Ila le mbululaz uliabika siku yenu ile ya wanawake ukatoa pongez kumbe mzee mwenyewe hayupo bongo. Ndipo nilipojua mzee unajipendekeza sana
[emoji13] [emoji13] Ngoja upate dozi yako huku huwez kumblock mtu akikuambia ukweli ww le kilaza akili ndogoz zee kuubwa huna cha msingi wala sekondari
- Kubali mmekosea na gazeti lenu maana RC leo alikuwa hapo anafungua rasmi barabara iliyochangiwa na wadau wa bandari. poleni sana
le Mutuz
Haya ndio magazeti ya hapa na pale yanayofuga waandishi weenye elimu za hapa na pale.
Wewe umeongea uwongo mara ngapi. Wewe Si ulisema mkuu wa mkoa atakuwepo siku ya wanawake duniani? Au ushaomba radhi?- Mada hapa ni GAzeti kuandika habari ya uongo sio anything else ok!
le Mutuz
VP KUHUSU TBC NA HABARI YA TRUMP ?
Anzisha uzi wakeVP KUHUSU TBC NA HABARI YA TRUMP ?
RC asiye kuwa na shule kichwani ni bure!!
- Kubali mmekosea na gazeti lenu maana RC leo alikuwa hapo anafungua rasmi barabara iliyochangiwa na wadau wa bandari. poleni sana
le Mutuz
Mshauri bashite akashitaki...Kigazeti cha kukurupuka
Hii meseji aione Mbowe, kwanini na yeye hataki tujue Elimu yakeKarne ya 21 hii hata mapadri wana Bachelor na PhD ili kuendana na kasi ya waumini.
Leo utuletee RC bingwa wa kufeli. Bingwa wa kufoji . Bingwa wa shortcuts. Std 7 duuh!!
Wow!
Good one there ma man!
Ila na TBC nao inabidi watuombe radhi Watanzania kwa kututangazia uongo kuhusu rais Trump.
Umemuajiri ww?Hii meseji aione Mbowe, kwanini na yeye hataki tujue Elimu yake
Anauza papuchi yake tsh ngapi? Coz anaweza kuwa anasumbuliwa tu na genyez..Mwanaidi Kamese yuko tayari kutoa ushahidi, anamfahamu Daudi Bashite aliyefeli darasa la nne Shule ya Msingi Kolomije na kwenda kuendelea na darasa la tano Mwanza.
Ungeleta vyeti vyake kwanza mengine badae
bashite kakatiza likizo nini
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mtu kama wewe kuzaliwa kwenye familia ya mzee mwenye heshima kama Malecela ni mkosi!! Ni kweli kila familia ina Black sheep ila wewe ni zaidi. Mambo yako kuanzia IG ni utoto tu leo naona huko insta unapata comment chache umekuja kujaribu kwa GT. Juzi ulipost huyu mwizi wa cheti ametunukiwa PhD fasta ukafuta,uliomba msamaha? ukarudia kupost mwizi wa cheti atakuwa mgeni rasmi kwenye sikuku ya wanawake hakuoanekana je uliomba msamaha? Mtu kaenda south hata hujui kama kaenda ikiwa na maana hata hakukuaga kwa kuwa kwake hauna maana lakini bila kujua anakudharau bado umebaki kujikomba kama kenge na maji!!!Juzi TBC ilitoa habari ya mkuu wa nchi kusifiwa na Trump kwa kuwa na wewe una akili ya piriton ukaiparamia kama ****!!! Je uliwaambia waombe samahani? Unasema umeishi US ila nadhani huko US ulikuwa unabeba mabox umri ukiwa mdogo so ulipata hitilafu ya ubongo, huwezi kuishi nje ushindwe kuverify source ya habari kama ni credible au la!!!! Malecela hana mtoto wa aina yako kabisa wewe tafuta baba yako!!!! Haiwezekani mtu una miaka karibu 60 mambo yako ni utoto utoto tu, post IG ni picha za kimeza kimoja cha ofisi kwenye chumba kimoja kama choo, mara kitanda cha guest, mara kutupia picha ulizopiga na mastaa, mara kusifia huyu mara yule.No way naweza kubali wewe ni mbegu ya malecela kabisa, Dr mwele lazima angeshakupelekaa kwa madr bingwa wafumue kichwa waangalie, Kama hata kuna brain kidogo. Na kweli wangekuta shimo tu.