Kwisha habari yake. Moral authority zero.Ukiangalia Picha unajua sio yule Bashite mwenye nyodo na kujiiaminii kupitiliza
Tatizo mnasahau sana CCM baada ya makaretii yenu.Majibu ya haraka kuwa yupo likizo.Sasa karudi hamjui nini mmekosea. Kweli CCM wanatembelea kucha .Wana majibu ya harakahara kila siku ,hawana hata muda wa kukumbuka jana walijibu nini na leo wanajibu nini na wanafanya nini
Kaonyesha cheti?Wape wape hao
Makonda oyeeeeeeeee
Vipi basha karudi
nikuulize, hivi wewe ni kijana au ni mzee maana juzi nimekuona kwenye mkutano wa UVCCM?
Wewe wasemaHamna haja ya kujaza server kwa thread zinazofanana
Kwa nani?Kaonyesha cheti?
Taarifa zinasema mkulu kwa ubishi wake kakataa barua ya kujiuzulu Bashite...ngoja tuone
mkuu kaona noma kamrudisha kinyemelaTuwaulize watwambie miezi miwili imeisha lini?
Hata wewe uliiweka kwa instagram yako je umeshaomba follower wako msamaha
- Kubali mmekosea na gazeti lenu maana RC leo alikuwa hapo anafungua rasmi barabara iliyochangiwa na wadau wa bandari. poleni sana
le Mutuz
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji121]Le mutuz,as a brand you are finished-ulijitahidi sana,but in the end njaa yako imekuwa your undoing.Kwenye vita ya unga,instead ya kuchukua middle of the road approach,in broad daylight ukachukua uhakimu na kuwakana akina Majizzo-leo hii this man is free,how do you look him in the eyes.???? As a captain you abandoned a ship which was not sinking-Issue ya Bashite ndio imekuacha naked kabisa-the whole world imestuka that all is not well,wewe umekomalia. IF I was Davis M,i would cut my losses and abandon hiyo Swahili tv-reputation yako is in tatters-you no longer command respect,in the eyes of many you just an opportunist,who in the end did not play your cards right
Mbona ata wewe Hoja zako, zinaonekana kua za kishabiki tu.. Ishu ya ujenz wa Hoja akuna uhusiano na umelelewa na naniHuyu Le Mutuz naambiwa na mtoto wa Mzee Malecela, ni kweli? Mara nyingi hoja zake huwa shallow sana. Hafanani na mtoto ambaye ungetegemea amekulia na kulelewa kwenye mazingira yanayoendana na mzee Malecela. Picha huonekana ni mtu mzima lakini akiandikacho hufanana na kinachotoka kwa under 20.