Kwa Fedha hizi ambazo Simba SC amezikusanya sioni sababu ya Yanga SC Kuushangilia Ubingwa wakati Pesa waipatayo ni Kiduchu tu

Kwa Fedha hizi ambazo Simba SC amezikusanya sioni sababu ya Yanga SC Kuushangilia Ubingwa wakati Pesa waipatayo ni Kiduchu tu

Club lazima ziwe na malengo positive. Kumfunga Yanga au kuchukua using ubingwa wa Tanzania ina faida gani? Club zinashindwa kusustain existence yake bila kufadhiliwa na watu binafsi. Europe utakuta lengo ni kucheza UEFA. Hapo kuna television rights, sponsorship, endorsement deals ambazo zinawezesha kununua wachezaji na kuwalipa mishahara. Nadhani Azam na Simba wangelenga huko. Two years should be the target of being Africa Power Houses.
 
Back
Top Bottom