Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi


Kuna jambo linanishangaza hapa na kusema kweli jambo lenyewe linatisha kidogo...hivi hawa waliosimama hapa kinafiki na huyo mtuhumiwa, hawana habari kuwa yawezekana hatumii jina lake halisi? Polisi hapo anafanya nini? Je naye anajua anamlinda nani...Daudi au Paulo?​
 
Kagazeti kanakoandika habari za Mange!
 
Le Mutumboz badala ya kutuambia habari ndani ilisemaje anatuletea kichwa cha habari. Je, kama habari ndani inasema ni "tetesi" au gazeti lilikiri kuwa ni "taarifa ambayo haijathibitika" .Acha kujitoa akili Lemutuz
 
Viroba vinawasumbua sana bavicha
 
wakuombe wewe mpenda vya dezo unatetea ugali letumboz laana ya majizo hiyo rafiki mnafiki msaliti
 
Ukikosa akili ukajaliwa mwili mkubwa ni hasara tupu..mtoto haramu utamjua ana tabia ya kujikomba hasa kwa wanamme cause the father figure was missing
 
- Please usiharibu mada yangu kama unataka mambo ya vyeti fungua thread yako please

le Mutuz
Mzee wa degree tatu unamtetea mbulura alozungusha form four...yaani darasa la saba...hutakaa kamwe uzungumzie issue ya elimu cause itamgusa...Bashite moja kwa moja
Kwani hawezi kukatisha likizo na kurudi kazini??

Wee unajua sana mambo ya Daudi Albert Bashite.. Unalala nae chumba kimoja??

Rudi IG kawadanganye wale wapuuzi wanakushangilia tu.

Hopeless kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…