Kwa Dkt. Dorothy Gwajima, CCM imelamba Dume. 2025 Rais awe yeye kulingana na usomi alio nao

50%uko sawa ila kwa fala mollel umeni let down,au unasemaje Msukuma mwenzangu
mkuu ,mollel atatufaa tofauti na huyu mama.huyu mama katoa rushwa ya papuchi ndio kapata uteuzi ama kamchawia ummy
Ova😁
 
mkuu ,mollel atatufaa tofauti na huyu mama.huyu mama katoa rushwa ya papuchi ndio kapata uteuzi ama kamchawia ummy
Ova😁
Unaibu waziri afya,angerudishiwa kichwa Faustine Ndungulile.
 
Hujatahiriwa mkuu[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
sawa kabisa
 
Wanasema kabila la Dkt.Gwajima Dorothy si msukuma bali mnyiramba !
Sina uhakika na hilo ila tunawatakaTanzania Wildlife Management Authority kuomba radhi kwa kuweka picha ya Marehemu Dr. Irene Masanja kama Naibu Waziri badala ya ile ya Mary Masanja. Wamewapa muda ngumu sana familia ya huyo Marehemu.
 
Kwenye baadhi ya mambo huwa namkumbuka sana jakaya,kuna nyazifa za juu zakijeshi nafikiri ni ma brigedia ambao kina mama ni wachache sana,jakaya wakati anawasimika cheo hiki alisema kwa nafasi hizi kwa kinamama lazima twende taratibu,jeshini ni tofauti kidogo na kazi nyingine.
 
Ili uwe Mbunge lazima uwe mwanachama wa Chama cha Siasa

Sina hakika kama Dr Gwajima ni Mwanachama wa CCM
 
Sema ni ngosha mwenzako wala hakuna lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…