktk suala zima la Manpower & Logistics ukilinganisha na hao wapinzani wake. Wingi wa Wapiganaji au wingi wa silaha siyo vigezo vizuri sana vya kuweza kushinda vita katika dunia hii ya leo ya Sayansi na Teknolojia ya hali ya juu, hoja ya msingi ni Ubora walionao hao wapiganaji, ubora wa silaha wa silaha za kupigania vita, ari au morali ya wapiganaji pamoja na suala zima la Logistics. Kwa hiyo msiidharau Rwanda licha ya udogo wake wa eneo la kijiografia iliyo nayo, "Ukubwa wa Pua siyo wingi wa kamasi."
hi
Rwanda chini ya Mwamba Kagame.
mwamba wa nini hasa na hiyo intel kali kafanya nini na wapi au kule kuua maadui zake SA ndio inte kali. Ni kijitu fulai kinaji mwambafai kuiga tembo kunya aatapasuka msamba eti
 
Nasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa kile ambacho kitaenda Kuwapata.
🚮🚮
 
Sasa hapo ndiyo umeongea nini ? Rais kama magufuli ndiyo jibu kwa hayo uliyo ongea anajua kuunganisha taifa kwa uchapakazi wake na uzalendo wake ...kinacho sababisha utengano congo ni ubinafsi wa viongozi kukosa uzalendo....pia sijui kama unajua kuwa chanzo cha taifa kukosa utengamano ni uongozi ambao ndani yake unakuwa na ufisadi rushwa ubinafsi na kukosa uzalendo....kitu kingine ni viongozi kushindwa kumeneji rasilimali kama madini hayo yote JPM aliyamudu kikamilifu.
Kumbe wewe chawa!!?? Nilikuwa sijui.
JPM ndiye Rais pekee kabisa ktk nchi hii ambaye alibomoa kabisa mizizi ya utangamano wa kitaifa, halafu wewe unasema eti alimudu kumeneji nchi au rasilimali za nchi!!
Kumbuka, JPM alisababisha mipasuko ya kijamii kuanzia ngazi ya kaya hadi Serikalini kwenyewe ktk vyombo vyote vya ulinzi na usalama wa Serikali.
 
Paul Kagame anget wa CIA, mtoto mpendwa wa Marekani.
Huyo bila vifurushi vya USA sijui ana nini la ajabu?😂 Nikifikira nchi ya Rwanda ni kama Mkoa wa Mbeya tu nabakia hoi mno kuwaza eti Majeshi ya mikoa yote Tanzania yashindwe kulipiga jeshi la Mbeya?😂😂😂
 
Nasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa kile ambacho kitaenda Kuwapata.
Acha kujipendekeza
 
Waulize kwanza wale vijana DRC iliowaleta baada ya kumaliza mafunzo yao, walienda wapi? Walifanya kazi gani? Walikuwa wangapi?
Naona watu wengi mnamshambulia mleta mada, ukweli ni kwamba Paul Kagame na Timu zake (Majeshi) wako vizuri ktk masuala ya vita na ujasusi. Endapo kama kweli hao majirani zake wanapanga au wanataka kuanzisha vita dhidi yake, basi wanatakiwa Wajipange sawasawa kabla ya kuanzisha mtiti dhidi ya Paul Kagame. La sivyo wanaweza wakajikuta wapo matatani sana huku Kagame akiendelea kuneemeka kutokana na uchokozi wa majirani zake.
Kumbuka: Kushinda vita kunachangiwa na sababu nyingi, ikiwamo na Intelijensia kali, ari ya wapiganaji, ubora wa zana/silaha za vita, etc. In short Majeshi ya Bw. Paul Kagame yana Intelijensia kali sana, pia wako vizuri ktk suala zima la Manpower & Logistics ukilinganisha na hao wapinzani wake. Wingi wa Wapiganaji au wingi wa silaha siyo vigezo vizuri sana vya kuweza kushinda vita katika dunia hii ya leo ya Sayansi na Teknolojia ya hali ya juu, hoja ya msingi ni Ubora walionao hao wapiganaji, ubora wa silaha wa silaha za kupigania vita, ari au morali ya wapiganaji pamoja na suala zima la Logistics. Kwa hiyo msiidharau Rwanda licha ya udogo wake wa eneo la kijiografia iliyo nayo, "Ukubwa wa Pua siyo wingi wa kamasi."
 
Rwanda ya sasa hivi si Rwanda ya 1994.

Huwa naingia Kigali na kwa kweli tofauti ipo kubwa sana.

Mleta mada anaposema kwamba Rwanda ni Israeli amaanisha kwamba Rwanda wana akili kama waisraeli.

Tatizo Israeli wana akili nyingi ambazo mara nyingi wakijichanyanya huwaondolea maarifa.

Ila PK akili bado yapiga kazi na jeshi lake la vijana wasomi khasa wale walosoma nje ya nchi lote lipo Kigali.

Si mmemsikia PK sasa hivi kaondoa viza kwa nchi za Afrika? Msidhani kakurupuka hiyo ni akili at work.

Waingereza hadi sasa wamepigwa manili obi ya pauni na Rwanda na hapo bado mchakato wa kuhamishia wasaka ukimbizi Kigali haujakamilika.

Lakini mwafahamu Rwanda ametumia pesa anolipwa na UK kwenye nini?

Kwanza waulizeni Congo DRC na ndege yao ya kivita ya Sukhoi Soi 25 ilifanywa nini ilipojaribu kuingia Rwanda Air Space. Hiyo ilikuwa mapema 2023.

Pili, kuna majasusi ya Congo DRC waling’amuliwa wakiishi kwenye kile kitongoji maarufu pale Kigali wakijifanya wauza nyanya, ulizeni wametendewa mambo gani.

Naomba niishie hapa wakuu ila kama hawa (Felix na Ndayishimiye) wameazimia kufanya wanotaka kukifanya kwa Rwanda, Itabidi wafikirie 4x4.
 
Hilo ndio tatizo kubwa walilonalo wa-Tanzania walio wengi. Wameingiza siasa kwenye kila kitu, ndio maana nchi yetu haisongi mbele kimaendeleo, tumeshindwa kwenye kila nyanja ya kupiga hatua mbele ya kimaendeleo kutokana na janga hili la kuingiza siasa kila mahali.
Kinachokusumbua weww ni kutokujua,ujinga ndio tatizo lako kubwa wewe,unasema eti timeshindwa kuendelea!,unaongelea maendeleo gn wewe?,
 
Kuna nchi gani afrika mashariki inaizidi tz kwa mtandao wa barabara za lami,huduma za afya,huduma za fedha!?
Ni kweli,hakuna nchi yoyote inayo izidi kwa maendeleo ktk ukanda wa afrika mashariki.iwe ni kwenye elimu,afya,barabara, hakuna anayeweza kuifikia, sasa unashangaa mjinga mmoja kale ugali wake na maharage kavimbewa ana kuja kuleta ujinga wako humu.
 
Back
Top Bottom